Search results

  1. M

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    Mkuu Nyaubwii hii gari bado ipo?
  2. M

    2004 Toyota Wish for Sale

    Wakuu gari bado ipo. Kaka Nyaubwii commission ipo kidogo ukiniletea kichwa. Na bei sasa hivi imepungua sana tu.
  3. M

    Head Projector inahitajika.

    Mkuu ushapata? Offer yako ngapi?
  4. M

    Udalali Wa Magari

    Mkuu ushapata gaia? Iko moja inauzwa 8M namba CAK. Kama unahitaji nikuunganishe na mwenyewe muongee. Pia mimi nauza Toyota Wish kama upo interested icheki https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/428365-2004-toyota-wish-for-sale.html
  5. M

    Natafuta NOAHA ya kununua

    Ipo Toyota Wish ya 2004 haijatumika bongo icheki hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/428365-2004-toyota-wish-for-sale.html
  6. M

    2004 Toyota Wish for Sale

    Mkuu Nyaubwii ukijipanga vizuri mbona unachukua tu ndinga hiyo, na bei inapungua kidogo kama nilivyosema. Kwani wewe ulikua na ngapi mkuu?
  7. M

    2004 Toyota Wish for Sale

    2004 Toyota Wish 63,300 km Pearl White Automatic Transmission 1790 cc 7 Seats (Family Car) All Duties Paid + Registration & Insurance PRICE: 12.7 M or Best Offer CONTACTS: 0713662251
  8. M

    Interview ACB

    Mbona watu tayari wapo kazini we unasubiri interview. Kalagabao
  9. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Naona disco ameingia mmasai duh haya bwana ila ml 6 haitoshi mkuu labda kama unanipa pamoja na mkeo au dadaako tunaweza kuongea kidogo.
  10. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Mkuu kwani we offer yako ni kiasi gani? Ndinga haina tatizo lolote usitie shaka kabisa, kuhusu huo mwaka nadhani mkuu Shark ameelezea vizuri.
  11. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Wakuu gari imesimama hiyo. Mashine haijatiwa makono kabisa.
  12. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Mkuu asante sana
  13. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Mkuu kama kweli hii ni model ya 1994 nadhani kutakua na typing error kwasababu kwenye kadi inaonyesha ni ya 2007
  14. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Hahaahha mkuu ingekua na tatizo ningesema kwa nini nifiche sasa?
  15. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Mkuu kwani we offer yako ni kiasi gani? Maongezi yapo.
  16. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Wakuu haina haja ya kubishana sana, hii gari ni ya mwaka 2007 sema nimesahau kupiga picha kadi yake, nitaiweka hapa nikate mzizi wa fitna. Sasa kwa mfano ukiambiwa hii raum hapa ni ya 2003 utabisha pia? Model za kuanzia 2003 za raum si mnazijua, sasa hii imekuaje?
  17. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Na picha nimeweka wakuu, mshindwe nyie tu
  18. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Habari zenu wana JF, Toyota Coaster inauzwa. Imported from Dubai and first registered in Tanzania in 18/01/2010. HZB Engine with 4163 cc. Gari inatembea na inatumika kama daladala Makumbusho-Kivukoni, Haina tatizo lolote. Bei ni 25,000,000/= inapungua kidogo Dalali hatakiwi Mawasiliano ni...
  19. M

    Cashiers needed

    Mkuu mi kuna mdogo wangu amemaliza form four mwaka huu, vipi anaweza akakufaa?
  20. M

    Daladala wagoma Mwanza

    Ungetupia na picha kabisa mdau ingependeza. Hivi hawa sumatra na ewura wapo kweli au? Maana mi naona wenyewe wanapanga tu nauli wanavyojiskia hawaangalia bei ya mafuta wala bei ya spare ziko vipi. Kwa hali hii hawa jamaa wa daladala kiukweli wanaumia. Acha wagome tu.
Back
Top Bottom