Search results

  1. M

    "If you want to be happy for the rest of your life, don't make a beautiful woman your wife!"

    Beauty is in the eyes of beholder all women are beautiful to every man that fall for her
  2. M

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Alichofanya mwenyekiti ni uzalendo hivyo hakuna haja ya kuomba radhi kwa chochote !
  3. M

    Barrack Obama kuwasili Tanzania na ujumbe wa watu 700!

    Capitalism vs socialism
  4. M

    Lowassa kitanzini tena; Rais Kikwete naye apigwa dongo kikaoni

    Hakuna aliye msafi lowasa jembe
  5. M

    Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Wewe ni chizi hasa sema hujafika mirembe mawazo ya mdau ni very neutral la namna ya kutatua tatizo wewe unaleta siasa ! mtwara wameshikamana hakuna jinsi ya kuwagawa serikali ichague diplomasia na ushirikishi ili mgogoro utatulike kuwe na winwin situation
  6. M

    Bomu Arusha - Vatican yawasilisha taarifa UN

    Hivi wewe Mchawi,jini ,jinamizi au zimwi?
  7. M

    BOMU LA ARUSHA, Kuna uwezekano mkubwa ni bomu la kisiasa kujenga chuki kati ya wananchi na serikali

    Mdau kwanza nasikitikia mwalimu aliyekufundisha critical thinking kwani sasa unatoa mawazo mgando yasiyo na tija na yenye kuleta uchochezi kama huna hoja kaa kimya sio kuleta pumba zako humu zisizo na maana wacha vyombo vya dola vifanye kazi yake no evidence no right to leap!
  8. M

    Maelezo ya Zitto kuhusu amri yake kwa wabunge wa CHADEMA

    Mkuu kutoappreciate au kuapreciate yote sawa tu cha msingi yaliyofanyika yanaonekana na yamefanyika kwa uadilifu
  9. M

    Baada ya kukomba mia 5 mia 5 zetu na haya ndo maisha ya sasa ya Babu wa Loliondo

    Hakumkomba mtu imani zenu kuwa mtapona ndio zilizowapeleka so let him enjoy his fruits no body forced any body to go there
  10. M

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    Jamani hivi maadili ya vyombo vya habari yamepotelea wapi? Nani anatoa fursa ya hivi vyombo kukampeni udini? Jamani ruanda na burundi ilianza kwa kampeni za ukabila kwenye vyombo vya habari ndugu zangu wenye dini mbalimbali udini hautatupeleka pa zuri mi nadhani babu hajasema watu wa dini...
  11. M

    Mchungaji wa loliondo ametumwa na Mungu yupi?

    Du wadau haya mambo yako kiimani zaidi ndio maana huwa tunaambiwa ukiamini utapona hivyo kama wewe unaimani kuwa babu anaponyesa basi utapona na kila jambo huja kwa sababu duniani tuombe tu mungu waponywe wengi .
  12. M

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    nakuunga mkono ni kifo cha ccm sasa wanawaonesha wananchi live kuwa hawapendi demokrasia na hawapendi kukosolewa na wanataka kuendelea kuwalinda mafisadi hii ni dalili nzuri kuwa huenda 2015 mambo yakawa mazuri kwa upande wa upinzani inabidi waanze operesheni sangara version 2 sasa
  13. M

    Uspika - Nimeamini Mungu anataka mabadiliko Tanzania

    mdau mamob huko kwenye chama si mazuri yani kifo cha chama chetu cha mapinduzi kiko njiani maana sasa wamewaweka kina mama watatu kuwaania nafasi ya uspika na leo nilisoma mwananchi walifanya mahojiano na makamba ila inaonekana hatua ya chenge kumsuta hadharani sita ilikuuwa ni mpango kabambe...
  14. M

    Elections 2010 Dr. SLAA USIKUBALI, HAIWEZEKANI UMATI WOTE ULE UKUSALITI!

    katika siasa hata siku moja usijudge kwa kuangalia umati au hadhira inayomsikiliza mgombea kwani wengi huwa siyo wapiga kura that is public lie
  15. M

    Elections 2010 PHilip marmo aanguka rasmi

    source itv
  16. M

    Elections 2010 Kwanini watu wengi hawakujitokeza kupiga kura?

    Kuna nadharia nyingi zinazoweza kutumika katika kuelezea dhana hiyo: Mmoja ni kwamba watu wengi walijiandikisha ili kupata kitambulisho ambacho kinatumika katika mambo mengi kama kufungulia a/c nk Pili majina ya watu wengi hayakuonekana katika vituo vya kupigia kura na mengina yalikuwa...
Back
Top Bottom