Search results

  1. Buyambaj

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Kwakweli siasa kama haitasha ktk inchi hii hata kwa uhai wa mtu
  2. Buyambaj

    Former Rwanda presidential candidate accused of forgery

    Mtakoma Rwanda mambo haya kumbe kote Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Buyambaj

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    haya mambo ya ndoa bana magumu sn ndugu yangu ila chakukushauri ita ndg zake na wakwako waonyeshe sms zote usifiche hata 1 huyo hataacha pepo hilo lililoingia nigumu sn kiacha umalaya huo mtafutie washauri wazuri wawa shauri Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Buyambaj

    Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

    Hii nayo kali sn sijaipata
  5. Buyambaj

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Pole dada kwa hilo vimilia hajaja wakwako
  6. Buyambaj

    Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

    Sio kweli nibwebwe tu za watu wanaushahidi gani mpaka kujua madeni walio kopa ndg zake huyo mtoa maanda?
  7. Buyambaj

    Ajali mbaya yaua bodaboda Kahama

    Picha hatuoni tupieni picha
  8. Buyambaj

    REA: Matumizi ya umeme vijijini yamepanda kutoka 2% mwaka 2007 hadi 41% mwaka 2016

    Jamani huu umeme mbona kwetu haufiki mnatupa takwiimu za madishi wakati kwetu umeme hàmna hata tone hata nyumba moja haina umeme halafu mnasema umeme asilimia zipi
  9. Buyambaj

    Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

    Lakini anavyofanyA haya mambo sio njema kabisa hata kidogo sijaipenda anacho taka lipumba nn jamani watu wameumiza vichwa kampeni za ubunge mpaka wamepata wabunge 10 yeye ameka kwenye umwenyekiti miaka migapi hao wabunge alikuwa hajawahi kuwapata kwa hiyo hawezi kuongoza na hafai kuwa kiongozi...
  10. Buyambaj

    Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

    Kabisa kk unachosema
  11. Buyambaj

    Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

    Siku leo saa gapi tena hili nijaribu kubwa sn
  12. Buyambaj

    Nchi imemshinda ndio maana anajutia Urais

    Biashara haziend
  13. Buyambaj

    Nchi imemshinda ndio maana anajutia Urais

    Maisha ya kila siku
Back
Top Bottom