Search results

  1. Don Mangi

    Natafuta mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

    Kwa anayehitaji mayai yapo ya kutosha, bei inaanzia sh 6500/- kwa trei. Idadi kuanzia tray 100 Napatikana Mwenge Dsm
  2. Don Mangi

    Natafuta kazi ya Library nina uzoefu wa miaka miwili

    Librarian The School of St Jude is an education institution, entirely funded by charitable donations, that provides free, high-quality primary and secondary scholarships to 1,800 of the poorest and brightest students in the Tanzanian region of Arusha. We are looking to appoint a Librarian to...
  3. Don Mangi

    Natafuta kazi nina Bachelor of Science in Telecommunications Engineering

    Job title :- field test engineer Education :- must graduated for the same Experience :- even fresher can apply Nationality :- only Tanzanian Contact me through +255686100103
  4. Don Mangi

    Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Mnashindwa kujua role ya HR, wanaoajiri ni departmental heads, kazi ya HR ni ku facilitate tu lile zoezi. Sometimes unakuta tayari candidate ameshakuwa disqualified na wanaomtaka HR wanaonekana roho ngumu kwa kuuonyesha ule ukweli.
  5. Don Mangi

    Kama wewe ni HR Officer/Manager wakiume hapa panakuhusu

    Umama ni kulalamika hivi.... Komaa mtoto wa kiume.
  6. Don Mangi

    Nime mmiss miss chaga

    How I miss them old times!!!!
  7. Don Mangi

    Je, unaweza kumtambulisha mpenzi mliyekutana mtandaoni kwa watu kwamba mlikutana mtandaoni?

    Mimi ntasema sehemu ya kwanza kukutana naye physically
  8. Don Mangi

    Am feeling guilty, nafsi inanisuta

    Break up!! Haina maneno mengi, unamtoa out siku moja unamueleza ukweli kwamba hudhani kama unaweza kuwa na future naye, ni chungu kumeza ila ni dawa. Mtoto wa watu atalia kama siku zake kadhaa ila Mungu kawaumba tofauti sana atasahau na maisha yataenda mbele.
  9. Don Mangi

    Natafuta Magari yaliyogongwa

    Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nanunua magari yaliyogongwa ya aina zifuatazo:- Toyota Hilux Toyota Surf Rav 4 Old Model Isuzu Wizard Suzuki ya aina yoyote Gari nyingine zinazofanana na hizo ila iwe ya juu na isiwe jamii ya saloon cars Masharti Gari iwe na engine yake pamoja na...
  10. Don Mangi

    Airtel...wameshindwaje?nini tatizo?

    Sijaona mkuu, insolvency kabisa au?? Nitupie link
  11. Don Mangi

    Airtel...wameshindwaje?nini tatizo?

    Mkuu The Boss kufanya restructuring siyo kufilisika. Ni kubadili namna ya uendeshaaji wa biashara ili usipate hasara kubwa na uweze kunufaisha wanahisa wako. Restructuring ni kujipanga upya tu.
  12. Don Mangi

    Msaada wa jina la Embe ng'ong'o kwa kiingereza

    Ambarella or Golden Fruit or Golden Plum. Uniletee hiyo zawadi.
  13. Don Mangi

    Serikali kama imeshindwa industrial revolution tafadhali fanyeni agricultural revolution

    Kilimo kwanza iliishia wapi??? Si ndio mlitaka kutuaminisha kuwa ile ndio ilikuwa sera kuu ya kuinua uchumi? Kumbe wakubwa wanabeba vya kwao tuu.
  14. Don Mangi

    Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

    Kwako LadyAJ, Kwanza pole sana kwa changamoto (Maana hatuwezi sema ni shida) hii ni changamoto tu!! Kwanza kabisa ni shukrani kwa Mungu kwamba una Mama wa Mumeo. Ambae kimsingi baada ya ndoa ni mama yako pia. Watu wengi wanapotoka sana wanapotumia mazoea ya Mama Mkwe (Hii dhana kisaikolojia...
  15. Don Mangi

    Maneno maarufu secondary za bweni

    Wewe lazima utakuwa ni mzee wa Umenyeni=Ilboru moja.
  16. Don Mangi

    Huyu mchumba vipi?

    Mpendwa Yello Masai, Pole kwa mkasa uliokupata, kwanza unatakiwa ujiulize je duka analouza mpenzi wako ni la jumla au rejareja? anauza bidhaa gani? Je anapata faida yeyote? katika hiyo siku alipata shoti au mahesabu yalikuwa sawa. Inategemea labda TRA walipita katika hilo eneo hilo, kwanini...
  17. Don Mangi

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Mambo hayo, Dark Justice Robocorp Renegade Timetrax A lot to remember.
  18. Don Mangi

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Watoto wetu ya ITV
Back
Top Bottom