Search results

  1. Mwanaukweli

    TBS Kamilisheni marekebisho ya Website yenu Mnakwamisha Mizigo Bandarini

    Tangu Alhamisi iliyopita TBS wanarekebisha website yao. Kutokana na marekebisho hayo, huduma muhimu za kulipia Malipo ya TBS kwa magari yaliyo bandarini zimekwama. Mteja huwezi kutengeneza control number, hivyo huwezi kulipa, na hivyo mzigo hauwezi kutoka bandarini kwa sababu hiyo tu. Kwa...
  2. Mwanaukweli

    TANZIA Monsignori (Padre) Deogratias Mbiku wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Afariki Dunia

    Naleta hapa Tangazo la Kifo cha Msgr Mbiku kama lilivyotolewa na Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Monsinyori Deogratias Hukumu Mbiku wa Jimbo Kuu la...
  3. Mwanaukweli

    TANZIA Padre Josaphat Kilawila wa Shirika la Roho Mtakatifu afariki dunia

    Mkuu wa Shirika la Mapadre wa Roho Mtakatifu, anasikitika kutangaza kifo cha Padre Josaphat Kilawila, CSSp, kilichotokea Jana tarehe 23 Machi 2021 Saa 2:30 Usiku! Mungu amjalie pumziko la Amani Mbinguni mtumishi wake Padre Kilawila
  4. Mwanaukweli

    TANZIA Padre Richard Mshami wa Jimbo la Tanga afariki dunia

    Msimamizi wa Jimbo Katoliki Tanga, Pd. Thomas Kiangio, anasikitika kutangaza kifo cha Pd. Richard J. Mshami, kilichotokea tarehe 10/03/2021 katika Hospitali ya Rugambwa huko Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa. Ibada ya mazishi ni siku ya Jumatano tarehe 17/03/2021 huko parokiani Kilole Korogwe...
  5. Mwanaukweli

    TANZIA Padre Wilbald Mashauri wa Jimbo la Moshi Afariki Dunia

    Mhashamu Askofu Ludovick Minde wa Jimbo la Moshi anasikitika kuwajulisha kwamba usiku wa kuamkia leo Jumapili tarehe 7 Machi 2021, Jimbo Katoliki la Moshi limepata msiba mwingine wa kuondokewa na Padre ambaye alikuwa bado kijana, Padre Wilbald Mashauri. Taratibu za maziko mtajulishwa! Bwana...
  6. Mwanaukweli

    Dini na Siasa Vimefungana Havitenganishiki

    Anaandika Pd. Titus Amigu.. Dini hazijaanza jana, wala siasa hazijaanza jana. Kwa Wakristo Wakatoliki, kwa woga, watu wanafuja vipaimara vyao na sakramenti ya Daraja inayowafanya wawe makuhani, manabii na wafalme hapa ulimwenguni. Hao wanapatwa na woga kiasi hiki wanasema uongo wa kwamba dini...
  7. Mwanaukweli

    Hatua za Kumuondoa CAG madarakani kwa mujibu wa ibara 144 ya Katiba

    Kumwaondoa CAG madarakani kwa mujibu wa ibara 144 ya Katiba 144.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengine yaliyomo katika ibara hii, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Jamhuri ya Muungano atalazimika kuacha kazi yake atakapotimiza umri wa miaka sitini au umri mwingine wowote utakaotajwa na...
  8. Mwanaukweli

    Mbunge wa CCM Asema wazi: Lipumba Anafanya Kazi ya CCM, Msikilize...

    Msikilize Joseph Kasheku Musukuma akikiri kuwa Lipumba Anafanya Kazi ya CCM. Ni kuanzia 0:30 na kuendelea. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mwanaukweli

    Leo ndio nimemwelewa Waziri wetu wa Mambo ya Ndani

    Baada ya kuangalia clip hii, Ndipo nimeelewa kuwa hatujawahi kuwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kama huyu. Bila shaka ndio maana anamtetea Lipumba na chama chake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mwanaukweli

    Kete ya CCM kwa sasa KUFITINISHA ACT Wazalendo na CHADEMA

    Wakuu salamu. Tumeshuhudia juhudi kubwa iliyofanywa na dola kupandikiza mgogoro ndani ya CUF, mgogoro uliolenga kumpoteza na kummaliza kisiasa Maalim Seif Shariff Hamad. Kilele cha mgogoro huo ni matukio yaliyofuatana kwa karibu (si kwa bahati mbaya) mkutano mkuu wa CUF Lipumba, na maamuzi ya...
  11. Mwanaukweli

    Mgodi wa Buzwagi wauza Magari, mitambo n.k. kwa mnada Jumatatu 5 Machi

    Yaelekea mgodi umefika mwisho wa uzalishaji. Ili kushiriki mnada huu inabidi kurejista. Reg. fee ni Sh. 100,000/-. Zinalipwa Buzwagi penyewe, au TAN HOUSE, Victoria - ofisi za Acacia. Deadline ya kurejista ni leo. Kwa link hii unaweza kushiriki mnada online Auction Catalogue - Slattery Auctions
  12. Mwanaukweli

    Kampeni za CCM na CHADEMA Kinondoni tarehe 2 Februari Picha za video

    Hao ni CCM Hao ni CHADEMA Na hao ni CUF
  13. Mwanaukweli

    Dhana ya Kuchanganya Dini na Siasa kwa Mwanga wa Biblia

    Naomba nitumie Biblia kuelezea dhana ya kuchanganya dini na siasa. Katika Biblia, viongozi wa dini: manabii, mitume n.k. walikuwa na majukumu ya kutoa ujumbe wa Mungu kwa watu wao. Ujumbe huo mara nyingi ulikuwa wa kutoa utabiri wa mambo yajayo, kuonyesha njia katika changamoto zilizopo, na...
  14. Mwanaukweli

    IMF yakamilisha ziara yake Tanzania tarehe 12 Desemba

    IMF imetoa taarifa hii: A team from the International Monetary Fund (IMF), led by Mauricio Villafuerte, visited Tanzania from November 30 to December 12, 2017 and held discussions on the seventh review under the Policy Support Instrument (PSI) program that was approved on July 16, 2014 and on...
  15. Mwanaukweli

    Je, USD 300 milioni za makinikia zimeshalipwa?

    Wakuu, nilifuatilia kwa makini jinsi masuala ya makinikia yalivyoundiwa kamati maalum za uchunguzi, na taarifa za uchunguzi kuletwa kwetu. Katika taarifa ya Kamati ya Osoro, ilibainishwa kuwa takriban USD 20 bilioni zilikuwa zimeibwa na Acacia, na TRA wakaongeza na riba na adhabu ya kuchelewa...
  16. Mwanaukweli

    Wizara ya Elimu yafanya ujenzi wa madarasa Tanga

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako leo amekagua na kufungua ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya msingi kilole, Matondoro, na Kilimani na kuweka jiwe la msingi bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Semkiwa Wilayani Korogwe Mkoani Tanga. Akizungumza...
  17. Mwanaukweli

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako live TBC

    Jamani msikilizeni Prof Ndalichako akiwa TBC akihojiwa kuhusu kazi za Wizara yake.
  18. Mwanaukweli

    Uhalali wa Kisheria wa Mabadiliko ya Viwango vya ufaulu

    Kutokana na Sheria ya Baraza la mitihani, hasa ukizingatia malengo na wajibu za Baraza la Mitihani yaliyowekewa rangi tofauti hapa chini: Act No. 21 of 1973 PART II : THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA 3. Object and Functions of Council: There is hereby established an...
  19. Mwanaukweli

    Katiba ya CCM haina suala la Ukomo wa muda wa uongozi.

    Katiba ya CCM haina kipengele chochote kinachoweka ukomo wa muda wa mtu kuwa katika uongozi. Na katika sehemu inayotaja mwenyekiti wa taifa hakuna ukomo. Kwa kuwa suala la kukosa ukomo katika uongozi katika katiba ya Chadema limeonekana kuwakera sana wapenzi wa CCM na mahasimu wa...
Back
Top Bottom