Search results

  1. kisiki kizito

    Natafuta kazi, ajira au Kibarua kwenye Mgahawa Arusha

    Habari Wakuu, Mimi ni kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 24 mkazi na mzaliwa wa Arusha. Nilikua naomba kazi ya kufanya kwenye Mgahawa au restaurant Ndani ya mkoa wa Arusha na Mikoa jirani Uwezo wangu ni mkubwa wakuandaa Vyakula mbalimbali kama. Soup, mtori, uji, alkasusu, classic Wali...
  2. kisiki kizito

    NEC, kwanini hadi sasa jimbo la Arusha Mjini hakuna aliyeitwa kwenye usaili wa kusimamia Uchaguzi Mkuu?

    Habarini Wakuu. Husika na kichwa cha Habari. Tunakumbuka mnamo mwanzoni mwa Mwezi huu. NEC walitoa nafasi ya watu wenye sifa ya kusimamia vituo vya kupigia kura kwenye uchaguzi huu. Ila hadi sasa Jimbo la Arusha mjini watu hawajaitwa na siku zimebaki chache. Je, ndo utaratibu au kuna swala...
  3. kisiki kizito

    Natafuta kazi, ajira au kujitolea

    Habari wakuu. Mimi ni kijana wa kiume Miaka 24. Mkazi wa Arusha. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Naomba kwa yeyote mwenye kuweza kunipa ajira ya muda au ya kudumu. Kitengo chochote iwe ni ofisini, Nyumbani, shambani. Nina uwezo mzuri wa kuongea kiswahili na kiingereza. Elimu yangu na...
  4. kisiki kizito

    HESLB kuna ubadhirifu mkubwa sana wa fedha za mikopo chuo cha IFM

    Habari wanajamvi.... Naandika haya moja kwa moja yaende wizara ya fedha na mipango, wizara ya elimu, wizara ya utumishi wa umma, na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu... Kwa masikitiko makubwa chuo cha IFM kimekua kikitutesa sana wanafunzi ususani kwenye kupokea hela zetu za mikopo...
  5. kisiki kizito

    Nyimbo za Watanzania (bongo) kwenye mashindano ya IAAF U18 Kenya

    Habari wakuu.. Nimefuatilia kwa karibu mashindano Haya yanayofanyika jijini Nairobi nimeona kwa kiwango Kikubwa wakenya wakizidi kupromote mziki wetu Kwan Nyimbo nyingi za bongofleva na gospel pia zimepigwa Ahsantee wakenya kwa kutambua kuwa tuna mziki mzuri unaosikilizika zaid EA..... Sent...
  6. kisiki kizito

    Kuna kikundi cha watu kumi na moja kinatuharibia jina la Nchi...

    Wakuu habarii..... Kwa masikitiko makubwa kuna kikundi kidogo cha watu ambacho kinaihaminisha dunia kuwa Sisi ni watu wa aina fulani Ila CYO Taifa stars inatuhaibisha Sanaa mpira inaocheza CYO kabisaa... ILO siyo soko la Tanzania kauzu FC au temeke FC wanacheza mchezo mzuri kuliko icho...
  7. kisiki kizito

    Msaada wa tiba ya tatizo na keloidi

    Habari wakuu Nimekua nikisumbuliwa na tatizo usoni la nyama zilizotoka baada YA makovu YA chunusi.. (keloidi) Naomba kujua namna YA kuondoa tatizo hilo Ahsanteni
  8. kisiki kizito

    Zijue sehemu za mwili zinazohakisi kwa ukaribu maumbile yetu (nyeti)

    Habari wakuu.... Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegendua jambo kuhusiana na maumbile yetu Kwa wanawake.. Ukichunguza utakundua kuwa lipsi zake zinashabiana kabisaa na saizi ya papuchi... Kama analipsi zilizopanuka utakuta na papuchi hivyohivyo... Na mama Ana lipsi ndogo hvyohvyo...
  9. kisiki kizito

    Taifa stars tupeni raha watanzania Leo.....

    Habarii za wakati huu!!!!! Leo Ndo ile siku ambapo vinaja wetu na timu yetu YA soka YA Tanzania (Taifa Stars) itakaposhuka dimbani CHAMAZI COMPLEX STADIUM kupepetana na Timu YA taifa ya Lesotho..... Tunahamini mmejianda vizuri kwa mechi Hiyoo kutokana na maandalizi YA week chache mliofanya...
  10. kisiki kizito

    Kesho nataka kwenda kuangalia mechi ya Taifa Stars ili sijui nafikaje!

    Habari wakuu! Kupitia kichwa cha habari mimi nakaa Mikocheni Regent kwa anayeweza kunielekeza namna yA kufika Chamazi Complex kuangalia mechi Kesho naomba anielekeze. Yaani usafiri na kama kuna maandalizi yoyote natakiwa kufanya. Ahsanteni.
  11. kisiki kizito

    Hali ya kituo cha mabasi Makumbusho - Dar yazidi kuwa mbaya

    Habarii Wakuu!!! Natumaimi mmeamka salama, Ila kuna kero moja imekuwa sugu sana katika jiji letu na sijui mamlaka zinazosimamia hususani Manispaa ya Kinondoni hazilioni hili tatizo...!? Barabara za kuingia stand ya Makumbusho kwa wanaotokea Posta au Tegeta imekuwa ni mbaya sana na changamoto...
  12. kisiki kizito

    TANZIA: Mwanafunzi wa IFM mwaka wa tatu afariki Dunia

    HABARI ZENU WANA NDUGU: SERIKALI YA WANAFUNZI IFMSO INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA RAFIKI YETU/NDUGU YETU JANETH KIWALE WA ACCOUNTS MWAKA WA TATU. AMEFARIKI SIKU YA LEO trh 18/05 MAJIRA YA SAA TATU USIKU AKIWA ANASUMBULIWA NA MALARIA HOSPITALI YA BOCHI. TARATIBU YA MAZISHI ZITAFANYIKA...
  13. kisiki kizito

    Kwanini Clouds Media Group hawajapost taarifa uwekaji wa jiwe la msingi Ubungo Fly-Over?

    Kama kichwa kinavyosomeka wadau mpaka sasa hakuna page yoyote ya clouds iliyopost taarifa yoyote kuhusiana na kilichokuwa kinaendelea ubungo najiuliza ni wameshaukinai huu utawala wa kibashite na swahiba wake au !!??
  14. kisiki kizito

    Foleni Barabara ya Ali Hassan mwinyi imekuwa kero

    Habari jf Niko hapa kituo cha polisi osterbay nikielekea city centre Ila cha ajabu ni kwamba magari ayasogea kwa zaidi YA lisaa Sasa na pia watu wengi wanazidi kuchelewa maofisini na Wengne kwenye ujasiriamali na Wengne wanaosafiri kwenda ng'ambo YA bahari ili Tatizo ni sugu Sasa kuna haja YA...
  15. kisiki kizito

    Mambo yaliyopelekea Matokeo mabovu CARE 2016

    Habari Wakuu!! Hivi Jana tu serikali kupitia baraza la mitihani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha nne Huku hali ikionyesha ufaulu kuongezeka lakini kiuhalisia Huku mitaani wahitimu waliopata division four na zero wamekuwa wengi Kuliko waliopata three Mpaka one kwa mtazamo wang Hayaa ni...
  16. kisiki kizito

    TRA liangalieni hili la bidhaa ikishanunuliwa hairudishwi

    Baadhi YA wafanya biashara wamekuwa wakiidhulumu serikali yetu kwenye swala la kodi kwa kuuza bidhaa zenye thamani kubwa Huku zikiwa hazilipiwi kodi Kwani risiti zinazotolewa na wafanya biashara hawa ni zile ambazo wanazitoa wenyewe ( issued) Huku zikiwa zinamkandamiza mwananchi wakawaida kwa...
  17. kisiki kizito

    Kuhusu kurejesha kitambulisho cha mpiga kura kilichopotea

    Wakuu poleni na majukumu yakujenga taifa ningeomba kujua taratibu za kupata kitambulisho cha mpiga kura kilichopotea,,, nikiwa na Maana YA je! Unaweza pewa kingine na kama ndiyo process gani za kufuataa,, ahsanteni
Back
Top Bottom