Search results

  1. R

    Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria

    Kuna tuhuma kuwa baadhi ya viongozi wa awamu iliyopita na wengine wa awamu hii wako kwenye payroll ya serikali ya Egypt ili kuzima au ku sabotage kwa namna mbali mbali miradi ya kilimo cha Umwagiliaji na matumizi mengine ya maji toka ziwa victoria Baadhi yao wako ndani ya idara mbali mbali za...
  2. R

    WITO: Serikali ifunge kituo cha Tanzania Investment Centre (TIC): Its not fit for purpose

    Biashara kufunguliwa ni efficiency, technology, innovation & transparency, na huhitaji kuwa na TIC Its a waste of money and resources kama ilivyokuwa ile pet project ya JK (Big Results Now) au BRN au Presidential Delivery Unit pale Ikulu kama tuna take bas Kila wilaya, mkoa iwe na investment...
  3. R

    Kusajili Biashara Rwanda ni dakika 10 (Bure), Tanzania ni miezi 3 na unalipa million 3(plus rushwa)

    Rwanda wanahitaji documents 2 tuu na unaweza kusajili biashara yako online BURE Tanzania unahitaji documents zaidi ya 18, na itakuchukua miezi 3 na zitakutoka si chini ya millioni 3 (na hapo ndio umetoa rushwa) Siri ya Rwanda: 1. Kutumia wataalam kutoka Tanzania kuweka mfumo wa compyuta wa...
  4. R

    Handover note/letter ya Kikwete kwa Magufuli

    Kwa kuwa serikali yetu ni kinara kwenye mambo ya Open Government Partnership au Uwazi serikalini je kuna mahala waliweka hand over note ya JK kwa Magu ambayo alimfahamisha hali halisi ya nchi (na hasa kiuchumi) ilivyo?
  5. R

    Kwanini Rais Magufuli hataki kutumbua jipu la BRELA?

    Rais Magufuli anasema anasema serikali yake imeweka mazingira mepesi kwa watu kufanya biashara zao kihalali na walipe kodi Lakini watu wake aliowaweka BRELA ambayo iko chini ya wizara ya Biashara wao wanaendelea kum kumhujumu kwa kufanya urasimu usio na kichwa wala miguu na kwenda kinyume na...
  6. R

    Mawasiliano Ikulu: Zama za Greyson Msigwa vs Salva Rweyemamu

    Kwa kweli tofauti inaonekana lakini I wish Greyson Msigwa na team yake wangejitahidi ku update website ya Ikulu, youtube videos na press releases za matukio. Pia I wish tungepata taarfa zaidi ya kinachoendelea Ikulu zaidi ya mambo ya Rais. Nashauri Ofisi ya Makamo wa Rais nayo ingepata...
  7. R

    Kwanini Magufuli(56), Kikwete(65) na Mkapa (77) hawakujumuika na MzeeMwinyi(91) Matembezi ya Kagera?

    Kuna siri gani? Ina maana Mzee Mwinyi at 91 ana influence kwa wanaanchi kiasi cha marais wenzake vijana kuogopa kuwa naye kwenye same platform ? Je hii ndio sababu ya watawala wetu kutomtumia kutatua migogoro? Mimi naona hili la matemebezi lina picha kubwa zaidi na linatakiwa kutazamwa kwa...
  8. R

    Kuna jambo la kutia shaka sana kwenye Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali (CAG)

    Kuna kitu kibaya sana kinaendelea kwenye ofisi ya CAG na tusipokisema kitty cost dearly kama taifa. Hivi mshawahi kujiuliza kwa nini pamoja na kujitahidi kuwa wazi na kutoa matamko mbali mbali juu ya utendaji wao kuna mambo ambayo wanajitahidi sana kuyaficha na wamegoma kuelezea sababu za...
  9. R

    Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Dr. Modestus Kipilima ni Mchungaji wa Kanisa

    Serikali imegoma kukubali mambo ya public vetting kama nchi nyingine hivyo sisi wanaJF ambao pia ni watu wa kitengo maalum cha CSI tunaleta yetu kuhusu huyu mheshmiwa mpya wa Usalama ambaye kwa kweli zaidi ya kuwa na sifa zote za kiusomi pia kumbe naye ni Mchungaji wa Kanisa. Kwa kweli...
  10. R

    National Transport Sector Masterplan chini ya Magufuli Administration iko wapi?

    Inabidi tuwe na mipango ya kujenga uwanja mkubwa wa ndege kama huo nje ya mji wa Dodoma kwa kuangalia mika 50 ijayo. Commander in Chief wetu NDUGU MAGUFULI wenyewe wanamwita MR INFRASTRUCTURE ambaye number 1 obsession yake ni haha mambo ya miundombinu lakini la kushangaza hatujaona any...
  11. R

    Jack Gotham ni nani kwenye siasa za Tanzania?

    Hivi kuna mtu mwenye wasifu wa huyu jamaa? Wanasema kuwa kama si yeye JK asingekuwa rais. Tunaomba profile yake ndani na nje ya chama.
Back
Top Bottom