Search results

  1. Richolic

    The Economist na Mauongo Yao!, Watuita "Tanzania Dam Nation","Mr Magufuli is Shackling The Economy","Officials Scared to Advice!", Watishia Unless...

    Sijamaliza kusoma nimeishia hapo #4 I have been your follower for so long bro, naona change in trend ila umakini katika taarifa hujawahi kupoteza Leo hii umeshindwa tafsiri margins?? Yaank kwamba hata kama voters waliongezeka Magufuli hadi the smallest percentage kweli??
  2. Richolic

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    Yeye kaishia hapo tengeneza thread au jibu hapa izo positive issues mnazo demand
  3. Richolic

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    Hisia, Chuki binafsi, mapenzi upofu, hofu, falsfa za kishenzi, ushabiki usio na tija wala manufaa, upuuzi na makwazo yasio na msingi mlioendekeza baadhi ya Watanzania ndomana hadi Leo tupo hapa utter nonsense. Ungekua unauelewa japo kidogo tu ungejua yote hayo hayana tija kama serikali...
  4. Richolic

    Haya hapa masharti yalioifanya Serikali isite kuendelea na mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Eti nani anaandika haya plus kila mkataba wauweke wazi ikiwa ni kutuonesha wapi fedha zinatoka
  5. Richolic

    Rais, nakuomba mteue Makonda awe Balozi

    Ubalozi wa USA au UK kabisa
  6. Richolic

    SERIKALI imeahirisha ujenzi wa barabara ya Dar es Salaam hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 ya Expressway hadi miradi mingine ikamilike

    Bora wasitishe miradi mingine lakini si kuiacha barabara katika stage hio, lakini mbaya zaidi project managers na acturialist wanafanyaga kazi gani kwenye miradi kama hii kwanini wanashindwa kumatch budget na uhalisia wa mradi madhara ya hio barabara kubaki hivo ni makubwa sana
  7. Richolic

    IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    Ili kuepuka lawama anza na yale mazuri kwanza watu wasiseme unapinga kila kitu
  8. Richolic

    Tunarudi nyuma? Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa 4%

    Let's say tumefika saturation tayari bado mapema Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Richolic

    Hoja juu ya hoja: Bunge kutoshirikiana na CAG si kuizika vita dhidi ya ufisadi iliyoasisiwa na inayosimamiwa na Rais Magufuli?

    Nyie mbona hamueleweki mnaongea nini? Mko upande gani ? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Richolic

    Hili likifanikiwa nitaipongeza TISS na Rais Magufuli

    Stigler's gorge is deeper than TISS ila hutaona ilo bwawa likijengwa hivi karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Richolic

    Rais Magufuli amshukuru Rais wa Urusi Putin, amuomba aje Tanzania

    Muoneshe uyoo[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Richolic

    Gwiji wa "negotiations" Palamaganda Kabudi kuongoza majadiliano dhidi ya Umoja wa Ulaya mkataba wa EPA

    Muwe mnaomba ibarikiwe serikali our Tanzania is fine very fine Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Richolic

    Uganda Vs Rwanda kimenuka

    Mind you Kabudi he is on board as a mediator[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Richolic

    Kuna siku CHADEMA watapongeza Serikali ya CCM?

    Hawapo kupongezana Sifa na pongezi hazina tija, hazikuzi uchumi, haziboreshi maisha yako wala yangu, zinamlemaza mtu anajiona bora yapaswa kumsifia Mungu tu hata mpenzi wako fanya kwa nadra sana. Simaanishi wasiwe na shukrani, hapana upinzani unapaswa kurecommend, kutoa mawazo mbadala, kukosoa...
  15. Richolic

    Shilingi kushuka thamani na hali mbaya ya uchumi wetu: Sababu ni nini na nini kifanyike?

    Mapendekezo ya hatua za kuchukua ili kuimarisha thamani ya shilingi - JamiiForums Kwenye nini cha kufanya hasa fiscal approach unaonaje wazo hili Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Richolic

    Mapendekezo ya hatua za kuchukua ili kuimarisha thamani ya shilingi

    Let's say haijashuka wazo lake la "currency stabilization fund" bado litakua valid kuzuia siku isije kushuka Na kama shilling imeshuka, bado tunaweza kuinusuru hadi wewe maskini usione impact yake maana mpaka sasa huhisi kitu. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Richolic

    Mapendekezo ya hatua za kuchukua ili kuimarisha thamani ya shilingi

    Standard ni maji ndio. Sababu ya kua na unafuu wa gharama pamoja na high heat capacity. Lakini huwa yanachanganywa na antifreeze pamoja na corrosion inhibitors Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom