Search results

  1. Majan

    Mwanangu amepoteza uwezo wakusimama na kutembea

    Nibinti wa miaka 10 ijumaa trh 11mar,2022 amerudi toka shuleni sa11 jioni akasema ameanguka akiwa anacheza mpira wamiguu nawavulana shuleni tukamuuliza umeumia? Akasema kidogo nikweli alikua anatembea kama anavuta mguu kwa mbali sana mamaake akamuangalia miguu ipo sawa haina uvimbe wala nini...
  2. Majan

    Msaada matibabu ya Apendex

    Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
  3. Majan

    Ni maeneo gani ambayo huwezi kuambiwa karibu tena?

    Nidesturi ya sehemu nyingi kuambiwa "KARIBU TENA" baada yakupatiwa huduma fulani lakini maneo haya kamwe huwezi kuambiwa karibu tena nakama utaambiwa hivyo basi utahisi unatakiwa NUKSI ama UCHURO baadhi yamaeneo hayo ni: (1):-MORTUARY (2):-KWAMUUZA MAJENEZA (3):-GEREZANI Ongeza na wewe sehemu...
  4. Majan

    Nilihisi Tetemeko la Ardhi Mbeya. Je, kuna mwingine yeyote alilihisi?

    Ameni iwe nanyi Jana Trh 28 Dec 20 majira ya sa 9 Alfajiiri kulitokea tetemeko la Adhi ktk eneo nililopo huku Mbeya kwakweli hakikua dogo mana nilikua usingizini lakini nilistuka kwa huo mtikisiko lkn cha ajabu jana nikiwa kibaruani sijasikia mtu yoyote akizungumzia hilo tukio nikajaribu...
  5. Majan

    Hivi Gwaji boy anamchukuliaje Harmonize

    Amani iwe nanyi. Huwa najiuliza sana ivi Gwajima anamchukuliaje Harmonize .? Kuna ule mstari ktk nyimbo ya harmonize UNO kuna kipande kinasema "NDO LILE GWAJIMA ALILOMPATIA KONDOO" Unooo ooh Ukizingatia Gwaji mwenyewe kwasasa ni MGOMBEA UBUNGE sasa unakuta kwene majukwaa yachama Harmonize...
  6. Majan

    Chachuo moja kweli ama uongo mfupi kujirahishia maswali

    Habari.! Binafsi naamini kuna muda uongo unaruhiwa inategemea nikatika hali gani. Sasa kuna binti kisa chake kilitatanisha na kusababisha ugumu wa kumuamini. Kisa chenyewe ni hiki. Kuna bint juzi nilimkuta anaomba msaada kijiweni kwa wamama flani ivi wauza mafuta ya alizeti maelezo yake...
  7. Majan

    Spika wa Uganda,awataka wabunge wa Uganda kutoshiriki ngono na kuacha pupa wakati wa kula

    Spika wa bunge Rebecca Kadaga amewashauri wabunge wa Uganda na maafisa wa itifaki kulinda hadhi yao wakati wote wa Mkutano wa 64 wa Bunge la Jumuiya ya Madola. Mkutano huo, uliopangwa kufanywa kati ya Septemba 22 na 29 mjini Kampala, unatarajiwa kuvutia wajumbe takribani 1,000 ambao unajumuisha...
  8. Majan

    HUU WIMBO NANI KAIMBA NAUPENDA LAKINI NASHINDWA KUDOWNLOAD

    Ebu tuucheki sote
  9. Majan

    Kati ya wamiliki wa Tv Channels na wamiliki wa ving'amuzi, nani anayemlipa mwenzake?

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, hicho kitu kinanitatiza kwa kweli. Je, ni mmiliki wa Tv channel ndo anaemlipa mmiliki wa Kinga'muzi ili channel yake ionekane kwene king'amuzi husika au ni Mmiliki wa King'amuzi ndiye anaemlipa Mmiliki wa Tv channel ili nae aweze kuuza...
  10. Majan

    Swali kuhusu vijana wetu wa Serengeti Boys

    Habari wakuu? Hivi wale vijana wetu watimu ya Serengeti Boys ambao kwasasa wanaendelea kufanya vyema huko Nchini Gabon kwene mashindano ya AFCON je wanasoma mana umri wao bado Mdogo wakuendelea namasomo ila binafsi nashindwa kuelewa kama wangali wapo masomoni ama La, nakama wangali kwene...
  11. Majan

    WASTENDI yupo wapi.?

    Salam wanajamvi Naomba kuuliza yule jamaa wavituko kila kukicha alikua anajiita WASTENDI ivi yupo wapi? nikati yawatu waliokua wanachangamsha sana jamvi sasaivi simuoni je nikweli haonekani humu au nimimi tu ndio simuoni ? au umebadilisha ID mkuu umekuja na ID nyingine...?
Back
Top Bottom