Search results

  1. Mgugu

    Hivi tukikawekea mafuta ya taa kwenye chakula yatasaidia kweli?

    Jana nilikua napiga story na mshaji wangu, baada ya maongezi ya hapa na pale akaomba msaada wa mawazo kutoka kwangu. Mke wake amekaleta kabinti hapo nyumbani kwa ajili ya kukalea na kukasomesha, haka kabinti ni katoto ka shangazi wa mke wake, ndio kwanza kameanza form one mwaka huu, kana...
  2. Mgugu

    Nimekukumbuka dada yangu Dena Amsi

    Tokea jana kila nikiingia Jamii forum najikuta moyo wangu unakua mzito, nafasi yangu inakosa raha, simanzi na huzuni inatawala ndani ya moyoni wangu, Nakumbuka jinsi ulivyokua mkarimu kwangu na kwa wanajamii forum wote hususan katika hili jukwaa letu la MMU. Upole wako, ucheshi wako, michango...
  3. Mgugu

    Ushauri kwa serikali kuhusu bank A/c zaTRA

    Kumekua na malalamiko mengi humu jamvini kuhusu manyanyaso wanayopata wafanyabiashara kutoka kwa maafisa wa tra kwa kukadiriwa kodi kubwa tofauti na kiwango cha biashara wanazozifanya. Pia wengi wameingia wasiwasi kuhusu uhakika wa kodi wanayolipa inafika sehemu husika au la. Taratibu...
  4. Mgugu

    Galadudu kitambo hajaonekana jamvini

    Wakuu huyu mtu ni mda mrefu sana amepotea hapa jamvini, nnamashaka wasiojulikana wasije kua tayari wamefanya yao. Story za Gala kwa kiwango kikubwa zilikua zinanisaidia kupunguza stress zinazotokana na misukosuko ya hapa na pale. Ila pia nnamashaka sana na huyu kiumbe anaejiita GuDume kama siye...
  5. Mgugu

    Car4Sale Pickup body ya Nissan Safari inahitajika

    Wakuu nahitaji body ya nyuma tu (pickup body) ya Nissan Safari bila ya cabin Kama unayo ni pm.
Back
Top Bottom