Search results

  1. Papa D

    Hili hapana, Hayati Magufuli anasingiziwa

    I have never read such madness in this JAMII FORUM before this one you posted I am going to tell you only one legacy of JPM. Magufuli managed to establish government getway revenue collection system. Now this government collection is highly improved. Ndiyo maana leo SSH anaongea kwa kujiamini...
  2. Papa D

    Rais Samia jumba bovu analilea mwenyewe

    Inaelekea kuna ukweli kwenye tuhuma za Mbowe maana kundi kubwa la watu wanaingilia uhuru wa mahakama pia wanamshinika Rais aiingilie mahakama kwa kumwondolea kesi Mbowe. Naanza kuamini kwenye ukweli wa tuhuma za huyu jamaa maana siyo kwa kelele hizi
  3. Papa D

    Je, kila kinachofanyika "kinalenga kufuta Legacy" ya Magufuli?

    Mbona mnatumia nguvu nyingi kumshambulia JPM. Yaani uzembe wenu mnamhusishaje JPM. Pambaneni na hali zenu. Maana kwa dalili hizi mnazoonyesha hata SSH akitoka story zitakuwa ziezile dhidi yake!
  4. Papa D

    Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

    Aiseee 🧐🧐 Kongoli nyingi
  5. Papa D

    Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

    Is DRC Congo a democratic or resource center?? Nani anapima demokrasia?? Nini kipimo cha demokrasia? Wakati gani tuseme hii ni democratic na lini tuseme hii siyo??
  6. Papa D

    January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Jibu swali la msingi kwamba:- Je, uchakavu ulisubiri makamba na bodi yake waingie ndipo ulete madhara?? Kama ni scheduled maintenance kwanini hawatangazi na badala yake wanakata kiholela?? Stop blaming others for your own incompetence.
  7. Papa D

    Kwanini Magufuli aliwakumbatia Machinga?

    Mtasema sana lakini JPM alianza kujenga taifa la Raia wanaojiamini. Wasio wa kulia lia na ku-dream misaada tu!
  8. Papa D

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Acha kulia lia fanya kazi 😡😡
  9. Papa D

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Mshindi ni sabuni bora kuliko zote, Yenye kutakasa kuliko zote, Mshindi oyeee, Mahindi.
  10. Papa D

    Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    Kwa vipi uamue kuwa na double face? Kwa nini usichague nchi moja tu na kuchukua uraia wake?? Jambo lipi linakuzuia kuchagua sehemu moja ya kuishi mpaka ulazimike kuishi na pasi mbili za kusafiria? Unajaribu kuficha au kupata nini cha ziada?? Kwenye makala umesema wengi wa wanaopinga uraia pacha...
  11. Papa D

    Bwana Tundu Lissu, Hoja ya Chato na Maendeleo ya sasa inajibika Kimantiki

    Hebu, Toa vigezo vya kutojenga uwanja wa ndege Geita na badala yake kwenda kujenga Chato umbali wa kilometa takribani 90 ambako kuja population ya watu wasiozidi 130,000/- ilhali geita kuna population inayozidi 300,000 sambamba na wafanyabiasha wengi na wakubwa kuliko chato??? Tueleze sababu...
  12. Papa D

    Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

    Hii nzuri sana. Ili mradi wasiue mtu. Waendelee kunyoosha hivihivi mpaka madiwani na wabunge waanze kuukimbia uongozi walioupata kiharamu
  13. Papa D

    Strong Opposition is critical

    Wana CCM mnafurahia ushindi mnono wa kubumba, leo niwakumbushe jambo kwamba; Mzee JMK aliulea upinzani ukaanza kukomaa. Mwana 2015 ikapelekea kuwepo na ushindani uliosababisha tumpate JPM ambaye. Wana CCM wote mnajivunia kuwa ni jembe lenu. Lakini kipindi hicho kusingekuwa na upinzani imara...
  14. Papa D

    Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

    Hivi kweli kabisa gwajima anajiona kushinda Kawe ?
  15. Papa D

    Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

    jibu hoja acha kugalagala 😡😡😡😡😡😡😡😡
  16. Papa D

    Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

    Jibu hoja, Acha kupindisha mambo! 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
  17. Papa D

    Uchaguzi 2020 January Makamba asikitika kupitishwa bila kupingwa, atamani angechaguliwa na Wananchi wa Bumbuli

    Aache unafiki, Kama ameumia ajitoe ili mchakato uanze upya. Maana akijitoa hapatakuwepo na mgombea kwa hiyo uchaguzi utaitishwa upya.
  18. Papa D

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

    Akiacha kutumia lugha za matusi mbele ya cyombo cya habari watamrusha tu hewani tena MUBASHARA 🧐🧐🧐
Back
Top Bottom