Search results

  1. K

    Mr. Foy arudishwe TRA

    Wakati umefika kwa serikali kumrudisha kazini mtoza kodi Mr.FOY, huyu ndugu aliondolewa kwa hila za wakwepa kodi, kwani jamaa anaijua CUSTOMS vizuri .
  2. K

    Sherehe za Uhuru wa Tanganyika

    Wandugu kuna tangazo limetolewa na ofisi ya waziri mkuu linaonyeshwa kwa Runinga kutoa taarifa kuwa trh 9/Dec ni siku ya kuadhimisha kupatikana UHURU wa TANZANIA BARA,Ninaomba ofisi husika irekebishe hilo tangazo na kuweka nchi sahihi kwani uhuru kutoka kwa wakoloni ulipewaTANGANYIKA.
  3. K

    Mazingira machafu Marian Girls/Boys Sec, Bagamoyo

    Nasikitishwa na kushangazwa kuona tunaletewa kadi za michango ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Marian pale Bagamoyo, wakati hali ya mazingira ya shule zake ni mbaya mno, hata ofisi za waalim na mabweni ya watoto ni hovyo. Hivi wizara husika haioni hili? Hata Kama vijana wanafanya vizuri inabidi...
  4. K

    Kumbe Skin Tight Maarufu!

    nilifikiri kwa sisi wa uswazi tu,kumbe vazi hili ni maarufu.
  5. K

    NBC LTD waleta mpya!

    Leo nilikuwa na shida ya vijisenti kwa hiyo kama kawaida nikapita kwa ATM ya NBC LTD ,nikakuta a/c haifanyi kazi kuingia ndani nauliza wanasema wametufungia A/C zetu, mpaka mwenyekiti wa serikali ya mtaa ajaze upya fomu hii hapa.Hii manaake nini? sasa je kwa wale wasafiri ambao wako nje ya...
  6. K

    Kuuliza si ujinga

    Mimi nina binti kaolewa na ana watoto 2 na wanakaa kwao kwenye nyumba ya yeye na mumewe,mama yuko mko mwingine na wao wako Mkoani lakini anamlalamika mama mkwe wake kila akienda kuwatembelea kwao,anajishughulisha sana,lakini kinachomkera huyu binti yangu ni kwamba imefikia mahali,binti akiwa...
  7. K

    msaada kwa hili

    Wandugu nilikuwa safari,nimerudi nyumbani kwangu usiku wa manane nimemkuta mama mkwe kalala na mke wangu chumbani kwangu,na nina nyumba kubwa tuu ya vyumba 4.niwaeleweje hawa watu na nifanyeje kwa hili?
  8. K

    Roses are Red...!

    Roses are red, violets are blue, I have 5 fingers, the middle ones for you.
  9. K

    Viongozi wa Tanzania

    Wajue kuwa Wanawaongoza Binaadam na sio wanyama, kutojali na kusikia vilio na matatizo yao ipo siku .........!,kwani tumechoka na blah,blah zenu.
  10. K

    Boys are Stronger Than Girls?

    Please... 1).Can you bleed for a week and survive? 2).Can you squeeze 14 inch baby from a 9 centimeter hole? 3).Can you carry a 7 pound baby in your stomach for 9 months? 4).Can you take care of a child, cook, clean, and talk on the phone at once? 5).Can you carry 10 8 pound s.h.o.p.p.i.n.g...
  11. K

    Msaada

    Wandugu hivi hamu humzidi tamu?
  12. K

    Maoni ya January Makamba kuhusu Umeme hapa Facebook!

    January Makamba “The power crisis is a result of failure of planning and leadership at TANESCO and at the Ministry of Energy and Minerals” Je huyu mtu ni mkweli? au anatafuta Umaarufu?
  13. K

    Misemo mingine bwana...!

    Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
  14. K

    Waafrika nchini Marekani

    Kutokana na hali ngumu ya maisha Waafrica wengi wanakimbia hali ngumu ya maisha Marekani na kurudi makwao [URL="http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-12810828" Tunawakaribisha sana. Home Sweet Home!
  15. K

    Swali Kwa KCB (Kenya Commercial Bank)

    Hivi ni kweli benki hii inawakopesha fedha za kufanyia kazi bila dhamana kwa suppliers wenye L.P.O Kutoka Serikalini au Makampuni ya uhakika Waislamu kuliko Wakristu eti kwasababu waislamu ni waaminifu zaidi kuliko Wakristu? Naomba kuwasilisha hoja....!
  16. K

    Kumbe rais wetu nchi nyingine anagombewa?

    Angalia hapa!
  17. K

    Ili kuijenga upya nchi yetu tunahitaji vitu 4

    Watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.......!
  18. K

    Nyumba mpya za serikali

    Wana jamii Hivi ni kweli nyumba mpya za serikali zilizojengwa wakati wa awamu ya Tatu,kule Masaki,mikocheni karibu na usalama na kule mikocheni viwandani kuna baadhi wameuziwa viongozi ambao hawakuendelea na madaraka aidha kwa kustaafu au kukosa ubunge?, hebu tuliangalie hili!
  19. K

    Kuficha unaempenda

    Sielewi kipi ni kibaya zaidi? kuficha kwamba una mtu unaempenda au kuwa na wasiwasi kuwaeleza watu kuwa unampenda na kuogopa ipo siku utaaachwa?
  20. K

    People are Nothing!

    "Sometimes people are Nothing, U make them something...& When they become Something, They feel that you are Nothing.
Back
Top Bottom