Search results

  1. MWAKIGOBE

    Msaada wa drivers za camera ya laptop dell inspiron

    Toka nime instal windows 7 kwenye computer yangu naona webcome haifanyi kazi., nimejaribu ku download lakini bado tatizo lipo pale pale......... Naomba msaada wakuu.
  2. MWAKIGOBE

    CWT Certificate of "Agreement of Failure"

    Leo kituoni kwetu muwakilishi wa cwt mkoani kaja na akasema tupige kura ya maoni ya kukataa au kukubali mgomo.
  3. MWAKIGOBE

    Sifa za wanawake/wadada wanene

    Kwa hiyo mwanamke mwembamba ni kinyume cha mnene?
  4. MWAKIGOBE

    Matusi ya mwanasheria mkuu wa serikali kwa mh. Tundu lisu

    Yaani kwenye Chama Wajanja ni RA na EL, maana wamejitoa na wanaangalia Gemu kupitia luninga
  5. MWAKIGOBE

    Matusi ya mwanasheria mkuu wa serikali kwa mh. Tundu lisu

    Sikio la kufa halisikii dawa:flypig:
  6. MWAKIGOBE

    Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

    shibuda yaani bado hamumjui?
  7. MWAKIGOBE

    Tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (udsm.ac.tz)

    Hapa kunakamchezo wakuu, mbona ukiandika hiyo link kwa upya inafungua vizuri tu mambo ya chuo? ila ukilink hii ya humu ndo inaleta ngono.
  8. MWAKIGOBE

    Tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (udsm.ac.tz)

    mmmmmmhhhh, wakuu hii ni aibu kwa miaka 50 ya uhuru.
  9. MWAKIGOBE

    CCM wajiwekea doa kwa wananchi wa Arumeru Mashariki

    Kwani alipo kuwa hai alikuwa anaenda kwao kwa helkopta?. na kama alitumia gari, unataka uniambie yeye hakuona ubovu wa barabara? au alikuwa hatembelei kwao kama baadhi ya wabunge wengine wa magamba?. naomba uondoe huo upupu hapo juu.
  10. MWAKIGOBE

    ‘JK anavunja Katiba’

    hebu rudi hapa utupe mchakato wa jinsigani wananchi watakavyo amua.
  11. MWAKIGOBE

    ‘JK anavunja Katiba’

    thibitisha kauli yako.
  12. MWAKIGOBE

    TCU ni siasa? Naomba msaada!

    Tme ya vyuo vikuu nchini imetoa majina ya watu waliochaguliwa kujiunga na vyuo, tatizo langu ni ile pesa ya mkopo waliyotoa haina mchanganuo kama ni:- -ada ya mwaka au ni miaka yote? -ni pamoja na michango? - ni pamoja na malazi na chakula? naomba kwa anayefahamu anisaidie
  13. MWAKIGOBE

    TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

    huenda kote huko alikuwa akisaidiwa, na sasa hakuna msaada
  14. MWAKIGOBE

    TCU & HESLB na "Amount of Loan" mbona siwaelewi?

    Jjamani hawa TCU wameweka amount of loan, bila mchanganuo, naomba mnisaidie zile pesa walizoweka ni ada pekeyake? au ni pamoja na michango mingine? nawasilisha, nisaidieni
  15. MWAKIGOBE

    Majina ya TCU haya hapa na mikopo waliyopata

    <br /> <br /> JARIBU KUTEMBELEA E MAIL YAKO
  16. MWAKIGOBE

    Mpango wa vyakula shuleni usigeuzwe dili.

    Hivi karibuni serikali imeanza mpango wa kutoa vyakula kwa wanafunzi mashuleni lengo ni pamoja na kuwavutia watoto kwenda shule. mpango huu umekuwa ukidhaminiwa na watu binafsi pamoja na mashirika mbalimbali. lakini huko mbeya wilaya ya rungwe katika vijiji vya rungwe walimu wamekuwa wakiwaagiza...
  17. MWAKIGOBE

    Kilaza/kipanga ni yupi hasa?

    <br /> <br /> Mmmh hili nalo linahitaji kautafiti
Back
Top Bottom