Search results

  1. worldboss

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Habari wakuu Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA. shukrani
  2. worldboss

    Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

    Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu. 1.warangi 2.wapare 3.wahaya 4.wameru 5.wachagga
  3. worldboss

    Kampuni inayouza viwanja kigamboni

    Habari Nahitaji kampuni inayouza viwanja vizuri kigamboni. Nia nikukunua kiwanja kikubwa kizuri na itapendeza zaidi kama watakuwa na utaratibu wa kulipa kidogo kidogo. Shukrani.
  4. worldboss

    Picha Recho kizunguzungu azua gumzo mtandaoni

    Hivi huyu hana wazazi?
  5. worldboss

    Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Habari, Nini kilikusaidia kufaulu usaili wa ana kwa ana (oral) au ulikosea wapi? Naomba tushare expirience wakuu.
  6. worldboss

    Wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita kwa kufanyiana usaili ulioratibiwa na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma

    Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM. Kutokana na umakini...
  7. worldboss

    Sahili za vitendo (practical) kada network administrator wanatoa maswali ya namna gani?

    Habari Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
  8. worldboss

    Wapi ninaweza pata huduma ya laser permanent hair removal?

    Habari Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu zangu naombeni kufahamishwa.
  9. worldboss

    Hivi kwanini album ya pili ya albert mangwear "NG'E" wabongo tunaiunderrate sana?

    katika album ambazo zipo underrated basi album ya pili ya Albert Mangwear Nipe ni dili speed 120 Bata kila sehemu kimafia bonnie and clyde tuko juu CNN wakitaa Bila muziki Mapenzi gani inakosaje kuwekwa hata TOP 10, hii album inatakiwa iandikiwe kitabu. hakuna album yenye content kama hii...
  10. worldboss

    Nimeamua kuwa Michael Jackson wa pili katika suala zima la mahusiano

    Baada ya kuwa katika mahusiano na wanawake mbalimbali na kukutana na changamoto mbalimbali, ililazimu kukaa chini na kutafakari ni mtindo upi wa maisha niishi ili niweze kuepukana na matatizo na changamoto katika suala zima la mahusiano na ndoa kwa ujumla. Ilinichukuwa muda mrefu sana kupata...
  11. worldboss

    Nataka kuanza kufanya scrub, vitu gani vya kuzingatia?

    Habari Jamani nataka kuanza kufanya scrub, nina uso wa mafuta hivyo basi ningependa kujua vitu gani vya kuzingatia ili niwe na matokeo mazuri. Na je, ni salama kufanya katika saluni zetu hizi za buku mbili mbili za mtaani au ni vizuri niwe nafanya kwenye saluni kubwa za bei?
  12. worldboss

    Msaada: Muwasho mkali makalioni baada ya kutembea na mke wa mtu

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni. Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua mpaka sabuni ya dettol lakini bado muwasho ni mkali sana. Nimeanza kupata mashaka kuwa yule...
  13. worldboss

    Andika ID yako kwa tamaduni ya croatia

    Wacroatia 🇭🇷 wanatamaduni ya kumalizia majina yao na "ic" mfano Modric Mandzukic Olic Je, wewe mwana JF ungezaliwa croatia ID yako ingeandikwaje? Mimi naanza "worldbossic"
  14. worldboss

    Simulizi kuhusu kazi zangu katika taasisi ya NASA

    Habari Baada ya kimya cha muda mrefu leo nimeona si vibaya kuja na uzi unaoeleza kuhusu shughuli ninazo zifanya huku ughaibuni. Nimekuwa muajiriwa wa NASA kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa katika kitengo cha earth to mars lauching systems. Katika kitengo hichi kuna mainjinia takribani ishirini...
  15. worldboss

    Bushoke aachia ngoma yake featuring albert mangwair

    Inaitwa east zoo queen 🔥🔥
  16. worldboss

    Handsome vs cute

    Bila kupepesa. Ipi ni compliment nzuri? Wanawake wanavutiwa na wanaume handsome au cute?
  17. worldboss

    Nafasi za kazi 5 pentagon

    Habari!! Fanyeni kuapply wa Tanzania wenzangu tuongezeke huku maana mpaka sasa nipo mimi tu.
  18. worldboss

    Nataka kunyoa nyusi

    Habari Mimi ni mwanaume rijali lakini kisema ukweli mimi sipendi nyusi na nafikiria kwenda kuzinyoa. Najua inaweza leta tafsiri mbaya lakini kwa kweli mimi nachukia nyusi ni bora tu nizitoe.
  19. worldboss

    Nimemkubali sana Hanstone wa iokote

    Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama. Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
  20. worldboss

    Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

    Baada ya kugundua kuwa uwezo wangu wa kufanya mapenzi umepungua kiasi, niliamua kuomba ushauri kwa rafiki yangu wa karibu. Rafiki yangu alisikitika sana lakini aliahidi kunisaidia kwa hari na mali iliniweze kurudi hari yangu ya zamani hivyo aliniconnect na mtaalamu wa tiba mbadala...
Back
Top Bottom