Search results

  1. C

    Wagombea wa CCM namba zetu za Simu mmetoa wapi?

    Hizo sms tumetumiwa hata huku nyamagana mwanza na mgombea wa ccm(mabula stanslaus) akidai kuomba kura..Ila juzi nilifarijika baada ya kuona sms toka kwa kamanda Ezekiel Wenje naye akiomba kura. nikasema moyoni kuwa hapa ni jino kwa jino. na hatimaye makamanda wanazama magogoni.
  2. C

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Mbona hujauliza kwa nini magufuli hayupo, hashim rungwe, dovutwa?. alaf ukae ukijua kuwa kutokea itilafu kwenye vyombo si kwamba utapigiwa alam ili ujiandae! Na ndio maana hata helcopter ya ccm ililipuka. vitu hivi kuharibika ni muda wowote.Think twice
  3. C

    Vijana vyuo vikuu waikana UKAWA hadharani

    Eti wanafunzi wa vyuo vikuu.. nyooo. labda kama chuo kikuu unasoma mwenyewe. lakini kama chuo kikuu ni taasisi,basi usijifanye kuwa msemaji wa wanachuo.Mimi nimechoshwa na ukandamizwaji unaofanywa na utawala wa ccm.Hiyo siyo siri,tuache ushabiki usio na msingi. Anayeshabikia labda kaahidiwa...
  4. C

    Mkuu wa Wilaya Rorya aagiza matokeo yatangazwe kwa nguvu

    mara ya kwanza la kairo aliwadanganya wana rorya kwa madawati.wakampa kura. alivyoahidi hakuna alichotekeleza. mf. aliahidi kuchimba lambo huko kowak na hakufanya hivyo. alitumwa bungeni akaenda kusinzia.hadi siku ya kuapa bungeni akashindwa. Kwa sasa wana rorya wanataka mabadiliko.. Piga chini...
  5. C

    CCM Wametelekeza Watu Mwanza

    Wametelekezwa kweli. maana tumeona watu wanatoka furahisha kwa miguu hadi nyegezi.na wengine wanaenda buhongwa!! wakilalamika na huku wakiwa wamenyeshewa kimvua cha saa mojamoja. ni sheeeda!
  6. C

    Msimamo: Kama hakuna kulinda kura, hatupotezi muda kupiga kura!

    Aisee msiogope.Twende tupige kura. maana tusipopiga kura tunjitayarishia kushindwa. si kila kituo atakuwepo police. wengine ni mgambo. pili police mmoja hawezi tushinda raia,tatu police nao wanataka mabadiliko
  7. C

    Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

    Hilo ndo jibu. na si ajabu wamesombwa kwa maroli toka maeneo mengine.
  8. C

    Mwigulu atuma salamu kwa vitendo kwa Lowassa na Vincent Nyerere

    Kazi na unarandaranda mitaani daily.acha ubongolala
  9. C

    Mkoa wa Mbeya umulikwe sana na vyombo vya ulinzi na usalama kuanzia wakati huu

    Mtoa post acha ujinga na post za uchochezi. hivi unavifundisha vyombo vya ulinzi na usalama kazi?. Then acha kabisa kuhusisha mataifa jirani na sisa za tanzania.Yaani uchaguzi ufanyike alafu burundi,zambia,rwanda na congo waje kuanzisha vurugu tanzania!!?? how comes! it doesnt bring sense...
  10. C

    Lowassa apigwa mawe Tarime

    mtoa post uwe unasoma alama za nyakati
  11. C

    Natafuta Kazi ya maabara

    Daima mshahara huwa ni siri ya mtu. na ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
  12. C

    Natafuta Kazi ya maabara

    Nipo mkoa wa mwanza.
  13. C

    Natafuta Kazi ya maabara

    Ninayo taaluma ya maabara ya (Laboratory microscopist) nawaomba wana Jamii Forum ambao ni wamiliki au wapo karibu na wamiliki wa hospitali,vituo vya afya au zahanati. Kama kuna uhitaji wa mtu wa kufanya kazi maabara msisite kunitaarifu. tumia Email hii: thomasclemence200@gmail.com au simu...
  14. C

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Jaman wadau wenye pc! naomba mniangalizie huyu mdogo wangu S.4092/0033 Busegwe girls. mi nnatumia cm. kudownload hiyo pdf haiwezekani
  15. C

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Mkuu naomba mniangalie nimepelekwa wapi? jina daines rwegoshora(s4363/0019)
Back
Top Bottom