Search results

  1. M

    Nafunga mjadala, Waziri Nchemba usitudanganye tena na zaidi

    Kama hivyo ndivyo basi waachane na mambo ya uhakiki wa vyeti!
  2. M

    Revealed: Mawasiliano ya Januay Makamba na Muitaliano kuanza kutoka muda wowote kuanzia sasa

    Aliyeenda kuuza deal ndo anatuhusu, ni kweli mtoa rushwa na mpokeaji wote ni wamoja but for this case huyo mtoa rushwa katoa hela yake. Kikubwa hapa sisi kama watanzania tujiulize huyu ni kiongozi wetu angelipa na nini hiyo rushwa? Huu ndio huwa mwanzo wa mikataba ambayo tunailalamikia kila...
  3. M

    Watanzania tunaongea sana bila vitendo #Lowasa Saga

    Naomba niseme hili..! Watanzania tuache KUPIGA domo, wapinzani wametufunulia ufisadi mwingi sana Kuanzia EPA, Richmond, Rada, pamoja na Escrow na kwa kweli wamefanya kazi nzuri ya kufichua wizi huu. Tujiulize swali moja na hii ni kila mtu, tumefanya nini kuwapa support yetu?? What do we want...
  4. M

    Watanzania tuamke usingizini na tuseme sasa basi

    Exactly that..! Mdau umenisoma
  5. M

    Watanzania tuamke usingizini na tuseme sasa basi

    Mdau whichever way alimradi Sirikali hii iondoke, njia yoyote ile haijalishi, Mimi na wewe sidhani Kama itakuwa na impact, nobody knows us, tunahitaji wasomi, waandishi SA habari, madaktari, waalimu, watu maarufu then sasa ndio waongezeke wanasiasa, kuna watu wakimwona mtu Kama Maria Tsarungi...
  6. M

    Watanzania tuamke usingizini na tuseme sasa basi

    ​Naomba nianze kwa kuwashukuru wapinzani na wanaharakati wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele katika kutujuvya maovu na ufisadi mwingi ambao umekuwa ukijitokeza Mara kwa Mara, Kuanzia old IPTL ya kina Chenge mpaka Escrow, Kiwira, Epa, mabilioni ya Uswiss, radar, Richmond, n.k. Lakini...
  7. M

    Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

    Wakina Zitto wasisahau kupendekeza kuimilikisha IPTL kwa Tanesco . Manake huo mkataba mwingine wa miaka 20 wa Tanesco kulipa Tzs mil 238 IPTL hatuukubali,
  8. M

    Nawauliza watanzania tu, hebu kila mtu aseme.

    we need people like you, time is now tushikamane wote kwa pamoja jamani tusche woga this time tuwe wote policcm hawataweza kutumudu wote
  9. M

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Hakuwa na heshima yoyote huyu
  10. M

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    S aondoke tu uone kama itakufa,Chadema sio Zitto
  11. M

    Zitto Z. Kabwe,tafuta mshauri!

    Na hii mie naisema hapa kila siku Ziito speaks for himself never ever for Chadema, watu wanaomshabikia Zitto sijui hawaoni hizi facts ambazo ziko wazi wazi kabisa, mleta mada umeiweka vizuri sana.
  12. M

    Mhe Halima Mdee, ningependa sana kusikia opinion yake kuhusu hiki kinachotokea Chadema sasa hivi

    Nitumie kama inawezekana ... manake pengine sio rahisi kwake kuongea hapa, lakini seriously saying I will really need to hear her opinion...!
  13. M

    Mhe Halima Mdee, ningependa sana kusikia opinion yake kuhusu hiki kinachotokea Chadema sasa hivi

    Kati ya wabunge ninaowadmire mmojawapo ni Mhe Halima Mdee, ni wakati huu ambao ningehitaji sana kujua anachofikiri kuhusu yanayoendelea katika chama chake. Ni mbunge ambaye hutumia busara zaidi na nafikiri pia hafungamani na upande wowote kwenye huu mvutano kati ya Zitto na Uongozi wa CDM...
  14. M

    Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

    Agree with you, Chadema sio mtu au watu..., ni Chama period. CDM are not stupid, na pia hawakukurupuka kufanya maamuzi haya, wanajua consequences zake, so please don't underestimate CDM, for me ni kwamba huu uamuzi umechelewa sana kutoka.
  15. M

    Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

    I can agree with you on this, na pia natofautiana kidogo na wewe.., Kapuya kweli ana makosa pamoja na kumbaka lakini pia yule mtoto ni minor, kesi ya kujibu anayo hilo halina pingamizi. Lakini narudi nyuma kidogo na kujiuliza maswali..., Nasikia mtoto alibakwa mara 2 kwa siku tofauti, swali...
  16. M

    Zitto in Bonn,Germany: Je, ameenda kufuta 'traces'?

    I think kaenda kusawazisha mambo, kumcheki na yule dada na kucheki akaunti, hahahaaaa maskini zitoo hela ya ccm itakutokea puani, yetu macho.
  17. M

    Zitto hatahama CHADEMA na sababu hizi hapa.

    Nimeipenda Mkuu, You said it all!
  18. M

    Kama Zitto ukifukuzwa CHADEMA anzisha chama chako na ntakuwa mtu wa pili kujiunga!

    Zitto si anajiamini ? Kwa nini asubiri kufukuzwa??? Atoke sasa hivi aanzishe chama chake bado hajachelewa..!
  19. M

    Nimekuja kumjibu Zitto niendelee na majukumu mengine

    Acha Nimrod tu, je RA alishalipa deni??? au ndo kazi yenyewe ndo anaiendeleza mpaka leo...! kuigawanya Chadema???
Back
Top Bottom