Search results

  1. R

    Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

    Kuna mambo ya kijinga trademark yake huwa made in tz only. Kwa sababu huwezi yapata kwingine kokote
  2. R

    Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Kwahiyo nchi inagawiwa kwa gharama ya kumwaga damu au?
  3. R

    Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    Hukuwa na tabia hiyo kwa sababu wazazi wako waliklea vizuri. Wewe unamlea mwanao vibaya. Jaribu kukumbika ulivyolelewa utaona tofauti ni kubwa na wewe unavyofanya.
  4. R

    Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    Hii ndio shida ya wazazi wa leo halafu tunalalamika. Ndio maana unaambiwa itapofika 2030 tutakuwa na watoto ambao hawajui kama kuna kitu kinaitwa heshima tuakuwa tunaishi kama ming'ombe tu isiojua huyu ni baba wala mama. Chapa mtoto maana hata biblia imesema "tupa fimbo umuharibu mwanao" sasa...
  5. R

    Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    mwanangu huyu ndo Slaa double watakoma huko mjengoni
  6. R

    Elections 2010 CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine!

    Mzee wa mabomu anarudi mjengoni... haha haaaaaaa Hongera upinzani
  7. R

    Elections 2010 Chadema yazoa madiwani Ubungo

    kuna mwanajamii alitabiri kifo cha CCM nadhani muda umefika tunaanza kuiondoa taratibu:tape:
Back
Top Bottom