Search results

  1. L

    Upper class love

    Guys! This is what known as First Class Love.
  2. L

    Positive Thinking

    People have a tendency to look at the things that they want and say, “Yes, I like that, I want that.” However, they look at the things that they don’t want and they give them just as much energy, if not more, with the idea that they can stamp it out, they can eliminate it, obliterate it. In our...
  3. L

    Tunawakumbuka hawa??

    Wana Jamii, Embu tujikumbushe kwa picha hizi.
  4. L

    Our choice

    This is very strange but true on how we make our choice to live. All men and women are born to live, suffer and die; what distinguishes us one from another is our dreams, whether they be dreams about worldly or unworldly things, and what we do to make them come about. We do not choose to be...
  5. L

    Nimekumbuka zamani!!

    Hi thread nimeipenda sana, Kweli name imenikumbusha mbali sana….nakumbuka tukiwa shule ya msingi kabla ya kuingia darasani lazima tukimbie mchakamchaka…nakumbuka somo la sayansi kimu….mihogo ya kukaanga ilikuwa juu sana wakati wa mapumziko na bakora ukichelewa namba… Nakumbuka tukiwa wadogo bado...
  6. L

    Nimekumbuka zamani!!

    Hi thread nimeipenda sana, Kweli name imenikumbusha mbali sana….nakumbuka tukiwa shule ya msingi kabla ya kuingia darasani lazima tukimbie mchakamchaka…nakumbuka somo la sayansi kimu….mihogo ya kukaanga ilikuwa juu sana wakati wa mapumziko na bakora ukichelewa namba… Nakumbuka tukiwa wadogo bado...
  7. L

    Nimekumbuka zamani!!

    Nimeipenda hii thread. nakumbuka zamani..nakumbuka kwa mara ya kwanza kuanza kuona sinema kwenye video ilikuwa ile Threaller ya Michael Jackson,maeneo ya keko polisi ufundi kulikuwa kuwa Bar inaitwa majimaji.. Nakumbuka enzi hizo sinema za kihindi zikiwa juu kina Mithun Chakalaboth.. Nakumbuka...
  8. L

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    I conquer with you NATA..ni kweli kabisa jamaa ameonyesha upungufu mkubwa wa fikra,sijui nimweke kwenye kundi gani..ila suala la msingi la upande wa pili ni kwamba-kuna watu wengi wanaosikiliza kipindi chake cha jahazi na uwezo wao wa kupambanua mambo siyo mkubwa sana,kuna uwezekano wa yeye...
  9. L

    Hizi ni filamu au maigizo?

    Wewe umenena.kaka uko sahihi kabisa..Tunachofanya ni kupeana sifa za uongo sijui wapi zitatufikisha?-mfano mdogo kwenye mpira,standard yetu inaonekana kabisa kwamba hakuna kitu lakini bado watu wanaota kwenda world Cup..huo mziki ndio kabisa me naona takataka tu ukilinganisha na miziki ya watu...
  10. L

    Kandambilimbili ametutoka RIP

    Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,Amina.
  11. L

    Waholanzi wapeleka manowari Ivory Coast..............

    Lakini pia Nyandaigobeko! manowari iliyopelekwa ni kwa ajili ya kuwaondoa wazungu endapo hali itakuwa mbaya zaidi ya hapo.Sasa,embu tueleze Waafrika waliobaki nani atawaokoa?na wewe unadai kuna AU,ECOWAS n.k lakini watu wanakufa tu,au huoni hilo mzee?
  12. L

    Njama za kuimega Sudan

    Kaka Kibona naomba niungane nawe kwa ulilosema juu ya maslahi,ama kwa hakika tuache unafiki kila anaye-comment kwenye hoja hii anasimama juu ya maslahi..Wamerekani na wachina kila mmoja ana maslahi anayoyetegemea kule Sudan,halikadhalika hao Waarabu wanaounga mkono Sudan Kaskazini nao wana...
  13. L

    Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    Kaka Zitto hilo la udini nafikiri ungeliacha kwanza kwa sasa..sisi kama wana JF tunapenda utueleze kwa kina nini hasa ulitaka kumaanisha uliposema JK ameleta maendeleo Jimboni kwako ndiyo sababu hukutaka kushiriki kutomtambua..were you trying kulipa fadhila?yeye kuleta maendeleo Jimboni kwako ni...
  14. L

    Elections 2010 Tanzania Bila Makamu wa Rais!

    Kaka hiyo ya kufunga hii JF unatisha watu..there should be a strong reason for him to do so...the rest is betwen you guys.
  15. L

    Elections 2010 Poll: Je Utakubali Matokeo ya Urais Tanzania

    Jatropha nimeona comments zako,labda unielimishe tu-inakuwaje kwa wabunge?nani anayewatangaza?si NEC hiyohiyo?na mbona wengine wamekwenda mahakamani na kushinda kesi?..sheria gani huwa inatumika?
  16. L

    Kinana kuwa spika mpya?

    You are very right! coz they way he has been commenting various issues during the campaign and on election and post-election shows that;the guy is like a parrot and never argue critically anything. :A S angry::A S angry:
  17. L

    Elections 2010 Kipigo cha CCM ni matokeo ya kulipa fadhira kwa JK, kaua chama Mkwere

    Nafikiri ni muhimu kufahamu kuwa uvumilivu siku zote una kikomo chake...watu wanabadilika na sasa wanafahamu mengi kuliko kabla...siyo suala la kuwachukulia watu kama walivyokuwa miaka 30 iliyopita..CCM should prepare for changes.
Back
Top Bottom