Search results

  1. M

    Kisa cha RC Namfua na Watawa huko Kilimanjaro

    Asante kutuhabarisha
  2. M

    Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Wauzaji wa jumla wanauziwa Hennesy moja? Pepsi kwa bei ya jumla iuzwe 6,000?! Kajipange upya halafu urudi. Proforma Invoice mimi nailinganisha na bili. Inatolewa ili mteja aelewe anachodaiwa, halafu ukilipa unapewa risiti.
  3. M

    Marafiki wa kalamu

    Mimi ni ke. Ila jinsia hazina uhusika wowote kwenye hili zoezi
  4. M

    Marafiki wa kalamu

    Kwa zama hizi mawasiliano ni wazi yatakuwa kidigitali. Ila bado kuna mengi ya kiurafiki yanaweza kufanyika nje ya TEHAMA mfano kutumiana vitabu na machapisho, kupeana michongo n.k I believe life is all about making the world a better place through sharing and cooperation. Urafiki wa namna...
  5. M

    Marafiki wa kalamu

    Enzi zetu wakati tunasoma sekondari hili jambo lilikuwa maarufu hata kulikuwa na matangazo magazetini wadau mbalimbali kutafuta marafiki wa kalamu yaani rafiki wa kuwasiliana kwa njia ya barua, postikadi n.k. Leo nimejikuta naukumbuka huu utaratibu ambao uliniwezesha kujipatia marafiki...
  6. M

    Pele kuzikwa ghorofani

    Ili awahi kufufuka au [emoji56]
  7. M

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Kuanzia msingi, Boma Hadi mbao za kenchi anapata. Then atafute hela za Bati na finishing
  8. M

    Je! "Mbawa" Kutoonekana Hadharani,Tuamini Ule Uzushi?

    Itakuwa yupo nyumbani kwake. Huenda kaamua utaratibu wa "Low Profile"
  9. M

    Nahitaji result slip, naishi mbali, sina nauli

    Tafuta namba yake uongee naye halafu utaleta mrejesho
  10. M

    Ni kwa afya yako, zingatia sana.

    Ila jamani wapo wafanyabiashara wanaozingatia usafi kiasi kwamba inzi hawawezi kuwa wengi. Nashauri tusihamasishe uchafu kwa kisingizio cha uwepo wa nzi kama kiashiria cha ubora wa chakula
  11. M

    Uchambuzi: Upande mwingine wa online dating platform

    Pesa inasaidiaje kwenye utapeli unaozungumziwa?
  12. M

    Bashe aachie Uwaziri

    Wanadamu ni viumbe wenye mawazo anuai. Huwezi kujua exactly uwafanyie nini ili wote waweze kuona umewajali. Hapa mtoa mada unasema Waziri kuomba mawazo yako ni udhaifu na 'kuokoteza'?
  13. M

    Rais Samia azindua mfumo wa usafirishaji wa dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-Mama)

    Ningependa kupata maelezo zaidi juu ya mfumo huo kabla sijatoa maoni yangu
  14. M

    Unajipaka mafuta gani mwilini?

    Vipi yale mafuta kama American Dream, wix n.k? Watu wanayasifia lakini mimi nikipaka yananifanya nakuwa mweupe zaidi kitu ambacho sipendi
  15. M

    U - 'nice guy' umeniponza

    Umetufunga kamba
  16. M

    Unanyoa ama unasuka mtindo gani wa nywele

    Yapo majukwaa mahsusi ya masuala haya. Usinchanganye mambo, hapa tuongelee ulimbwende na mitindo.
Back
Top Bottom