Search results

  1. wirewizard1

    Je, Inawezekana Kujifunza Computer knowledge ukiwa Home kipindi hiki cha CORONA

    Umofia kwenu..wana Jf..! Natumai haujambo wote katika kipindi hiki ambacho Dunia yetu..IPO katika Mitihani huu Mkubwa wa Ugonjwa wa Corona... Nilikuwa Nina Ombi kwenu kama kuna uwezokano wa kufundishwa COMPUTER knowledge kwa ujumla kipindi hiki ukiwa Nyumbani... Kama mnavyojua Shule zimefungwa...
  2. wirewizard1

    Je, Inawezekana Kujifunza Computer knowledge ukiwa Home kipindi hiki cha CORONA

    Umofia kwenu..wana Jf..! Natumai haujambo wote katika kipindi hiki ambacho Dunia yetu..IPO katika Mitihani huu Mkubwa wa Ugonjwa wa Corona. Nilikuwa Nina Ombi kwenu kama kuna uwezokano wa kufundishwa COMPUTER knowledge kwa ujumla kipindi hiki ukiwa Nyumbani... Kama mnavyojua Shule zimefungwa...
  3. wirewizard1

    Step by Step : Jinsi yakutoa Pesa UpWork, kisha Payoneer halafu CRDB au Bank yoyote hapa Tz. With pictures

    Shukurani kwa Kwa Darasa lako..nzuri.Ndg..!!..lakini Mimi nashangaa...umeshawahi Kutoka madarasa Mengi Tu hapa..kuhusu freelancer ...Online job opportunities.. Kuhusu tourism industry... Lamina ninachoshangaa Mimi..!!!.mbona watu tunaku..PM lakini huna Ushirikiano wowote unautoa Zaidi ya kukaa...
  4. wirewizard1

    Beginner Level : Je, Online Freelancing ni nini? Kazi zinatoka wapi? Ni Skills gani zinahitajika? Nitalipwaje pesa? Jifunze kila kitu hapa

    Ndg...shukurani kwa. Mada yako hii nzuri ...sijui nikupate Wapi ili tuongee vizuri na Mimi unifundishe..kwani Mimi ni Jobless..lkn ninja idea na computer... Na nina PC yangu hapa home..Nisaidie Ndg...!
  5. wirewizard1

    Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

    Inna Lilah Wainna Ilah...Rajiuun..!!!….ALLAH..!. Amrehehemu Shekh Nyundo...Amjalie pepo..Inshallah... (Ametoa mawaidha mbalimbali kwa JAMII kuhusu Imani ya kweli Ndani ya Uislam) Muhammad kafa kama wengine , ni maiti kama.maiti wengine Kwahiyo aswaliwe madhambi yake ,ila wengine ni Ujahili...
  6. wirewizard1

    Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

    Inna Lilah Wainna Ilah...Rajiuun..!!!….ALLAH..!. Amrehehemu Shekh Nyundo...Amjalie pepo..Inshallah... (Ametoa mawaidha mbalimbali kwa JAMII kuhusu Imani ya kweli Ndani ya Uislam) Muhammad kafa kama wengine , ni maiti kama.maiti wengine Kwahiyo aswaliwe madhambi yake ,ila wengine ni Ujahili...
  7. wirewizard1

    Mimi store keeper...Natafuta kazi

    Ni certificate ya procurement and supply(material management)T.I.A....Tanzania Insitute of Accountancy
  8. wirewizard1

    Mimi store keeper...Natafuta kazi

    Mimi store keeper natafuta kazi ya store keeping pamoja issueing of goods..nina certificate ya TIA na NBMM...na pia ni fundi umeme wa majumbani na nina cheti cha Veta....Niko Dsm...Tuwasiliane kwa No...hii...0754096766
  9. wirewizard1

    Nafasi za kazi Lenjen Group of Companies

    Dispatchers...Ina maanisha position gani..? ...ya kazi....haimaanishi watu store keeping...and suppliers assistance Au Material management....Tafadhali mwenye kufahamu anifahamishe...Kwani mimi hizo hapo juu ndio fani zangu na niko Jobless ...Msaada wana J.Forum..
  10. wirewizard1

    Natafuta Kazi ya Store Keeping na Ufundi Umeme wa Nyumba..kwa pamoja.

    Mimi Fundi umeme wa Nyumba mwenye uzoefu mkubwa..na nina certificate kutoka Veta..Pia nina Store keeping Certificate mbili moja kutoka NBMM na nyengine T.I.A...naomba kazi kutoka mtu yoyote mwenye Kampuni au Organisation yoyote ...Kwasasa nimejiajiri kama fundi umeme binafsi..ila kazi za...
  11. wirewizard1

    NATAFUTA KAZI YA UMEME...kufanya Wiring za Nyumba.

    Mimi ni fundi Umeme wa Nyumba mwenye Uzoefu Mkubwa...Natafuta kazi ya site..Wiring and Instillation...Sina kazi kwasasa kwani..Kazi zangu nilizo nazo za Site..zimesimama..!..Kwahiyo yoyote atakaye Atakayeniita nitapunguza LABOUR CHARGE yangu itakuwa nafuu...Na Nitamfanyia kazi nzuri kutokana na...
  12. wirewizard1

    BAKWATA waunga mkono Uchaguzi Kurudiwa Zanzibar

    Bakwata =CCM....Ina maana hilo hamlijui...!!!...Kwanza hao wala hawatuwakilishi waislam wengi wa Tanzania....Hatuna la Kufanya Juu yao BAKWATA...HAWA NDIO WAMECHANGIA Kwa kiasi kikubwa...kudidimiza Waislam wa nchi hii...na kuonekana Malofa...hawana elimu...wala uchumi endelevu...Kulinganisha na...
  13. wirewizard1

    Tafsiri ya Sizonje - Wimbo wa Mrisho Mpoto

    Mpoto....Akijitahidi kwa nyimbo zenye ujumbe kama huu...Na akiweza kutunga Vitabu...May be anaweza kumfikia Almaruhum Shabani ROBERT....Lakini afanye kazi....!...Kwani Shabani Robert ni Gwiji wa KISWAHILI...
  14. wirewizard1

    Tafsiri ya Sizonje - Wimbo wa Mrisho Mpoto

    Habari za siku Mingi..? Wadau wa Jf...Siku nyingi sijaingia toka..Uchaguzi...Anyway tuyaache hayo..Tufanye kazi... Wimbo wa Sozanje wa Mrisho Mpoto..Umebeba Ujumbe mzito ambao uko kwenye FUMBO...akionyesha Ujuzi wa hali ya juu ktk Usanii katika Kutumia KISWAHILI CHA MAFUMBO TATA....Nina idea kwa...
  15. wirewizard1

    Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

    Labda kama UN....Wameishiwa watu .....kuziba nafasi hiyo ya ukatibu wa UN....???????????
  16. wirewizard1

    Hizi ni dalili kuwa Rais Magufuli ana mapungufu ya uongozi?

    Ccm ni ilee ileee....ohhh ni ileee ileeee.....
  17. wirewizard1

    Hizi ni dalili kuwa Rais Magufuli ana mapungufu ya uongozi?

    Ccm ni ile ile oooh ni ile ileee....Mliopiga kura kwa Ccm poleni...ndg zangu...Ccm wengine hatuna uchungu wengine wowote...kwanza kura yangu sikuipa Ccm....Moyo wangu safi...bila majuto yoyote...!!!! .....(kiuzalendo)JPM Ana nia nzuri lakini...lkn tatizo chama chake CCM...poleni ndg zangu..Hamna...
Back
Top Bottom