Search results

  1. A

    Siwapendi watu wa aina hii.

    1. Watu wanaopenda kutema mate sehemu isiyostahili hata kati kati ya barabara ya lami 2. watu wanaopenga kamasi wakati wenzao wanakula 3. watu wanaotema makohozi popote pale bila kufukia na mchanga 4. watu wanaosukutua maji mdomoni sehemu za kula tena hadharani 5.watu wanaotema mate kwenye...
  2. A

    Nywele za masikioni na puani ni uzee au ugonjwa?

    Nimeona watu wengi wazee kwa vijana wa rika fulani wakiwa wametoka ywele masikioni na puani yaani ndefu sana kiasi kwamba zinakera hata kwa mtazamaji, sasa swali nywele hizi zinasababiswa na uzee au ni ugonjwa flani, na tiba yake ni nini?
  3. A

    Hii ni sawa kwa daktari

    Unakwenda hospitali unapimwa na baada ya kugundulika unaumwa malaria daktari anakuuliza, "unatumiaga dawa gani?" kisha anakuandikia hiyo hiyo uliyomuandikia kuwa huwa unatumia!!! Naomba kuuliza hii ni sawa au?
  4. A

    Pre-mature husababishwa na nini?

    Nawasalimu wote! Nina rafiki yangu amejifungua mara tatu pre-mature na kila anapojifungua mtoto hufariki muda mfupi, kwa kweli inasikitisha sana na inauma kiasi ambacho hakiwezi elezeka. Hivi hii husababishwa na nini? na Je kuna tiba jamani ebu naombeni ushauri ili tumsaidie mwenzetu. Najua...
  5. A

    Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema 2014

    Ndugu wajajf na Watanzania kwa ujumla, nawatakia wote mwaka mpya mwema, wote tuuone salama. Lakini pia tujihoji, tumefanya mangapi ya kumchukiza Mungu na mangapi ya kumpendeza Mungu! najua yapo mengi ambayo tumefanya yasiyompendeza Mungu, hivyo basi, mwaka 2014 uwe ni wa tofauti kwetu sote...
  6. A

    Wenye tabia hii naomba muache, sio ustaarabu!

    Utakuta umeenda hospitali umepanga foleni na pengine mnaingia kwa namba kumuona daktari, unakaa zaidi ya masaa hata 3 unasogea tu kwenye foleni yako, ghafla anakuja mtu hapangi foleni, wala namba hana wala appointment na daktari hana, anaingia kwa daktari wanapiga stooooori kama saa moja hivi au...
  7. A

    Wamiliki wa mabasi yaendayo mkoani mtwara wanalijua hili?

    Kweli Mtwara tumeondokana na zama zile za kusafiri siku mbili hadi tatu, siku hizi Masasi unafika saa 9 au 8.45 mchana. Tunashukuru sana kwa hilo. Ila kuna kero kubwa sana inatusumbua abiria waendao Mkoa huo, kulipia bag suala hili kwa kweli linakera sana sana sana, abiria yeyote akisafiri...
  8. A

    Kusimamishwa abiria waliokaa siti ya nyuma kwenye mzani

    Habari wana jf Ukweli huwa nashangaa sana tabia ya makondakta na madereva kuwasimamisha abiria wote waliokaa siti ya nyuma mara wakaribiapo kwenye mzani, mimi naona ni usumbufu sana, utakuta wakati mwingine umepitiwa na usingizi, mara unashtuliwa kwamba simama usogee mbele kwanza hadi gari...
  9. A

    King'amuzi cha ting hakifai kabisaaa!!

    Habari za leo wana JF. Kwa kweli king'amuzi cha TING sio kizuri na nimekuwa nikikitumia kwa majuto kila siku na leo nimeona niweke wazi ili wahusika aidha wajirekebishe au waeleze kushindwa kwao katika digitali hii. Ukiweka vocha siku za kazi j3-ijm) katika king'amuzi hiki unaweza kukaa hata...
  10. A

    Kwa nini wanaolia kwenye msiba ni wanawake peke yake

    Heri ya mwaka mpya wana jf woote Mara nyingi nimekuwa najiuliza maswali mara niendapo kwenye msiba, wanawake huwa wanaliiiia kwenye msiba hata kama aliyekufa hawamjui, mwanamke atalia kwa uchungu na makamasi yatawatoka, lakini wanaume utawaona wapo tuu wanahangaika kufunga maturubai na kazi...
  11. A

    Mafuta yanadhihirisha nchi hii inaendeshwa na wafanyabiashara

    Nimeamini nchi hii inaendeshwa na wafanyabiashara,yaani ndani ya wiki moja Serikali imetangaza punguzo la bei ya mafuta, baada ya wafanyabiashara kugoma kuuza kwa bei iliyotangazwa na serikali, serikali hiyo hiyo inaongeza bei ya mafuta ili kuwaridhisha wafanyabiashara wakati wananchi wakishika...
  12. A

    Wataalam nisaidieni

    Naelewa wazi kwamba masuala ya kuzaa ni Mungu ndiye anapanga, pia naelewa kwamba kuna watalam wamesomea taaluma mbalimbali mfano DAKTARI. Nisaidieni wataalam, hivi mwanamke anapogundua kuwa ni mjamzito, anaaza kuhesabu lini ili ajue atajifungua lini? (ingawa daktari atamuambia matarajio ni lini)...
  13. A

    Nyongeza ya mshahara au ni nyongeza ya kawaida ya kila mwaka (increement)?

    Wana JF poleni na majukumu Nashindwa kuelewa kuhusu hiyo inayoitwa nyongeza ya mshahara ya mwaka huu, wataalam tusaidieni, hivi hii ni nyongeza ya kawaida ya mshahara ya kila mwaka au ni nyongeza ya mshahara kwa mwaka huu? Maana sielewi mfano, eti TGS A 1 aliyekuwa anapata shilingi 135,000/=...
  14. A

    Ukikutana na mazingira haya unafanyaje

    Mteja anakuja ofisini kwako, nawe unamkaribisha vizuri sana, una concentrate kumsikiliza shida yake mara ghafla simu yake inaita kwa sauti ya juu, anapokea tena bila kuomba msamaha, anaongea kwa sauti ya juu sana kiasi ofisi inakuwa kama genge. Akimaliza kupokea simu unaanza tena kwa mara...
  15. A

    Bonge wa clouds!!!

    Kwa kweli kipindi cha Power Breakfast maarufu kama "Bonge" kinafurahisha sana hasa jinsi Bonge anavyomaliza kipindi chake yaani misemo fulani, mfano leo eti kamalizaje "Umaskini kama ni ugonjwa, basi tungekufa wengi" yaani inachekesha sana na kufundisha, hebu tujikumbushe na misemo mingine...
  16. A

    Hivi "kiu" Mzumbe university bado ipo?

    Kwa wale waliosoma chuo kikuu cha Mzumbe, kuna kitu kinaitwa "KIU" ni utani flani ambao unafurahisha sana espcially kama hakuna matusi Sijui kiu inaendelea au imakufaa, wana MU mpoooooooooo??
  17. A

    Kitufe cha thanks kina utaratibu maalum?

    Mods, naomba mnisaidie jamani, hiki kitufe cha Thanks utaratibu wake wa kukiweka ukoje? maana leo unakiona kesho hakipo, sababu zinazopelekea kukiweka nakukiondoa ni zipi hasa?
  18. A

    Msiba wa kusikitisha!!!!!!!

    Kwa kweli hata nashindwa jinsi ya kuanza inavyotia simanzi!! Kwa wale waliosoma Chuo cha Mzumbe miaka ya 2004, 2005, 2006, na miaka mingine na wote wenye mapenzi mema, kuna dada anaitwa MANSUETA MBENA alisoma LLB na kumaliza 2006, jana alinipigia simu amefiwa na mtoto wa dada yake, mkubwa tu...
  19. A

    Msiba wa kusikitisha

    Kwa kweli hata nashindwa jinsi ya kuanza inavyotia simanzi!! Kwa wale waliosoma Chuo cha Mzumbe miaka ya 2004, 2005, 2006, na miaka mingine na wote wenye mapenzi mema, kuna dada anaitwa MANSUETA MBENA alisoma LLB na kumaliza 2006, jana alinipigia simu amefiwa na mtoto wa dada yake, mkubwa tu...
  20. A

    Naomba ushauri wa kitaalam

    Poleni na majukumu wakuu. Nina ndg yangu ana mtoto mdogo wa miezi 10, bahati mbaya amegundu ni mjamzito, yuko ndani ya ndoa na hana mpango wa kutoa mimba kwani ni dhambi kwa Mungu. Swali lake, je mtoto amuachishe kunyonya au aendelee kumnyonyesha hadi mimba ikiwa na miezi mingapi? Na je kuna...
Back
Top Bottom