Search results

  1. K

    Msaada ilipo shule ya St Joseph Primary school Rombo

    Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufika katika hii shule ya St.Joseph primary school iliyopo wilaya ya Rombo,mkoa wa kIlimanjaro.Nimejaribu kuiangalia kutoka kwa google map inaonekana ipo karibu na Mkuu post Office and Rombo district Court sasa nikiwa kwenye bus nitashukia kituo gani maana kutoka...
  2. K

    Waliokeketwa warekebishwa sehemu zao za uzazi Kenya

    Kutoka idhara ya kiswahili BBC; Ni mara ya kwanza nchini Kenya kufanyika upasuaji marekebisho ya sehemu za uzazi za wanawake waliopitia ukeketaji. Upasuaji huo kwa jina 'reconstruction plastic surgery' umewasaidia zaidi ya wanawake 35 kutoka sehemu mbalimbali nchini humo kujihisi kuwa wanawake...
  3. K

    Hongera Rais Magufuli kwa kutekeleza ahadi ya Madawati

    Nampa hongera rais kwa kutekeleza ahadi yake ya kutoa madawati yapatao 852 yenye thamani ya milioni 60 kwa Tarafa za Bwanga na Buseresere zilizopo wilaya Chato mkoa wa Geita.Hii ametoa wakati wa sikukuu ya christmas ukweli haya madawati yatapunguza adha kubwa kwa wanafunzi waliokuwa wanakaa chini.
  4. K

    Wabunge Uingereza waipongeza Tanzania

    WABUNGE kutoka Bunge la Uingereza (House of Commons) wameisifu Tanzania kutokana na jitihada zake za kupambana na ugonjwa wa malaria na kusema ni mfano wa kuigwa barani Afrika. Jamani wanJF inakuaje mpaka hawa jamaa wanatusifia??? Kulikoni mwananchi...
  5. K

    Wabunge Uingereza waipongeza Tanzania

    WABUNGE kutoka Bunge la Uingereza (House of Commons) wameisifu Tanzania kutokana na jitihada zake za kupambana na ugonjwa wa malaria na kusema ni mfano wa kuigwa barani Afrika. Jamani wanJF inakuaje mpaka hawa jamaa wanatusifia??? kulikoni mwananchi front page
  6. K

    Wabunge wa Uganda wachachama kuhusu kifo cha Cerinah Nebanda

    Wabunge leo walifikisha saini 140 kati ya 125 ambazo zilitakiwa ili swala la kuuwawa kwa mbunge mwenzao liweze kujadiliwa na bunge maana wamekuwa na wasiwasi na matamshi ya police pamoja na ya Rais Mseveni kuhusu kifo hicho kwa kuwa Cerinah Nebanda ni machachari kwa kuikosoa serikali bungeni...
  7. K

    CCM wapo STAR TV wakieleza wananchi maendeleo ya serikali ya awamu ya nne

    CCM wapo STARTV sasa hivi na wameanza tangia saa moja jioni wakieleza wananchi maendeleo ya serikali ya awamu ya nne Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE
  8. K

    chama chetu sio cha matajiri

    hivi kweli viongozi wetu wa CCM wanajua kuwa CCM sio chama cha matajiri na je atakayesimamishwa kugombea uraisi 2015 je tutaweza kumtetea kwa wananchi ambao watamwamini kuwa sio Fisadi?
  9. K

    shida ya petroli vituo kuanzia baruti mpaka Temboni

    Jamani kuna nini tena mbona mafuta hamna vituoni, sasa tutafikaje majumbani hebu tupeni taarifa kama kuna mgomo baridi
  10. K

    President`s visit to Oman bears fruit

    President Jakaya Kikwete Every year, 50 Zanzibar bachelor's and master's degree students, will receive full scholarships from the government of Oman, the Monarchy has pledged in a bid to end the crippling shortage of lecturers at the State University of Zanzibar (SUZA) and across the nation...
  11. K

    Tahadhari kuna wezi wapya wanatumia madawa

    Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita. Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo akapigiwa simu na mtu asiyemfahamu akajitambulisha kwamba yeye ni daktari wa lugaro hosp na kumuulizia habari za...
  12. K

    Mtangazaji wa BBC Fred Mtoi afariki dunia

    Fred alianza kazi ya utangazaji katika Radio Tanzania kabla ya kuja Ulaya kwa mafunzo. Amekuwa akifanya kazi huku akiendelea na masomo ya shahada ya pili ya masters kwenye digital media katika chuo kikuu kimoja cha London. Alishiriki katika vipindi muhimu na vilivyopata sifa hasa vya sanaa...
  13. K

    hii ndiyo kampuni ya Abdulrahman Kinana

    Wandugu naomba msome hii taarifa ndio mjue nchi yetu imeoza KAMPUNI ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo ambayo yalikamatwa nchini Vietnam, inamilikiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CCM na ambaye sasa ndiyo katibu mkuu Abdulrahman Kinana, imefahamika. Taarifa...
  14. K

    tafakari hii picha ya Shibuda

    John Magale Shibuda akimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ndani ya ukumbi wa Kizota, kwenye mkutano mkuu wa nane wa Chama Cha Mapinduzi.
  15. K

    Rais wa Ghana John Attah Mills afariki

    Rais wa Ghana John Atta Mills amefariki ghafla wakati akipata matibabu. Taarifa kutoka afisi ya rais zinasema kuwa alifariki ghafla baada ya kupelekwa hospitali siku ya Jumatatu usiku. Taarifa zinazohusiana Afrika Msaidizi wake pia amethibitisha kufariki kwa kiongozi huyo. R.I.P John...
  16. K

    Bangkok Thailand -Asia

    naomba msaada kama kuna mtu anasoma huko anijuze kuhusu maisha ya huko kubwa kwenye apartment na hostel
  17. K

    Tuhuma ufisadi Sh 31 bn za NBC kulipuliwa

    TUHUMA za ufisadi katika uuzaji wa Benki ya NBC 97 Ltd zinatarajiwa kuanza kulipuliwa kwa nyaraka moja baada ya nyingine, wakati kesho mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia atakapoanza kutoa uthibitisho wake mbele ya mahakama Source;Mwananchi Wanajamii mbona hili haliniingiii akilini...
  18. K

    Baada ya Misri sasa tunahamia Algeria

    Baada ya wananchi wa Algeria kusikia kujiuzulu kwa Rais wa Misri,walisherekea na kuanzisha maandamano wakitaka nao mabadiliko,pia viongozi wa upinzani nchini Algeria wameitisha maandamano nchi nzima huku wakikabidhiana na uongozi wa police waliodai viongozi wa vyama vya siasa wanataka kufanya...
Back
Top Bottom