Search results

  1. S

    Tanganyika imerudi

    A. NDIYO-Tanganyika huru irudi
  2. S

    Sala/Dua ya Kuliombea Bunge la Katiba

    Ewe mwenyezi Mungu, naamini wewe ndiye uliyetoa kibali cha kuanzishwa kwa mchakato wa uandishi wa katiba mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini uliruhusu hili baada ya kuona kwamba watu wako tunaishi katika nchi yenye kila aina ya neema pasipokuwa na mwangozo ufananao na neema...
  3. S

    Sala/Dua ya Kuliombea Bunge la Katiba

    Ewe mwenyezi Mungu, naamini wewe ndiye uliyetoa kibali cha kuanzishwa kwa mchakato wa uandishi wa katiba mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini uliruhusu hili baada ya kuona kwamba watu wako tunaishi katika nchi yenye kila aina ya neema pasipokuwa na mwangozo ufananao na neema...
  4. S

    KIGWANGALLA apendekeza Rais Asitishe Bunge Maalum la Katiba ili Kukubaliana Kuhusu Muundo Muungano!

    Maswali kwa Muheshimiwa Kingwangwala: "....tume ya Mhe. Jaji Warioba imepotoka..." 1. Umefikiaje hili hitimisho wakati hujui hata methodology iliyotumiwa na tume? 2. Umetumia mtazamo gani wa kisayansi katika kukosoa methodology na hitimisho lililofikiwa na tume? "Lakini pia hapa hatuwezi...
  5. S

    Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

    "Harakati hizi tunazofanya za kuwakomboa Watanzania mjue tunahatarisha maisha yetu, tumejaribiwa kushawishiwa ndani na nje ya Bunge ili tuwe kondoo, tumekataa. CCM wamekuja na mbinu za kupandikiza migogoro wameshindwa na sasa wanaomba nife wakifikiri nikifa na CHADEMA itakufa. Nawaambia...
  6. S

    Mbowe amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Kuna tuhuma nyingi sana zimeelekezwa kwa mwenyekiti wetu. Kwa haraka haraka tu ni hizi zifuatazo: 1. Anatumia madaraka yake vibaya ikiwa ni pamoja na kujivinjari na "vidosho" 2. Dikteta (Mbabe) 3. Inasemekana mkataba wa nyumba anayotumia kwa shughuli zake za kibiashara una utata. 4. Aliwahi...
  7. S

    Kesi inakuzwa;inapotoshwa

    Issue ni kwamba, kama Mahakama itakubaliana na Zitto ina maana CHADEMA kama tasisi itakuwa imepoteza point muhimu sana. Hukumu hiyo itadhihirisha kuwa CHADEMA si chama cha kufuata taratibu zaidi ya chuki binafsi na kukurupuka licha ya kuwa na katiba na mwanasheria machachari. Hilo halitakuwa...
  8. S

    KIKAO cha Kamati Kuu ya CHADEMA kitajadili agenda zote, Januari 3, 2014

    Tuwekee documents alizowasilisha zitto mahakamani tujiridhishe na uyasemayo. Usitutafunie kiasi hicho
  9. S

    Tofauti na CHADEMA, CCM ukikosea unapewa nafasi ya kujieleza, soma yanayojiri Dodoma

    Naomba kuelekezwa, hivi mawaziri wanawajibika kamati kuu au serikalini? Is it possible mawaziri wakaitwa na kamati kuu ya CHADEMA au chama kingine chochote kutoa maelezo?
  10. S

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Katika tamko lake ametoa tuhuma dhidi ya wajumbe wa kamati kuu na viongozi wakuu wa kitaifa kwa maamuzi halali ya kikao cha kamati kuu huku akijua kuwa anavunja kanuni za chama kwa mujibu wa katiba ya chama toleo la mwaka 2006 ya Kanuni za uendeshaji kazi za chama, sura ya KUMI, ibara ya 10 (X)...
  11. S

    CHADEMA tujadili waraka

    Nilitamani sana kuujadili waraka kwa upande wa pili kama ulivyoanzisha. Kwa bahati mbaya sana mimi si miongoni mwa wale "mabwana" hivyo sina majibu nasubiri wenye majibu wayamwage. Wanaosema mjadala umefungwa watuambie ni nani aliyefunga na kwa sababu zipi. Na je ameufunga kwa kufuata misingi ya...
  12. S

    CHADEMA lichunguzeni na hili kwa ustadi mkubwa na mlitolee maelezo kwa uma

    Ripoti ya siri kuhusu Zito kabwe "Hivi karibuni kulisambazwa waraka unaoitwa ripoti ya siri kuhusu mimi ukibeba lundo la tuhuma kwamba nimehongwa fedha nyingi ili kukihujumu chama changu. Waraka huu ulidaiwa kuwa umechomolewa kutoka makao makuu ya CHADEMA. Jambo hili pia lilijadiliwa katika...
  13. S

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Haihitaji akili ya ziada kutambua kuwa haya ni mapishi yatokanayo na ile michezo ya kibabababa na kimamamama. Ni mepesi mno kuyaamini. Kama kamati kuu imetoa maamuzi kwa kuongozwa na huu waraka basi hakuna kamati kuu ila kuna kikundi cha watu wasiojitambua. Siamini kama Tundu Lisu umejiridhisha...
  14. S

    Sakata la ZITTO, Yaliyoko nyuma ya pazia

    Asante kwa taarifa. Ila ungetueleza zaidi kidogo kuhusu lengo na madhumuni ya MM-2013. Au utubandikie kabisa ushahidi wa kuwepo hilo kundi. Hii itasaidia kuondoa upotoshaji na pia kuyaelewa malengo kama yalikuwa kwa nia njema au mbaya
  15. S

    Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Asante kwa kunitakia subira. Ila Kwa nini kurugenzi ya habari haikuuweka moja kwa moja?
  16. S

    Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Kurugenzi ya habari ingetuwekea waraka moja kwa moja kwani naamini tayari inao. Hii habarii ya kusema utasambazwa kwenye vyombo vya habari inaleta mashaka. After all, vyombo vya habari vilikuwepo wakati haya maazimio ya kamati kuu yakitolewa kwa hiyo kusingekuwa na sababu ya kusema waraka...
  17. S

    Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

    Ungekuwa timamu "upstairs" ungekuja na uchambuzi yakinifu wa rasimu ya katiba kwa mustakabali wa taifa letu. Lakini kutokana na hitilafu "upstairs" umekuja na maneno ya kwenye kanga. Think wider we kijana
  18. S

    Mtwara leo watakataa gesi isitoke kesho watakataa Watanzania wanufaike na gesi, hatari iko mbele

    Katika moja ya vibao vyake Bob Marley anasema "...you can fool some people sometimes but you can't fool all the people ALL the time"
  19. S

    Mtwara Tunagombania Kivuli..

    Sidhani sana kama wana mtwara wanasema hawataki ges itumiwe na watu wengine nje ya mtwara. Nadhani kuna haja ya kufanya utafiti na kuja ni nini hasa wana mtwara wanakitaka. Wakati mwingine tunafanya makosa kuamini au kutegemea mawazo au sweeping statements za wana siasa akiwemo muheshimiwa Rais...
  20. S

    Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

    Rejea hoja ya msingi. Issue za CCM na CDM zimeingiaje?
Back
Top Bottom