Search results

  1. R

    RE: Using your mobile miss call as password (security)

    Bwana Chpukizi naona Kitu ambacho ClvinPower alitaka kumuelezea mleta mada ni dat cummonication. sana sana kabase TCP with 3 way handshake. ila kwa programming naungana na bwana chipukizi kuwa hakuna kitu kama hicho. tumia Java, C#, au C++ kama chipukizi alivyoshauri. kwa kufuata ushauri wa...
  2. R

    Wanatafutwa walimu wa lugha za kimataifa - arusha

    ebwana sasa kwa hizi lugha kwa mfano kama kijerumani mkipata mjerumani mwenyewe mnaweza kumwajiri? yuko flexible kufanya kazi africa.
  3. R

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Wewe son Of Peasant nikiona hili Jina na hiyo picha tu mbavu si kweli wewe ni son of Peasant
  4. R

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Ndiyo maana ukaitwa VoiceOfReason you tink well and analize tings man. Dis thugs are cursed man. dem always find reason to take peace off man. dem never want see a mankind in peace man. dem tink different to really mankind man. Big up VoiceOfReason. i like ur comments man.
  5. R

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    waberoya mimi napingana na wewe kidogo japokuwa maneno yako yanaukweli kabisa. Kuwa watu wa uhuru wa kuwasiliana no matter wanahitikadi tofauti za kisiasa au kidini. Lakini kwa hili ya huyu bwana mdogo data tunazo kabisa. Jinsi anavyotumiwa na mafisadi na hao TISS, Zoka, Majid, na baadi ya wana...
  6. R

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    hilo tukubali tusikubali zitto anatumiwa japokuwa amekuja hapa na kukanusha lakini hiyo si kweli. hata kama ungekuwa ndo zitto usingeweze kukubali wakati yale unayotaka kuyatimiza hayajatiimia. Zitto kabwe kuja hapa na kulalama kuwa hana mpango wa kukihama chama ni kegeresha tu wandugu. Kwanza...
  7. R

    JK atoa miezi sita CCM kutafuta sababu za kushindwa

    hivi huyu jamaa yenu kikwete uko UDSM alikosoma alikuwa anadesa tu?? Make sioni hata kama kunakitu anajua. yaani hata kijana wa darasa la saba anamshinda kunyambulisha mambo.. sasa hili nalo ni swala la kuuliza kwa nini wameshindwa?? kwa mtu hata babu yangu ambaye hakwenda shule ukimuuliza...
  8. R

    RE: Looking for Senior position in Shipping or Logistic firms

    Hi Man First i would like to know where u reside. (if is in Dar or?) Your thread is contradicting to some extent that is why i do want to know where u are! In case u are in Tanzania(dar), and as u 've said that u hve a goot shipping networking, think u should have known shipping companies that...
  9. R

    Ivory Coast Elections: Who is the Winner?

    mzee mpaka hapa sasa hivi hali ni tete, make baada ya mpinzani kutangazwa mshindi, kamati ya katiba imebatilisha matokeo hayo nakusema iyafanyie marekebisho. Jeshi limeisha ingilia kati na kufunga mipaka ya nchi. yawezekana hii kamati ya mambo ya katiba inataka ichakachue matokeo, watauwana sasa...
  10. R

    Hata wazungu wachawi!!

    Mzee wewe ulidhani uchawi ni wa watu weusi tuu??? sasa hapa kuna mtoto wa mfalme anaongea na wafu. na wamefungua shule ya kufundisha watu ujuzi huo. Pia kila mwaka wana mkutano wa wachawi wote wa nchi. wanakusanyika kujadili mambo yao ya kichawi. Wao wanaamini kuwa uchawi ni ideology kama ilivyo...
  11. R

    Polisi wazuia mikutano ya Chadema nchi nzima; Chadema wamekubali?

    Wewe voiceofResoan usiseme "non violence we shall overcome!!". Don't sit down and sing we shall overcome. these sisiem floks are bigots. I eager to say people must act by all means for fighting for our freedom. those who can karatee, judo, kung-fuu etc, let us act. we can't just sit down and...
  12. R

    Mambo ya Kikwete haya hapa...

    Huyu Dar es salaam kichwa boga kabisa. wewe kiraza kabisa. Hadith za abunuasi ndo unampongeza huyo Kikwete. Hiyo video clip na hadith ya kufikirika tu baba. hakuna kitu kama hicho. Usitambe na vitu usivo vijua kaka. ni ramani ya mji wa Helsink ndiyo iliyo wekwa hapo kaka Hivyo usidhani Kikwete...
  13. R

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    Huyu asiwababaishe mzee. Huku hakuna kubeba box Jamaa anaosha ****** ya wazee. asiwadanganye watu. pumbafu kabisa Hana lolote. Ni mtu wakujipendekeza sana huyu bwana. hafai katika jamii
  14. R

    Watanzania ni vipofu na viziwi

    Jamani watanzania wenzangu. Naomba tusijifanye vipofu na viziwi wa kutokuona na kusikia na kuchambua mambo. Hii inaonyesha ni kiasi gani watanzania wengi tulivyo na udhaifu wakuchambua mambo. Hatuangalii mambo kutoka kona tofauti, kutafakari na kujua ukweli uko wapi. Hii ndo imenipelekea...
  15. R

    Viongozi wa CHADEMA kutokumtambua Rais ni Kosa?

    Jamani muoneeni huruma mleta mada hii. yawezekana hajui kabisa anachofanya ila anataka tu naye aonekane kaleta mada. Kwanza kabisa ningependa huyu bwana ajue kuwa CHADEMA wamefanya kitendo cha kishujaa na ninawapongeza sana.Kama siyo kuwa na ufinyu wa kuona mambo kwa mbali asingethubutu kusema...
  16. R

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Thumb Up Mpitaji that is what we need. we need people with vision like u people with determination the one who put his rubish here he must be cursed. Siyo kukurupuka tu ohoo zizi wasomi. huko dodoma munafundishwa ufisadi na kutoijua haki?? he is a bigot. nonsense kabisa.
  17. R

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Mzanzibara hujafikia hatua ya kujiita msomi wewe. huna usomi wowote unakariri tu. Ungekuwa msomi usinge thubutu tuandika pumba zako hizo Kama ndo hivyo wasomi wa dodoma university walivyo basi bure kabisa Tanzania haina wasomi tena Kwa mtindo wa huo usomi unajona wewe msomi basi nchi itakuwa kam...
  18. R

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Hivi dodoma nako kuna chuo kikuu? Hivi hao nao wanajiita wasomi? pole sana kijana.. subiri wasomi wafanye kazi. usijiite msomi wakati huna qualification. mUnyamaze kimya wasomi wakufanyieni kazi. Katika orodha ya wasomi watanzania hakuna anyewatambua nyinyi kuwa nanyi wasomi. Nyie ni watumwa wa...
  19. R

    SFO: Hivi ndivyo Chenge alihusika kashfa ya rada!

    labda Dr.Hosea alikuwa anamsafisha kwa kuwa wote wanatoka sehemu moja. Kwanza Hosea mwenyewe tu Fisadi.. Aondoke tu... Kiwete amwajibishe.. ila kwa kuwa wote ni wale wale hata huyo boss wake atakaa kimya tu. haya bwana sis yetu macho na masikio
  20. R

    OJ arejea Bongo

    huyu bwana alikuwa na ushamba wa kibongo.. make mambo aliyoyafanya mpaka ifikie kukamatwa yalikuwa ya kitoto mno. kanunua Jaguar mpya mbili kwa mpigo hafafu katangaza kwenye website.. kuonyesha picha za hizo gari. FBI kwanini wasianze kumfatilia, kazi yake haiweze kumpa pesa ya kununua hizo...
Back
Top Bottom