Search results

  1. kazimoto78

    Elections 2010 CCM Ughaibuni mko wapiiiiiiiiii?

    Angalieni hizi post nyingine jamani...anyway...watu wakibeba box au wakisafisha vyoo its their biz...na ungeweza tu kuwataja hao CCM wa ughaibuni usiwe unaropoka tuuu!Kuna watu tumekuja huku kwa michongo yetu na hizo siasa za uchochoroni wala hazituhusu kihivyo!
  2. kazimoto78

    Elections 2010 Latest 50 constituencies and their correspondent winners

    Ndivyo inavyoelekea...lakini sio kwa margin kubwa kihivyo!
  3. kazimoto78

    Elections 2010 Latest 50 constituencies and their correspondent winners

    Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM Ubunge Masasi - CUF Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA Ubunge Mkinga - CCM Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM Ubunge Kibaha - CCM Ubunge Kisarawe - CCM Ubunge Sumbawanga...
  4. kazimoto78

    Elections 2010 Mawaziri waliodondoka uchaguzi mkuu 2010

    Jamani huyu Sumari aliyekuwa Arumeru?
  5. kazimoto78

    Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

    Is that even legal?...na yeye Lema alifikiria kufanya hivyo au?
  6. kazimoto78

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    ambacho sielewi ni pale wanaposema 'system ziko down'....jamani kujumlisha na kuto ni hesabu zinahitaji systems za aina gani?....imekuwa calcus hiyo....!yale yale ya Bush na Gore...
Back
Top Bottom