Search results

  1. mmzalendo

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Mimi natoka kanda ya ziwa na biadha nyingi zinatoka kenya sio tanzania nia ubora na bei nafuu haku kitu hii barabbara itasaidi mwanza kuna viwanda vingi kuliko arusha na kuna barabara safi, kama hiyo imeshindwa kule maendeleo hii itawezaje? Hapa hakuna kitu hao watu wanataka hospitali na huduma...
  2. mmzalendo

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    we will be please if you walk with us hand to hand to save the famous serengeti nationa park in tanzania against jakaya kikwete who dont care profession comments on this matter www.lifeofmshaba.com: SAVE SERENGETI
  3. mmzalendo

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    shiriki kwenye kampeni mbalimbali kuinusulu serengeti na harakati za serikali kupitisha barabara katika ya mbuga hiyo kwa kisingizio cha kutaka kuleta maendeleo kwa wananchi wanaoishi kuzunguka eneo la serengeti linki hiyo www.lifeofmshaba.com: SAVE SERENGETI huu ni ujanja mwingine wa...
  4. mmzalendo

    The West Policy on Libya Vs Putin

    UK PM David Cameroon speech at London Conference on Libya: Let me welcome you all to London. Foreign Ministers from more than 40 countries – from America to Asia – from Europe to Africa – from the United Nations to the Arab world. All here to unite with one purpose: to help the Libyan...
  5. mmzalendo

    Naliona anguko la Kibanda

    mimi nina swali moja tu kwa viongozi wote akiwemo kikwete na hao vilaza wengine wanaotaka tuamini matatizo haya yanatokana na uchumi wa dunia kutikiswa, ok tusema mimi nimewaamini na tufanye sisi uchumi wetu unaendana na hao wengine kwa kila kinachotokea huko na huku kwetu kinatokea, sasa swali...
  6. mmzalendo

    Kumbe kiranja pinda ni jasiri

    ana ujasiri wapi kwenye bomoa bomoa watu tumepigwa changa la macho, kisa cha magufuri kupigwa stop ni meya wa jiji la ilala kajifisadi JERRY huyo alikwenda kumshitaki magufuri dodoma kwa kiranja pinda na pinda alikuwa anamvutia speed magufuli na chato ndipo mahali alipommalizia yawezekana hana...
  7. mmzalendo

    Kesho ya Kikwete ni chungu kuliko leo ya Mkapa

    usahili udom imejengwa na pesa za nssf tena kwa kulazimishwa maana wao walitaka kujenga daraja la kijambona serikali bado inadaiwa deni kubwa kwa ujenzi wa chuo hicho ni kweli kikwete alitaka kuweka kakitu tumkumbuke lakini tukimkumbuka kwa pesa ya mababu zetu wanazoida nssf na kupelekwa udom...
  8. mmzalendo

    kuna tofauti gani kati ya kuwa.....

    kaka samahani lakini mimi naunga mkoni tuko kama jela na tena maisha yetu yako hatari kama ya jela tu, ukiandamana kuna 50% kupigwa risasi na polisi lakini jela wana ulinzi na kama utabeba nondo na kuwa bounce basi huko safe kuliko ushwahilini
  9. mmzalendo

    kuna tofauti gani kati ya kuwa.....

    lakini tunatofauti nao sisi ambao hatuko jela?
  10. mmzalendo

    kuna tofauti gani kati ya kuwa.....

    siko sure kama zenj hali ni tofauti na hiyo mkuu lakini kama ni kweli basi hapo kazi ipo kumbe tuna nchi mbili, lakini kaka inakuwa je ccm wanawachichia pori kwenye uchaguzi sorry kumbe kuna serikali ya mseto
  11. mmzalendo

    Viongozi wa CHADEMA wana mgodi wa dhahabu ndani ya Nyarugusu

    mende sasa kama wana biashara zao toka zama kuwa chadema ndio tatizo mbili lowasa ana miradi mingapi na kiwira ni ya nani bila kusahau meremeta mwisho wakulaumiwa ni viongozi wa chadema au serikali yako ya kifisadi najua unajaribu kufanisha viongozi wa chadema na vigogo wa ccm japo umekosea...
  12. mmzalendo

    kuna tofauti gani kati ya kuwa.....

    hivi kuna tofauti gani kati ya watanzania na waliopo jela? kwanza kuna wengi waka jela na hawana hatia lakini pia jela kuna ulinzi wa kutosha ukirudi kwetu sisi tulioko huru ukisema tu kajambo ka kugombea uhuru wako unazushiwa kesi na kupelekwa jela na ukipinga ccm una funguliwa kesi...
  13. mmzalendo

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    january makamba au nimekosea jibu
  14. mmzalendo

    ushauri wa bure kwa wenye akili

    mama mimi sina muda wa kubembeleza hiyo hiko sahihi sorry
  15. mmzalendo

    ushauri wa bure kwa wenye akili

    nikuletee kamba
  16. mmzalendo

    ushauri wa bure kwa wenye akili

    husisome kuna machizi kibao humu nawajua ndio maana nimeweka hivyo sina haja ya kutaja majina nisije futwa ni ninyi acheni kuzuga sio kula mtu anayetumia pc ana akili timamu na hao ushauri huu hauwafai sorry nimekuwa mkweli kupitiliza sina muda wa romance hapa ni dry tu bila kificho sahamani...
  17. mmzalendo

    Hii imekaaje wapendwa

    huyo ni mwizi wa mapenzi kama wezi wengine tuliowazoea hakua la zaidi hapo anajipanga kufisadi ndoa ya mtu
  18. mmzalendo

    ushauri wa bure kwa wenye akili

    You don't always have to be in a relationship. Just relax, spend some time to get to know yourself so you can function in a relationship.
  19. mmzalendo

    Repoti ya waziri wa afya kuhusu loliondo

    kama kweli wewe ni mtu wa hasira anza na jk mbona kakufanya masikini na kukuweka gizani ujampandishia mzuka
  20. mmzalendo

    Repoti ya waziri wa afya kuhusu loliondo

    shukurani kwa kuweka sawa lakini huyu paka jimmy hao malofa wenzie wanauelewa ndogo kila kitu mpaka mtafuniwe mimi sijui taaluma zenu nini lakini sio mwandishi ila nina haki zote za msingi kusema ninachofikia kama umeona nilichoongea sio issue kwako unaweza kupita tu paka jimmy sikujui lakina...
Back
Top Bottom