Search results

  1. ipyax

    Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

    Kupitia uzi huu nitakuwa napost magari ya aina tofauti yanayopatikana South Africa na bei zake. Kama ikitokea mtu yuko interested tutawasiliana ili kujua jinsi ya kukuwezesha kununua gari uitakayo. Nitakua na post gari ambazo zipo kwa dealerships pamoja na ambazo zinauzwa na watu binafsi kwa...
  2. ipyax

    Appy apewe maua yake

    Huyu msanii wa kike anajua sana kuimba kuliko wasanii karibia walio juu kwenye chart za mziki Tanzania. Natumai atapata push ya kutosha kwenye industry ili aweze kufikia level anayostahili kutokana na kipaji chake💸💸. Hizi ni baadhi ya ngoma zake kali, haimbi chapati☺️🫡. Tumpe support ya...
  3. ipyax

    Quad bike zinaruhusiwa kisheria kutumika kwenye barabara za Tanzania

    Wadau naomba kuuliza kama quad bikes zinaruhusiwa kisheria kutumika kama chombo cha usafiri Tanzania.
  4. ipyax

    Namuangalia Ramaphosa Rais wa South Africa naishia kujiuliza Watanzania tumemkosea nini Magufuli!

    Wamepitisha bajeti ya dharura kwa sababu ya COVID19 yenye thamani ya dola bilioni 26. Toka nchi imeingia kwenye lockdown wiki 5 zilizopita wameunda kikosi kazi cha watu elfu kumi kwa ajili ya kupima COVID19 nchi nzima. Nyumba za ibada, cinemas, bars na mikusanyiko mikubwa bado itaendelea...
  5. ipyax

    CIA ilidhibiti kampuni ya kimataifa ya encryption kwa miongo kadhaa, inasema ripoti

    Serikali ya Uswizi imeamuru uchunguzi katika kampuni ya kimataifa ya encryption iliyoko Zug kufuatia ufunuo ilimilikiwa na kudhibitiwa kwa miongo kadhaa na akili ya Amerika na Ujerumani. Udhaifu wa usimbuaji ulioongezwa kwa bidhaa zilizouzwa na Crypto AG ziliruhusu CIA na mwenzake wa Ujerumani...
  6. ipyax

    Nicki Minaj to headline music festival in Saudi Arabia

    Nicki Minaj to headline music festival in Saudi Arabia Saudi government accused of hypocrisy for requiring women attending to wear full-length robe Associated Press Published:14:31 Wed 3 July 2019 Nicki Minaj will perform in Saudi Arabia, it was announced on Wednesday, as the...
  7. ipyax

    Nataka kuanza biashara ya kuleta mtindi Dar kutoka nyanda za juu kusini

    Kama heading inavyo sema ,katika harakati zangu za kusaka pesa nimepata wazo la kufanya hii biashara. Huku niliko maziwa yanapatikana kwa wingi sana kwa bei ya chini,mpango wangu ni kununua maziwa fresh na kuyagandisha mwenyewe kisha kusafirisha mpaka dar. Ningependa kupata maoni na ushauri...
  8. ipyax

    Data recovery kwenye simu ya Android

    Jamani naomba msaada kama kuna mtu anaweza nisaidia ku-recover deleted contacts ,photos kwenye Android phone (Galaxy mini) .Nipo tayari kugharamia kwani kuna mtu ame-delete kwa makusudi ili kupoteza ushahidi.
  9. ipyax

    Laptop inahitajika Mbeya

    Nahitaji laptop ambayo iko kwenye hali nzuri, budget yangu ni shida laki 3 tu.
  10. ipyax

    SUA wanatoa kozi ya ufugaji wa samaki kwa wajasiriamali

    Naomba kujuzwa kama chuo kikuu cha sokoine wanatoa kozi ya ufugaji wa samaki kwa wajasiriamali .Hii ni fursa ambayo naona inalipa sana lakini ningependa kupata ujuzi wa kutosha kabla sijaingia kazini. Asanteni sana
  11. ipyax

    Diblo Dibala Ok Madame

    Wahenga tukutane hapa, ngoma ya utoto wangu hii early to mid 90's.
  12. ipyax

    Body za Irizar i6 ni moto wa kuotea mbali

    Mimi ni msafiri wa mara kwa mara especially kwenye hizi nchi za kusini mwa Africa, katika hizi safari nimekuwa nikipanda basi za makampuni tofauti kama mchina (yutong, zhong tong, higer),marcopolo, Dar coach na master za Kenya. Bus zote hizo zina sifa tofauti lakini sijawahi wahi kuwa...
  13. ipyax

    Usalama wa pesa yangu PayPal

    Habari za leo ndugu zangu wa jamii forums, nina changamoto inayonikabili kuhusu matumizi ya PayPal. Kuna mzigo wa thamani kubwa kidogo nataka kuagiza toka Thailand na muuzaji amependekeza nilipe kwa kupitia PayPal. Naomba kujuzwa je usalama pesa yangu unakuaje? Endapo mzigo hautafika baada...
  14. ipyax

    Chupa za plastic kwa ajili ya juice

    Habari wapendwa wa jamii forums, nina hitaji chupa za plastic kwa ajili ya juice za size kama ya chupa za azam energy, MO chungwa nk. Kama kuna mtu anaweza nishauri sehemu ya kuzipata au anauza itakua msaada mkubwa sana kwangu.
  15. ipyax

    Hospitali ya rufaa Mwananyamala ni uwanja wa kifo?

    Tarehe 4 mwezi huu mdogo wangu alipata ajali ya pikipiki eneo biafra akapelekwa mwananyamala hospitali ili apate matibabu. Niliyoyaona pale kwa kweli yanaumiza, sikitisha na kukatisha tamaa. Mdogo wangu alifikishwa pale saa nne asubuhi na mimi nikafika saa tano na nusu, nimekuta mdogo wangu...
  16. ipyax

    Nahitaji maziwa fresh ya ng'ombe kijitonyama dar

    Habari za asubuhi wakuu, nina hitaji maziwa fresh kati ya lita 5 hadi 10 kwa siku. Demand itaongezeka kadri siku zinavyo kwenda.
  17. ipyax

    Sofa inauzwa

    Sofa set inauzwa jamani laki 5 na 50,, malipo on collection. Moja ya kukaa watu watatu, Moja ya kukaa wawili na single zipo 2 kimara.
  18. ipyax

    Malalamiko ya kuyumba kwa uchumi yanatolewa na wapiga dili tu?

    Malalamiko ya kuyumba kwa uchumi yanatolewa na wapiga dili tu? Watu wengi wamekua wakilalamika kuhusu mkwamo wa kiuchumi uliopo sasahuku pia baadhi ya watu wengine wakiwaponda hao walalamikaji kwamba walikua wapiga dili tu toka utawala uliopita,sasa mirija ya dili imezibwa ndiyo maana wana...
  19. ipyax

    Usajili wa bidhaa TFDA

    Habari za kazi wapendwa wa JamiiForums, nimepost hii mada kwa ajili ya kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kuomba vibali vya import mamlaka ya chakula na dawa. Kuna bidhaa ya matumizi ya kawaida lakini TFDA wameiweka katika kundi la vifaa tiba (medical equipment), nahitaji kuiombea import permit...
  20. ipyax

    Mrejesho: Kuagiza rice combine harvester toka China

    Mnamo mwezi wa kwanza mwaka huu nilianzisha mada hapa jukwaani nikiomba ushauri wa kuagiza mashine toka China. Ishu ilikua niende China au niagize kwa mtandao kupitia Alibaba. Nilipata ushauri wa kutosha tu huku wengine wakiniasa kwamba Alibaba nita tapeliwa hela bora tu niende China. Bahati...
Back
Top Bottom