Search results

  1. kikoozi

    Naomba kujua maeneo mazuri kwaajili ya chakula na kupumzika ndani ya Morogoro

    Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya Tsh. laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhari na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024. Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende Morogoro (wanasema mji...
  2. kikoozi

    Msaada wa Taasisi au Mawakala wa uhakika wa kuunganisha kazi nje ya nchi (Ulaya/ Marekani/ Kanada)

    Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA, Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
  3. kikoozi

    Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA)...
  4. kikoozi

    Baba yangu mzazi amepangisha chumba changu

    Habari zenu ndugu zangu, naandika nikiwa na hasira kali sana juu ya baba yangu mzazi, mimi ni kijana wa umri wa miaka 48, sijaoa bado ila nina mtoto mmoja, ambaye yupo kwa bibi yake upande wa mama yake. Mwaka huu mwezi wa tano niliondoka nyumba rasmi baada ya kuona baba yangu ameanza manyanyaso...
  5. kikoozi

    Workstation kama hii naweza kufanya kazi gani na nikaingiza kipato ndugu zangu?

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop...
  6. kikoozi

    Wenye uzoefu wa kununua nyumba

    Habari za muda huu ndugu zangu, nilikuwa nataka kununua nyumba sehemu, iyo nyumba mwenye nyumba amesha niambia bei ambayo anauza nyumba yake, maswali ninayo taka kujua ni 1. Je ni bank wakijua nataka kutoa ela kwaajili ya kununua nyumba, kuna gharama za ziada watakata kwaajili ya ununuzi wa iyo...
  7. kikoozi

    Naomba kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani wilaya ya Kibaha

    Habari ndugu zangu, mwenye kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha (Posta wanapotoa huduma wa kupokea na kutuma barua, na documnet zingine). Msaada tafadhali ndugu zangu.
  8. kikoozi

    Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

    Mimi ni kijana nimemaliza chuo kikuu miaka kadhaa imepita sasa, Umri wangu ni miaka 31 (sina mke wala mtoto), baada ya kuangaika sana kutafuta ajira mpaka kufikia kukata tamaa atimaye Mungu wa mbinguni, muumba mbingu na nchi akaniona na kunipatia kisehemu kidogo cha kujishikiza (project flani...
  9. kikoozi

    Mwenye kujua Airpods nzuri kwa bei poa

    Habarini ndugu zangu, nimenunua simu aina ya iphone, baada ya kukaa kwenye android kwa miaka yote ambayo nimetumia simu nikaona ngoja niingie kwenye ulimwengu wa iphone ili nionje hali ya hewa na uko pia. Sasa nataka kujua ni wirelee earphone gani ambazo ni bei rahisi na zenye kutoa mziki mzuri...
  10. kikoozi

    Call recorder kwenye iPhone msaada

    Habarini wana zengo, je Kwenye iPhone kuna app ya call record ya free kutumia, naombeni msaada wenu ndugu zangu. Mbali na iyo app ni app gani nyingine muhimu na nzuri nashauriwa kuwa nayo Kwenye iPhone ili kuendelea kuifurahia Simu hii.
  11. kikoozi

    Wataalamu wa computer naomba kujua kuhusu "HP laptop"

    Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4...
  12. kikoozi

    Majibu ya bahati nasibu ya kuishi Marekani, naombeni mwongozo kwenye ili tatizo upande wangu

    Jamani leo ndio siku ya bahati nasibu ya kupata nafasi ya kwenda kuishi marekani kwa watu tulio cheza mwaka jana mwezi wa 10, napata changamoto nikiingiza zile code niweze ku confirm inagoma, naombeni kujua nafanyaje. Hapa kwenye hii picha ni jinsi inavyo niandikia nikiigiza izo code, naombeni...
  13. kikoozi

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu, ipitie pia kwa Mkurugenzi Mkuu wa TRC

    [emoji1241]BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (KK) IPITIE PIA KWA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) [emoji3533]YAH: OMBI JUU YA KUPATIWA KAZI KWENYE SHIRIKA LA RELI LA TANZANIA (TRC) KIPINDI IKI BAADA YA KUMALIZIKA KWA ROT 1 YA DAR ES SALAAM TO MOROGORO...
  14. kikoozi

    Unapotuma e-mail kwa Mkurugenzi inamfikia yeye au sekretari wake?

    Habari za muda huu ndugu zangu, naomab kujua endapo nitamtumia email mkurugenzi wa taasisi flani ya serikali, je email iyo mfano dg@tcra.go.tz je inamfikia yeye mwenyewe mkurugenzi wa iyo taasisi moja kwa moja na anaisoma au inafikia kwanza kwa msaidizi (secretary wake) the yeye mwenyewe...
  15. kikoozi

    Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
  16. kikoozi

    Mwenye kujua maswali ya oral ya PCCB-2022 msaada

    Kuna mtoto wa mdogo wangu amechaguliwa kwenye oral ya pccb, sasa ananiuliza baba mkubwa maswali ni yapi wanatoa nimemuambia ngoja nimuulizie kwa watu. Kwaiyo naomba mwenye uelewa kwenye maswali ya oral ya TAKUKURU (PCCB) msaada wenu ili uyu mtoto aweze kupata nafasi ya kazi maana amekaa sana...
  17. kikoozi

    Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

    Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 42, kama mnakumbuka nilileta mkasa ulio nitokea mwezi ulio pita kuhusu mzee wangu baada ya kuuza nyumba yake kwa shilingi milion 165 amegoma kabisa kunipa mgao mimi mtoto wake, baada ya kugoma nikafata utaratibu wa kisheria kumfikisha...
  18. kikoozi

    Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

    Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters). KARIBUNI KWA MSAADA
  19. kikoozi

    Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake...
  20. kikoozi

    Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka), Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu...
Back
Top Bottom