Search results

  1. J

    Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    Haya ni Haya ni majungu. Njia sahihi ilikuwa kum face direct immediate officer wake ili kufikisha hili suala kwa uzito wake. Una hoja ila njia sio sahihi
  2. J

    Shule za Tanzania zina mashariti ya kishamba, hili tukio lilitokeaga Moshi

    Kama huridhiki na taratibu za hapo ni kuhamisha mwanao tu. Kuna ambao hayo masharti ndio yaliyowashawishi wengine kupeleka watoto wao
  3. J

    Hospitali gani Dar ya kujifungulia unahudumiwa na daktari wa kike?

    Hospitali ya masista wa Asizi Gmboto
  4. J

    Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

    Tena sio Mkristo tu ! Bali Mkatoliki[emoji134][emoji134]. Inafikirisha sana
  5. J

    Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Zama hizo nae alikuwa chawa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  6. J

    Katuni ya Masoud Kipanya imeongea

    PM kapotea sana
  7. J

    Serikali yasitisha operesheni ya TRA Kariakoo kupisha mazungumzo

    sio ile ya walimu wetu kushukuru kupewa vishkwambi wakati wa mei mosi. kazi kweli kweli
  8. J

    Rais Samia awabubujisha Machozi ya Furaha Watumishi Wa Umma, Wasema Ni Mama Samia mpaka 2030

    Kafanya nini jipya. Hakuna lolote hiyo nyongeza iliyokaliwa miaka sita!
  9. J

    Je, mstaafu akifariki pensheni anaendelea kupewa mwenza wake au nayo inakoma?

    Pension inakoma ila bima ya mke/mume inaendelea hadi nae atakapoitwa kwa muumba wake. Hii bima pindi unapostaafu kadi zote zinarudishwa isipokuwa ya mwenza. Hivyo hakuna makato ya kupeleka bima. Kwa maneno mengine pension na bima hazitegemeani. Asante
  10. J

    Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

    Huyu hajuwi kutofautisha kuwa " motivational speaker" na "lecturer" . Yeye anaitwa kama motivational speaker
  11. J

    Mohamed Mchengerwa Wizara 3 chini ya mwaka mmoja, ni bahati au mkosi?

    System ipo. Haina shida maana zile sio zake
  12. J

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mwezi wa pili sasa mita hazijasomwa kinyerezi. Wengine ni wapangaji wakihama watatuachia madeni. Naomba ofisi ya kinyerezi itusaidie katika hili. Hata kama maji yanatoka mara moja moja. Tafadhali. Bora isomwe zero unit kuliko kuvusha mwezi
  13. J

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Nadhini ni kati ya 1600 hivi na haizidi 1800
  14. J

    Hawa "ma-pro pesa" wanaotoka jalalani wananifikirisha sana

    Mbona wateuliwa wengine wanachomoa? Hawataki pesa?
  15. J

    Aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU Tanga ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 1 kwa kupokea rushwa ya dola 2500

    Zote na ziada ametumia kufikisha kesi hapo ilipofika. Kwa kifupi atajilaumu kwa siku zote atakazo ishi
  16. J

    Tanzania One mwaka huu 2022 CSEE huyu hapa

    Haya wachambuzi mmeisha anza. Toweni na zawadi pia
  17. J

    Je, kupiga kambi kuna athari yoyote katika matokeo ya wanafunzi?

    Huenda bila hizo zingekuwepo zero tupu na four kwa mbaaali
  18. J

    Mwanza: Askari adaiwa kumvunja Raia Mguu na Kiuno kwa tuhuma za kuwa na mahusiano na Mkewe

    Mke wa mtu hana gharama. Maana Zote zinasimamiwa na mumewe. Zaidi sana anakyfadhili wewe kwa mapigo unayompatia[emoji16][emoji16][emoji16]
  19. J

    Hizi ndio sababu za mimi kuipenda JF, please share zako

    Kimasihara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom