Kama wizara moja inapewa zaidi, je Ni wizara ipi haikuhitaji pesa ilizopangiwa? Ndio kinacho maanishwa. Na kama serikari ina pesa nyingi hivyo kwa nini ilielie kwa ajili ya misaada ya wahisani. Na kama hali ya uchumi ni mzuri Mbona hatuoni nafuu ya Maisha! Tafakari unavyoishi, acha Tu kufanya...
kwa nini hajawekwa ndani ili apelekwe mahakamani, ushahidi si umekamilika? Au Yuko nje kwa dhamana, PIA aliyemuuzia hiyo pombe anyanganywe leseni na asifanye biashara yoyote hapa nchini.
Mkuu mbona hili halitokei kwenye hospitali binafsi au huko hakuna wataalam?
vitu vya bure na vitu vya kugharimiwa Ni tofauti. dawa za serikari hata wagonjwa huzitupa. Je ukilipa matibabu utatupa Dawa.
Barabara ni nyeupe zina watu wachache. Daladala hakuna, zinazofanya kazi ni chache.
Watu wapo vituoni, tafadhali acheni watoto nyumbani mnapokuwa ndani ya mita Mia mbili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.