Search results

  1. nshimba

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Ushauri mzuri sana utamsaidia kijana wetu
  2. nshimba

    Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Pascal..ni kweli usemalo.lakini upinzani wa Tanzania umekuwa Duni sana na wanachotakiwa kufanya ni kuubomoa mfumo wa uongozi wao na kuupika upya kila kitu huwa kina reform yake..sasa chama kimoja hakiwezi kuwa na mfumo mmoja kwa miaka 20..ccm ilikaribia kuangua endapo isingeshitukia hilo ..na...
  3. nshimba

    CHADEMA walipanga kushindwa Kinondoni pamoja na Siha

    Well and true.safi sana mwandishi.ukweli utauma lakini umeutoa
  4. nshimba

    Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

    Omba kazi upewe.
  5. nshimba

    Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

    Mwambie huyo kenge aingie Google na angalie Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk Au aangalie Niwec invest Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
  6. nshimba

    Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

    Sihitaji cheo wewe.nina kampuni kubwa sana inafanya vizuri nchi za Uk,uarabuni..na ujue mimi siyo nina njaa kama wewe kenge wewe.
  7. nshimba

    Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

    Tumefungua Tawi La ccm sweden na luna wanachana wengi wana scandinavia wengi sana .watanzania wote wa nchi za Sweden,Norway,Finland,Danmank.
  8. nshimba

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Mayalla ni ukoo wa upande wa mama. Na inawezekana.kwa sababu sabau hata kaka yangu hadi leo anatumia jina la Mayalla Sisi ni wana Nshimba. Ukoo wa Askofu Mihayo. Mimi nimjukuu wa Mihayo. Kaka Dunia Kiganja... Leo niko sweden kesho ninakuja kufungua kiwanda chuma tanzania .
  9. nshimba

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Vizuri.Kadiri nilimjua.na jata Mabalozi wote wanaokuja sweden.lazima waambiwe watanzania wa zamani na umuhimu wao.nimeshawasaidia watanzania wengi sana. Kuanzia Balozi Tinaijuka hadi aliyeondoka.wanajua Nitamkaribisha Dr.slaa na nina imani tutakuwa naye vizuri
  10. nshimba

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Pascal ..Mayala Mimi Mnyamwezi. BABU YANGU ALIKUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TABORA ASKOFU MARCO MIHAYO.. NA KWETU KUNA MAYALA UOANDE WA MAMA YANGU.SIKUJUI ILA NINAKUFUATILIA SANA KILA SEHEMU. NUNAITWA NSHIMBA. NIAMINI ...SIASA ZA UPUNZANI TANZANIA BADO.IKA WANATUSAIDIA ..CHAMA TAWALA...
  11. nshimba

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Sisemi naipenda ccm.mimi si.muumini wa siasa. Mimi nimewatengeneza wana siasa wengi sana tanzania naleo wana vyeo vikubwa.either serikalini au kwenye vyama vya siasa.kupitia nikiwa Bosi wao scout kuanzia 1984. Ila kiukweli Tanzania Bado siasa hakuna na upinzani wa kweli hakuna.Ninawajua viongozi...
  12. nshimba

    David Kafulila: Changamoto ni nyingi, Rais Magufuli yupo kwenye mstari sahihi

    Safi sana David Kafulila. Hujakosea kurudi upande huu .nilikuwa nakuamini tangu ulikuwa upande ule wa pili..na Kweli naamini Raisi JPM amepata Jembe lingine la kumsaidia... WENYE AKILI WOTE WAKO UPANDE HUU..HONGERA SANA.
  13. nshimba

    Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Huyo jamaa anayeitwa Yericko si mwandishi wala nini..huyo jamaa mzushi na mbabaishaji tu.
  14. nshimba

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Ukishakuwa umemtaja unayemtaka wewe achaguliwe tayari mwandishi wa habati umeonyesha wewe umesimamia chama gani...huna haja ya kuingea sana.uandishi wa habari wa Tanzania ni wa unafiki sana.na hiyo yote ni kwa sababu ya njaa ya wanahabari wetu wengi. wa Tanzania
  15. nshimba

    Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    JERRY USIPOTEZE MUDA KUBISHAN KISIASA,WALA KITAALUMA NA HUYO MJINGA LEMA,SIJAWAHI KUONA MWASIAS MJINGA KAMA HUYO BWEGE
  16. nshimba

    Tundu Lissu: Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu si cha kuhalalishwa au kunyamaziwa kwa hoja nyepesi nyepesi

    When You Accepted Him Did you know what gonna happen?
Back
Top Bottom