Search results

  1. amilyroley

    Happy birthday Jay Z. Mc mkali kuwahi kutokea tangu dunia iwepo

    Ile show ya Madson Square Garden ninayo nimeitunza na ninaiangalia kila Siku. Bonge la show huku Memphis Bleek akimpa backup ya nguvu big bro wake. Watoto wa Brooklyn wakaiteka Manhattan kwa muda
  2. amilyroley

    Mchumba wangu ana madeni balaa

    Mkuu uchaguzi ulishaisha na si busara now kumjua nan fisadi nan malaika. Wote tulipishana itikadi lakini lengo letu wote lilikuwa kumpata rais wetu na tumempata na ndio maana hujaona nikipost kumpinga magufuli baada ya matokeo. T ujenge nchi tuache hizo tofauyi ambazo bado unazo kichwan nafkiri...
  3. amilyroley

    Mchumba wangu ana madeni balaa

    Nina girlfriend nipo naye kwa miaka Tisa sasa. Nimeanza naye mahusiano akiwa na miaka 19. Ilikuwa mwaka 2006 mwezi wa tano Waziri Mkuu wa nchi hii akiwa Lowassa. Nampenda na ananipenda. Namuhudumia vzuri tu. Na tayari nimemchumbia. Zamani hakuwa na tabia za kukopa vitu na kubaki na madeni. Ila...
  4. amilyroley

    Rais Magufuli na PM Majaliwa Wameamua kuwa Wapinzani wa CCM na Kikwete

    Ujinga wa kutokuelewa mambo ni mzigo bora hata ukimwi. Ulichokikimbilia ni tofauti kabisa na nilichokimaanisha mbwa wewe. Acha mihemko ya uchaguzi. Hayo yalishapita na tunajenga nchi shoga wewe
  5. amilyroley

    Rais Magufuli na PM Majaliwa Wameamua kuwa Wapinzani wa CCM na Kikwete

    Kinachofanyika sasa sio hakuna mwanaCCM wa Lumumba aliyezoea kula kiyoyozi na kula kwa ubua atakipenda. Sio Sera kabisa za CCM iliyozoeleka, ni Sera za upinzani zilizokuwa zikipingwa na wanaCCM na Kikwete. Lumumba sasa wananongona wanajuta na wengine wanasema walikosea. Anachokifanya magufuli ni...
  6. amilyroley

    Ushauri: Inasemekana mpenzi wangu alishawahi kuwa na mahusiano na ndugu zangu!

    Umefanya analysis nzuri kaka angu. So nifanyeje?
  7. amilyroley

    Ushauri: Inasemekana mpenzi wangu alishawahi kuwa na mahusiano na ndugu zangu!

    Na-Paste Text yake... Naombeni msaada wa ushauri ndugu zangu. Mimi ni msichana na Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa. Nilifahamiana naye nikiwa form six na kuanzia wakati huo tukawa wapenzi. Ananipenda sana kuanzia mwanzo had sasa, sijawahi kumkuta hata na text ya binti yeyote...
  8. amilyroley

    TANZANIA MPYA: Rais katoka CCM, Sera Zimetoka UKAWA

    Ni ukweli usiopingika. Tunamuombea kwa Mungu raisi aendelee na uchapakazi huu. Rais ametoka CCM lakini Sera za usawa, haki, umoja, kurudisha keki ya taifa kwa wananchi na kuwakamata watumishi walimbikiza Mali ni sera za Ukawa tangu bunge la katiba mpaka kwenye kampeni. Ni mixing nzuri na...
  9. amilyroley

    Magufuli lini Utafanya Ziara Ghafla Wizara ya Ujenzi

    Dr Magufuli umetupa matumani kwa kasi yako. Lakini ni lini utavamia wizara ya ujenzi bila taarifa? Au wizara hiyo haitavamiwa?
  10. amilyroley

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Lowassssaaaaaaaaaaaaaaa?aaaaa?aa. Jamaa anakimbiza vibayaa
  11. amilyroley

    Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Pole sana Davis mosha. Hiyo ndio moshi. Rudi Washington kwa mshkaji wako Temba muendelee kuwekeza kwenye television yenu ya Swahili TV huko Washington marekani. Siasa imekukataa bro
  12. amilyroley

    January Makamba acha kutuharibia Amani ya Tanzania kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua

    Jipe moyo mkuu. By the way unafanya vizuri kuepuka kufa kwa stroke. Naona january anawafariji. Hamtaongoza popote zaidi ya geita tu. Pengine kote Lowasa anapiga kichapo cha mbwa mwizi
  13. amilyroley

    January Makamba acha kutuharibia Amani ya Tanzania kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua

    Wakuu hali halisi ya matokeo ya awali mnaiona na speed ya mmasai ni balaa nchi nzima. Anachokifanya January ni vita ya kisaikolojia. Anataka kuwatoa mchezoni tu. Ila hata wao wameshaona hali halisi inayoendelea. By the way mpaka sasa kwa uchache tu nianze na hongera kwa lisu mnyika kingwendu...
  14. amilyroley

    Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

    Polisi wamevamia kituo cha UKAWA cha kupokea na kujumlisha kura zote nchini na kuzima mitambo. Huku CCM wana kituo kama hicho kipo Mlimani city kimeachiwa kiendelee na kazi mpaka muda huu. ========== Tanzania opposition says police raid tallying center after election Tanzania's biggest...
  15. amilyroley

    Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

    Spencer Lameck yupo live kutoka Monduli. Foleni ni kubwa na amesema anasubiriwa Lowassa atakuja kupiga kura kituoni hapo. Yupo live muda huu. Updates 1.. Tayari Lowassa ameshapiga kura akiambatana na mama Regina na amehojiwa na vituo mbali mbali vya habari ikiwemo mwandishi wa Al Jazeera...
  16. amilyroley

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Kupitia vituo vya ITV na EATV mgombea wa Ukawa Edward Lowassa amelihutubia taiga kwa hotuba yenye mashiko iliyosikilizwa nchi nzima. Imekuwa gumzo gafla na imeizamisha kabisa CCM kwa kuwaumbua mabaya wanayoyafanya. Kwenyw mabaa mitaani na vibanda vya chips ni makundi ya watu wanamsikiliza...
  17. amilyroley

    Hakuna Jipya Katika Mkutano wa Magufuli Leo Jangwani

    Pamoja na nguvu kubwa ya mabasi ya UDA na coasters za kukodi nyingi kuzunguka jiji lote kukusanya watu lakini sijasikia jambo jipya pale zaidi ya ahadi amnazo miaka yote wanazirudia kwenye kampeni. Wazee wao wote walikuwepo ila mipasho tu ndio iloyogarimu pesa nyingo pale za wasanii na mabasi ya...
  18. amilyroley

    Yanayojiri: Mkutano wa Edward Lowassa - Ruaha, Mikumi - Okt 23, 2015

    Hii ni leo wakati wakimpokea mgombea wa ukawa Lowassa huko Ruaha
  19. amilyroley

    Lowassa azizima Mikumi, Prof Jay Ubunge tayari

    Leo Lowassa amefanya mikutano mitano. Mlimba, Ifakara, Mikumu/Ruaha, Chalinze na Kibaha. Pote Lowasaa ametikisa kwa nafuriko ya balaa kama iilivyo kawaida yake. Amehitimisha kampeni za mikoani na kesho atazizima jijini dsm kwa mkutano wa kihistoria ambao watu nusu milioni wanakadiriwa...
Back
Top Bottom