Search results

  1. Anatoy

    MSAADA: Account yangu ya Facebook imedukuliwa

    Naombeni wadau msaada kwa hili. 0756286835
  2. Anatoy

    Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    Anatafuta uteuzi maana ukijipendekeza lazima upewe shavu. Kumbuka aliondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa wa Simiyu.
  3. Anatoy

    Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

    Gazeti limesema ukweli wajinga tu ndiyo watapinga.
  4. Anatoy

    Waziri Mwigulu na Mkuu wa mkoa Amos Makalla msimshambulie Lissu, shambulieni hoja zake

    Lissu siyo mnyiramba. Uliza uambiwe hao ni watani wa jadi Mwigulu ma Makala ni wanyiramba,Lissu ni mnyaturu. Kama ungesema wanatoka mkoa mmoja labda ungeeleweka lakoni hata hivyo Amosi Makala ni wa Morogoro.
  5. Anatoy

    Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

    Ajitafakari maana huenda akasahaulika kabla 2025
  6. Anatoy

    Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Nimejiuliza sana juu ya kinachoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa nimeshindwa kuelewa nini hasa malengo ya watawala kwenye uchaguzi huu. Nimejaribu kuangalia nchi nyingi hasa za Ulaya na America ambazo zimepiga hatua kwenye maendeleo, uchumi,elimu, demokrasia n.k Sijawahi kusikia kitu Kama hiki...
  7. Anatoy

    Hawa wanawake wana ndoa?

    Nia na madhumuni yako ni nini?
  8. Anatoy

    Nchi imesimama, hali ya maisha ni mbaya sana

    Bado natafakari sijajua kwa maisha tuliyonayo sasa Watanzania ni wapi tunapelekwa na utawala huu maana maisha yamekuwa kama tunaishi kuzimu maana hali ni mbya sana. Tunaoweza kusema tuseme na tuwaambie watawala kuwa haya sio maisha tuliyopaswa kuishi huku tukisema Tanzania ni Nchi huru. Kwa...
  9. Anatoy

    CCM yatabiriwa ushindi mkubwa

    Sijawahi kuona wala kusikia ujinga wa kiwango hiki.
  10. Anatoy

    Dk. Bashiru Ally: Nape, Bashe wanahitaji kupikwa

    Dr. Bashiru hawezi kumfunza Nape. Nape ni maana siasa zaidi kuliko huyo Dr.
  11. Anatoy

    Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?

    Hakuna cha muungano mwema hapa tuna taka uhuru wetu.
  12. Anatoy

    Mgombea mwenza wa chama kikuu cha upinzani nchini Zambia ameaunga mkono Juhudi za Rais kuogopa kufilisiwa Mali zake

    Mwisho wa Dikteta yeyoye ni kumfanya kama All Bashir wa Sudan. Siku zinakuja watajuta kwa siku hizo.
Back
Top Bottom