Search results

  1. J

    Elections 2010 Kiravu anajibu maswali kama nani?

    TBC wanajifanya kusoma text zinazo sisitiza amani, hawajui kama amani tanzania ipo, mi nilitaka wasome na zile walizo tumiwa za kutokuwa na imani na tume ya uchaguzi, wafanyakazi wa tbc nao wamechakachulia na chama cha mafisadi, sijui watakuja kuwa hadithia nini watoto wao bdae....
  2. J

    Elections 2010 CHADEMA - Cost benefit analysis

    hawa mbwa wanauliza uliza kisa wameona helicoptar, nenda ukamuulize dada yako ile mimba yake imemgharim kiasi gani
  3. J

    Elections 2010 Makame anataka kujiuzulu kwa aibu!

    sisi kujiuzulu kwake hakutatusaidia ,sisi tunataka wabunge wetu walioibiwa kura majimboni wapate haki zao, na tunataka uchaguzi wa uraisi urudiwe maana huu ni upumbavu, etii ajiuzulu amalize matatizo yetu kwanza ndooo aende kufilia mbali kujiuzulu . mi napata hasira sana hii nchi washafanya yao
  4. J

    Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

    WANATAKA WAKAMALIZIE ZILE ZILE DILI ZA VITAMBULISHO, NA KUUZA KIGAMBONI KWA BUSH, KWAHIYO WANATAKA WAUZE KILA KITU KUBAKIE NA UMASKINI PEKEE, NYERERE ALIKUWA ANA ANGALIA MBALI SANA NA HATA KUMPITISHA MKAPA BADALA YA KIKWETE, ALIJUA HANA UWEZO WA KUENDESHA HII NCHI, SASA NA ANZA KUONA ALICHOKUWA...
  5. J

    Tanzania's National Electoral Commission is toothless

    NEC wakishapokea matokeo kutoka jimboni wanasuburi ruhusa kutoka CCM kama yatangazwe ama la! NA HIYO NDO pekee mabibi na mabwana inayofanya majibu yacheleweshwe.sababu kama upinzani watakuwa wameshindwa inabidi yachakachuliwe ndo yatangazwe.
  6. J

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    YAA OKKKK NIMEFURAHI KUMUONA TENA SLAA. ASANTE:smile-big:
  7. J

    Elections 2010 Jana ndo ilikuwa cut off ya wapinzani kuendelea kunyakua ubunge

    WASHKAJI BILA MASWALI NILIKUWA NAWAZA HIVYOHIVYO THATs WAY JANA KINANA kibaraka ALITOKA NA KUTANGAZA HAZARANI,NIKAJUA IMEKWISHA. I WAS LIKE DAMN! FxxxK KINANA HE HIS SON OF THE BxxxCH.
  8. J

    Elections 2010 SUGU kutowatetea wasanii mjengoni mana wengi NI CCM?

    ]wasanii wengi wa filamu na muziki hawakumsapoti josephy mbilinyi na wengi waliegemea kwa mafisadi sasa kwa sababu wabunge ccm huwa hwana mpango na wasanii wafikapo bungeni zaidi ya kuwatumia ktk kampeni je?sugu atete maslai ya hao wasaliti au alitetee sana jimbo lake?
  9. J

    Star times na usumbufu/utapeli wao

    Tbc walikuja kwa kasi na hata kutishia amani kw baadh ya vituo vya kurushia matangazo, ila walipo anguka wameanguka mazima hakuna vipindi vizuri tena hususani sisi wapenda soccer, hata atn wameifunika kwa champions league......bila kusahau vijana wao wanaendekeza sana kampeni zisizo...
  10. J

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    kimsingi kibonde simkubali, anaendekeza mambo ya kitoto sio mtu wa kufikiri kwa kina, ni m2 wakuangalia hapa na si kule, alikuwa anaponda sana upinzani, ye anadhan upinzani una jitetea wenyewe, unatetea taifa lote bila kubagua, iwemo yeye na kizazi chao wote bila kubagua...
  11. J

    Elections 2010 Ruvuma has a long way to go on democracy

    tabu ya baadh wa wa2 wa kusini wanaendekeza sana udini na hawataki maendeleo huku wengine wakiendeleza utamaduni bila ccm amani hakuna..tubadilike jamani hii nchi ni ya kwetu sote tusiangalia ukabila wala udini...ukiona udini kwako ni tija kuna chama cha cuf kipe nguvu pia...tunahitaji wabunge...
  12. J

    Elections 2010 KINA MAMA CCM: Nakaaya kaleta nuksi tu hana chake hapa

    Kwa habari za tetesi zilizotoboka toka kwa umoja wa wakinamama ccm yasemekana kuwa hawakufurahishwa na ujio wa nakaaya na kwamba wanadai hamna nafasi ya binti huyo wa bongo fleva kuingia bungeni kwani wao wenyewe wana msururu wa watu wengi na kwamba hata kungekuwa na nafasi 50 asingepata, mmoja...
  13. J

    Elections 2010 Semina vijijini

    Tuanze taratibu mpaka uchaguzi ujao tutakuwa tumefanikiwa kwa asilimia 95 na kuendelea, ili tuweze kukomboa kizazi kijacho tumekuwa tukipoteza rasilimali nyingi sana, na sito penda ziendelee kupotea, sisi ndio wa kulikomboa taifa letu lenye kila aina ya utajiri..
  14. J

    Elections 2010 [NOT OFFICIAL]: JJ Mnyika: Tumeshinda kwa zaidi ya kura 20,000

    wana jf mpaka sasa mambo yana kuwa na utata, kiravu kaenda ubungo , manyika according to primary election kutoka kata zote anaongoza kwa kura zaid ya elfu 20, wakawaambia tume wahesabu kwa kutumia excel,wakina mnyika walienda na laptop sita, wasimamiz wa kituo wakasema hawawezi kuzitumia...
  15. J

    Elections 2010 Semina vijijini

    Wana jf mnaonaje tukitengeneza grouops kutembelea vijijini ili kutoa elimu ya uraia, na kuwa wezesha wananchi walio kosa elimu hiyo kuwa nayo, nadhani ndio yatakuwa mapinduzi ya kweli, ili raia wajue kiongozi bora na nini anatakiwa kufanyiwa na kiongozi wake..ila kama itawezekana tuanze baada ya...
  16. J

    Elections 2010 Dr. Shein na Maalimu Seif wanachuana Z'bar

    angalia itv wanatangaza live
Back
Top Bottom