Search results

  1. Donnah

    Karibuni Lesotho (Maseru) tufanye biashara

    Yaani biashara anazosema kuna fursa hazisomeki kabisa[emoji16]
  2. Donnah

    Karibuni Lesotho (Maseru) tufanye biashara

    Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri mkuu.
  3. Donnah

    NImemaliza elimu ya sekondari, natafuta mojawapo ya kazi hizi

    kunahitajika wafanyakazi wawili wenye uzoefu wa kazi za stationery, kama ifuatavyo, typing, binding, lamination, scanning, printing na photocopy. ujuzi wa computer (ms word, excel, publisher na power point,). Pia kwa mwenye kujua graphic design program kama adobe illustrator, photoshop na...
  4. Donnah

    Natafuta kazi, nina uzoefu wa kazi za Computer

    kunahitajika wafanyakazi wawili wenye uzoefu wa kazi za stationery, kama ifuatavyo, typing, binding, lamination, scanning, printing na photocopy. ujuzi wa computer (ms word, excel, publisher na power point,). Pia kwa mwenye kujua graphic design program kama adobe illustrator, photoshop na...
  5. Donnah

    Nafasi za kazi stationery na printing shop, Dar es Salaam

    kunahitajika wafanyakazi wawili wenye uzoefu wa kazi za stationery, kama ifuatavyo, typing, binding, lamination, scanning, printing na photocopy. ujuzi wa computer (ms word, excel, publisher na power point,). Pia kwa mwenye kujua graphic design program kama adobe illustrator, photoshop na...
  6. Donnah

    TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia

    Familia ya Nyaga ilikuwa na mambo mengi sana, kwanza huyu Nyaga alikuwa amegombana na Baba yake na Mama yake kwa kipindi kirefu sana. Majuzi alienda na mdogo wake aitwaye Wilfred akitaka kumuona Baba yake aweze kumsamehe lakini Baba yake alikataa kumuona, na yeye ndo akaelekea Nairobi kwa...
  7. Donnah

    TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia

    Rest in Peace Nyaga Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  8. Donnah

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Inahuzunisha sana. Sijui wanasubiri uchunguzi wa nini tena wakti kila kitu kiko wazi.
  9. Donnah

    Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

    Huwaga si comment sana kwenye Jf na si kwamba napinga nyumba ndogo. Ila sikubalianai na ulivyoviandika hapo juu. This is not the way ya kuishi. Do you think kwamba ukiwa na mke wako naunampatia ulivyovitaja hapo juu ndio maisha yanaenda!! where is love now days. Hatukatai nyumba ndogo zipo...
  10. Donnah

    Lonely Me...... Nimefiwa na baba yangu

    Pole Sana Bujibuji
  11. Donnah

    Mwanaume kujiliza liza kha!

    Well said! Thank you
  12. Donnah

    Mwanaume kujiliza liza kha!

    Khaa!! mbona watu wamekuwa wakali hivyo!! Wanaume wanaopiga mizinga wapo kama ambavyo na wanawake wanavyopiga mizinga tuu. Hii tabia inakera sana.
  13. Donnah

    Sina hamu na ndoa tena.

    Ndibalema : Kuishi na mwanamme pia inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Kwa kifupi kwenye ndoa inahitaji kuvumiliana wote, uwe mwanamke au mwanamme. Mmhh pia ndoa zina mambo mengi sana! naishia hapa
  14. Donnah

    LOVE, MARRIAGE, DIVORCE...Must read!

    The small details of your lives are what really matter in a relationship. It is not the mansion, the car, property, the money in the bank. These create an environment conducive for happiness but cannot give happiness in themselves. So find time to be your spouse's friend and do those little...
  15. Donnah

    Mdada aki-behave hivi huwa ina maana gani??

    Hapo kwenye red hapo! umefuatiliaje au umewahi kuchukua? Ila jaribu kumuuliza inawezekana an tatizo ( scars, or breast cancer) e.t.c
  16. Donnah

    Mdada aki-behave hivi huwa ina maana gani??

    Kazi kweli kweli :wink2:
  17. Donnah

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Hee unamaanisha nini kusema watu wa kawaida, ulitaka washangiliwe na mafisadi mmmh
  18. Donnah

    love Vs Marriage

    Very true nimekugongea thanks rafiki
Back
Top Bottom