Search results

  1. Erickb52

    Nadhani mabeberu wa nchi za Magharibi wanaelekea kulielewa somo sasa: Chezea kingine ila siyo sharubu za Putin

    Ndo Urusi anajilinda sasa...ulitaka NATO wajiimarishe karibu naye ili iweje? Ukishindwa kuitafuta amani utajutia ujinga wako.
  2. Erickb52

    Mke wangu kapata kazi Mkoani!

    Sasa ukimzuia akabaki, kesho wewe umekufa, nani ataendelea kutunza huyo mtoto km atakuwa mama wa nyumbani? Muache akafanye kazi, kugandamana hakuna maana yoyote.
  3. Erickb52

    Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

    1. Siwezi kuweka zile taa zenye mwanga mweupe mkali, zinaumiza sana macho ya watu. Malimbukeni ndo huwa wanaweka taa hizo plus vitaa vinavyowakawaka hovyo. 2. Kupaka rangi kwenye rim kwa ndani, ni utoto wa hali ya juu. 3. Taa za break zinazokonyeza. Hawa wanakweka ni wale ambao hawaba medula...
  4. Erickb52

    JamiiForums Usiku wa manane

    Tupo hapa
  5. Erickb52

    Makadirio ya chini mpaka sasa umekula wangapi?

    Wewe unatafuta nini huku kama umejitambua? Unapaswa kuwa mfano ili wengine wakuige.
  6. Erickb52

    Urusi kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, hali mbaya

    Hivi we mleta mada, mbona mada zako zote huwa pumba? Kwani ni lazma upost uzi? Unaweza ukatulia ukawa msomaji tu km huna mambo ya msingi. Naona unafanya jukwaa liwe km sehemu ya UDAKU. NONSENSE kabisa.
  7. Erickb52

    Who is Your JamiiForums Crush?

    Chocs kipenzi nimekumiss my crush
  8. Erickb52

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Wewe ni zero brain ndo maana unalalamikia upuuzi. Ungekuwa na akili, mambo kama hayo unayamaliza ndani. Sasa unatatuambia tufanye nini sisi?
  9. Erickb52

    Kwako Babu Mpendwa 💕

    Sawa bibi
  10. Erickb52

    Kwako Babu Mpendwa 💕

    Unamzungumzia Asprin ? Amsalimie sana huyo jamaa
  11. Erickb52

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Niupeleke wapi? Badala ya kulea mtoto unawaza kuchunga mwanaume. Ukiendelea utaishia kuachika na anaolewa mwenye akili timamu.
  12. Erickb52

    Kwako Babu Mpendwa 💕

    Hahahaaaa Niko nawaangalia. Nikawaza huyo babu ni Bishanga au Mambo poa kabisa...tumepotezana sana ila nipo
  13. Erickb52

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Acha kumjaza mwenzako ujinga! Mwanaume kucheat ni sehemu ya maisha. Hakuna mwanaume asiyecheat, ispokuwa wale waliowekewa madawa tu. Ila wote wenye akili timamu kuwa perfect 100% haiwezekani. Ye akae kwa kutulia, ameshaolewa alee mtoto.
Back
Top Bottom