Ulimboka anarudi leo Jumapili saa sita mchana, Ndugu hatuwezi tukaishi kwa uoga siku zote,hata kwenye page ya MAT hao maadui wapo, hakuna namna utakao wapa madaktari taarifa wasijue, hata simu zetu wanarekodi. mimi sioni haja ya kuogopa tena baada ya haya yote yaliyotokea. Twende tukampokee...
Habari wadau, kwa taarifa za uhakika Dr.Steven Ulimboka anarudi nchini kesho, Madaktari wote na wadau wote mnaombwa kufika uwanja wa ndege saa sita na nusu mchana kwa ajili ya kumpokea jemedari, mtaarifu daktari mwingine!
Taarifa kwa Madaktari wote nchini,
Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku ya Jumanne tarehe 03/07/2012 kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi utakaotangazwa baadaye.
Imetolewa na Kamati ya...
Ndugu zangu niwaambie, Dr. Steven Ulimboka mimefanyanaye kazi kwa karibu sana, he is composed, anaakili nyingi, anajua wakati gani wa kutamka kipi! ni mtu shujaa asiye na uwoga, anaamini katika anachokitetea, anajua aitetee kwa namna gani, ni mtu mwenye sauti ya ukombozi, anauwezo wa kushawishi...
kwa yale matusi aliyo yaporomosha Lusinde, kwetu madaktari tunasema ni abnormal behaviour which is associated with overtalkativenee and abusuve language, then tunampa ugonjwa unoitwa Mania(ugojwa wa akili), kwahiyo yule mwenzetu tunaweza kudhani nisiasa kumbe ni mgonjwa, nashauri ndugu zake...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.