Search results

  1. mpayukaji

    Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kuwait

    Rais Jakaya ataingia kwenye vitabu vya historia kama rais wa hovyo na dhaifu ambaye Tanzania imewahi uwa naye. Inakuwaje rais wa nchi anafanya ziara tena nje ya nchi na umma wa watanzania haufahamishwi? Nimeshangaa kusikia kuwa rais Kikwete yuko ziarani nchini Kuwait. Nimeshangaa kusikia kuwa...
  2. mpayukaji

    Salma Kikwete Cheo chake ni kipi kikatiba?

    H.E 'Presidente' Salma Jakaya Kikwete (P. Courtesy) When H.E Presidente Salma Jake Kiquette's received like her husband in AR, I penned a piece, "When first lady's treated like her man!" She's at it again! Where did it happen? Wait. Truly, this time she dwarfed all her turgidity. First, I...
  3. mpayukaji

    Mama Salma Kikwete awasili Mkoani Rukwa kwa Ziara ya Siku Tatu... Pichani akiwa IKULU ndogo

    Dk Kihiyo not Dk Salma so to speak. Ni aibu sina mfano.
  4. mpayukaji

    Mama Salma Kikwete awasili Mkoani Rukwa kwa Ziara ya Siku Tatu... Pichani akiwa IKULU ndogo

    Kuna haja ya kutunza picha hizi ili siku wahusika watakaposhitakiwa kwa kutumia madaraka vibaya ziwe ni ushahidi tosha. Je nini mawazo yako kuhusiana na kadhia hii?
  5. mpayukaji

    Jalada la Rage kutinga kwa DPP - Kamanda Polisi Dodoma

    Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage (CCM) akinyang'anyana mlingoni na mfuasi wa CHADEMA wakati wa kugombea mlingoti huo hivi karibuni jijini Dodoma. Ni jambo la kipuuzi kwa mtu anayetiwa mheshimiwa mwakillishi wa wananchi kushiriki upuuzi kama huu. Baada ya tukio hilo kulitokea shutuma kuwa Rage na...
  6. mpayukaji

    Muungano wa EAC ni mkuki kwa Tanzania

    INGAWA kuna baadhi ya wenzetu waliuona msimamo wa kiongozi wa nchi, dhidi ya kuwepo kwa sarafu moja ya Afrika Mashariki kama jambo la maana, lawama zinapaswa kupelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete mwenyewe. Wengi tulipinga hata huu ‘Muungano' wa kuburuzana na kugeuzana majuha, lakini...
  7. mpayukaji

    The bad the ugly and the good and miracle performers of Bongo

    Nkwazi Mhango Looking at EddieWhitehair Lo- Wash doling money out for whoever that approaches him, one’d see love of the rich to the poor. Again, is this love true or has something else? Since he’s forced out of power thanks to Richman Scam, Eddie’s become a very generous politician Bongo has...
  8. mpayukaji

    Tatizo letu si udini, bali uduni

    www.mpayukaji.blogspot.com BAADA ya kunuka au kuumana hivi karibuni kwenye kaya yetu ya amani, mzee mzima nimeona nitoe busara na elimu bure ili kuepuka kujitia kitanzi kijinga na kipofu. Laiti ndata wasingekuja Kijiweni na kutulipulia mibomu yao ya michozi wadhani ningenena? Ningewaacha...
  9. mpayukaji

    Bravo Kikwete a "visionary" leader!

    Kikwete, what a visionary leader Nkwazi Mhango I love and respect President Jakaya Kikwete beyond imagination. I am not a cohort or majordomo who loves him so that he can offer them some high positions which mean lucrative biz. I have my sound and convincing reasons: First of all, he proved...
  10. mpayukaji

    Wakati wakijazana kwetu, India hawataki machinga kwao!

    Maandamano makubwa yametawala nchini India baada ya serikali kuruhusu makampuni ya kigeni kama vile Walmalt kufanya biashara nchini mle. Wananchi wamechukizwa na hatua hii kiasi cha kuingia mitaani kuandamana. Wananchi wanadai kuwa kuruhusu makampuni ya kigeni kufanya biashara inayofanywa na...
  11. mpayukaji

    A year without Gaddafi

    When Nato started bombing Tripoli, unfortunately for him, former Libyan strong man Muamar Gaddafi did not foresee his fall from the grace. He started campaigning on TV for Libyans to come out and defend their beloved Tripoli. Zanga zanga or make sure you surround the rats in all corners and club...
  12. mpayukaji

    Mkiua au kufisidi na kuiba, fanya hivyo kwa amani (Shairi), Tanzania ni nchi ya amani

    This is the song of peace It aims at all S.O.B's and D.O.B's You guys in fatigues With your totting guns Trigger happy as you always are You the killing machines, You who violate peace You who are used by morons Guys, When you kill, just kill peacefully When you rape just do it peacefully You...
  13. mpayukaji

    Raisi apokea Tuzo

    Rais Jakaya Kikwete akipokea tuzo toka kwa Ajay Vashee makamu mwenyekiti wa NGO inayoshughulika na kilimo iitwayo Food, Agriculture and Natural Resources Policy (FANRPAN). Je hii ni tuzo kweli au nyenzo ya kuwa karibu naye ili kuwawezesha wahusika wapata deals za kutuibia.
  14. mpayukaji

    Sensa: Ponda, wenzake wahesabiwa

    Woooi! Nilichemsha. Nilimaanisha Issa Ponda basi kumradhini na nakushukuru Ritz kwa kuliona hilo.
  15. mpayukaji

    First lady anapomjenga mumewe US wakati kwetu mmmmh!

    Mikutano ya vyama kinzani nchini Marekani inaendelea huku tukiona wake wa wagombea wakiwajenga waume zao. Je kwetu hali ikoje? Wenzetu wanashirikiana kushinda wakati kwetu wanashiriki baada ya ushindi kuanzisha NGO. Je nini mawazo yako kuhusu hili?
  16. mpayukaji

    wananchi jihadharini na mikutano isiyo vibali ni kafara za CHADEMA

    Mleta mada ima ni matunda ya magamba au hafikirii vizuri ukiachia mbali kuwa kwenye hali ya kutatanisha kiakili. Soma sheria ujue ni ipi mikutano halali na haramu. Kwanini CCM wakifanya mikutano hata kwa kuvunja sheria ni halali lakini CDM wakiifanya tena kwa kufuata sheria inaonekana haramu kwa...
Back
Top Bottom