Search results

  1. P

    Kabla hujaingia Mkenge wa Network Marketing soma huu uzi

    Kwa nyongeza ukitaka kuzifaidi anza use ktk kumi wa kwanza hapo utafaidi wanaofata wanakula mtaji
  2. P

    Shule iliyopo Mbulu Manyara inatafuta mbia wa uendeshaji

    SHULE ILIOPO MBULU MANYARA INATAFUTA MBIA WA UENDESHAJI kwa Mawasiliano piga kwa Mkurugenzi wake +255 767 928167 / 0784 928167 / au fika shuleni hapo .nimeambatanisha picha ya sehemu ya shule
  3. P

    Naomba ushauri

    thanks a lot call 0784928167 or 0767928167
  4. P

    Tangazo la maandamano ya amani kupinga kulipwa kwa dowans

    usiogope kuandamana mwema kazi yake si kutoa kibali bali hupewa taarifa ili akulinde sasa basi ukiona ndege matingtinga na malori yamejaa ffu ni kwa ajili yako ukiwa na roho ngumu utafika mwisho wa maandamano na ukimbia ujue ndege vifaru na umbwa na makachero vitakufuata
  5. P

    Kitu gani kitapotokea kwako...ndio itakua furaha yako?

    siku kukiwa na mgao sawa wa rasilimali na ufisadi kua hadithi
  6. P

    Naomba ushauri

    asante sana kwa kunitia moyo tushirikiane maombi na mungu akubariki
  7. P

    Naomba ushauri

    mbulu kuna nmb tu ndo maana nataabika. Na bank nillzopita arusha zote kikwazo tu mipaka yao ya kazi
  8. P

    Naomba ushauri

    iwe ya kukopesha gari kama hiace na kulipwa kwa instalment
  9. P

    Naomba ushauri

    nashukuru kwa ushauri ila mbulu hamna coaster za town trip wala hatuna hiace za town trip
  10. P

    Naomba ushauri

    shule iko mbulu
  11. P

    Arusha yawaka moto.

    you are a good thinker!! The problem ni mfumo wa elimu.
  12. P

    Naomba ushauri

    Habari wana JF Mini ni mjasiriamali nilianzisha shule na kufanikiwa kuyisajili BRELA na MoVET kwa sasa ina walimu 5 na watoto 100 kuanzia awali hadi la 5 shule ina eneo la acres 6 inje ya mpaka wa mji kawa mita 200 tu panapitika mwaka mzima . Kutokana na kua inje ya eneo la mji...
  13. P

    Polisi wawalazimisha vijana kufanya kufanya mapenzi

    washitakiwe kwa kosa la kulewa masaa ya kazi .kwa kosa la uporaji .kosa la uzalishaji .kosa la kusababisha hatari ya maambukizi. Kosa la kutmia madaraka vibaya pia nashauri wapeleke shauri hilo kwa HUMAN RIGHT ADVOCATES
  14. P

    Wasaidieni wagonjwa kwa hili

    Asante kwa kutujuza na wasisahau kupima kipimo cha APLICOR HIV 1 MONITOR TEST baada na kabla ya kunywa supu ya MBIGILI ili kujua maendeleo yao
  15. P

    Wish you merry x-mass &happy new yr all jf members

    Mungu akubariki pia uwe mzima wa kuchangia maendeleo ktk TZ yetu
  16. P

    Dk Chami: Wafanyabishara ‘feki’ wageni ondokeni nchini

    ajiulize mpaka wageni wanauza kwenye mitaa ya wenyeji zaidi ya wenyeji kulikoni na je wakiondoka hiyo huduma tupate wapi ameelekeza au?
  17. P

    Katiba mpya

    Tanzania yetu wanaionea Baba wa taifa alisema kijana wetu Tanzania inafaa abadilishe suti imesha mbana wasiyotaka katiba mpya hata wao hawajipende
Back
Top Bottom