Search results

  1. gentlemanx

    Semi kichanja

    Habarini, Mwenye gari semi kichanja inayoweza kupiga hadi bunjumbura anicheki tufanye kazi,zinatakiwa gari 20. Kutokea dar
  2. gentlemanx

    Gari semi kichanja

    Habarini, Mwenye gari semi kichanja inayoweza kupiga hadi bunjumbura anicheki tufanye kazi,zinatakiwa gari 20. Kutokea dar
  3. gentlemanx

    KERO: Makonda hawa askari wako wanakuja bar na kuwachapa watu na fimbo

    Brother,katika watu ninao wakubali kwenye hii serikali, your one of them.ila imeniuma sana kwa lililotokeA Leo. Hawa askari wako kweli wanakuja na fimbo bar na kuanza kuchapa watu??is this how tanzania is??nchi ya amani?? Yani watu tukakaa bar ila tunakuwa na wasiwasi?? Police now days ni...
  4. gentlemanx

    Nahitaji Travel insurance

    Habarini ndugu, Msaada nahitaji travel insurance to europe ambayo ni cheap... Pm please
  5. gentlemanx

    Nawezaje kusimamisha ulipaji wa kodi ya biashara maana haiendi vizuri?

    Guys habari zenu. Nilifungua biashara mwakan juzi,ikawa inapiga kazi fresh;sasa mwaka huu mambo yameenda tofauti. Nimeamua niifunge biashara,TRA wananidai pesa ya kodi,nimewaambia wafunge then ntawalipa,wamegoma wanasema nilipe then ndo wafunge. Now hela sina,na ikiendelea kukaa bila kufungwa...
  6. gentlemanx

    chakula kipo

    Msosi kwanza
  7. gentlemanx

    Kugombana na mpenzi

    [emoji41][emoji41][emoji41]
  8. gentlemanx

    software ya kublock new numbers call

    Wakuu habari zenu Hivi kuna software ambayo inaweza kublock new numbers??yani kublock namba mpya ambayo hujaisave??
  9. gentlemanx

    Pikipiki aina ya Boxer sokoni

    Bei laki tisa.
  10. gentlemanx

    Pitia hii fursa

    [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
  11. gentlemanx

    Gari sokoni

    New model spacio kwa ?bei nzuri Zipo tatu zote katika hali nzuri
  12. gentlemanx

    Nauza betri ya gari bei nzuri

    Betri ya gari haina mda kabisa,
  13. gentlemanx

    Wino wa printer nauza kwa bei nzuri

    Wakuu habarini Nina wino lita ishirini nauza wote, kwa atakaye hitaji watsap 0716698056
  14. gentlemanx

    Nauza madirisha(mninga)

    [emoji41][emoji41][emoji41]
  15. gentlemanx

    Brother printer for sale

    [emoji41][emoji41][emoji41]
  16. gentlemanx

    Rav 4 for sale

    Gari aina ya rav 4 naiuza,million 25
  17. gentlemanx

    Ups for sale

    Nauza ups,bei makubaliano
  18. gentlemanx

    Printer aina ya brother for sale

    Nauza printer aina ta brother,bei maelewano
  19. gentlemanx

    Wino wa mabango

    Ninauza wino wa mabango,bei makubaliano,ninayo lita ishirini
  20. gentlemanx

    Nimepata tenda ya uzoaji taka, natafuta gari

    Habari zenu wanajamvi, nimepata tenda ya uzoaji taka majumbani, natafuta gari ya kukodi msaada wanajamvi na kama kuna yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili nitashukuru nikipata changamoto. Nawakilisha.
Back
Top Bottom