Search results

  1. K

    Natafuta kuku / vifaranga vya kuku wa kienyeji wa mwezi mmoja Kwa Morogoro

    Wakuu Nina uhitaji wa kuku wa kienyeji wa kufuga / vifaranga wenye umri WA mwezi mmoja na zaidi Kwa sehemu Za Morogoro. Kama kuna mtu anaweza kuwa nao Naomba tuwasiliane. Wanahitajika Kwa wingi.
  2. K

    Iphone 5 na 4 for Sale

    I have got Brand NEW BOXED iphone 5 for sale and used iphone 4 (in mint condition). If you are interested send me private message. All the phones are UNLOCKED. Iphone 5 Tsh. 1,100,000 Iphone 4 Tsh. 800,000
  3. K

    Photocopy Machines Zinauzwa

    Kwa yeyote anayetaka kununua "Used Like New" photocopy mashine zinapatikana Dar es Salaam, Magomeni. Aina ya photocopiers zilizopo ni Canon IR2016 Canon IR1600 Canon IR1610 Canon IR4570 Canon IR3045N Canon IR3025 Canon IR2022 Canon IR3035 Xerox WC275 Xerox WC255 Xerox WC245 Kwa wale...
  4. K

    Kwa Wanaotaka Kufanya Kazi Nje ya Tanzania

    Napenda kutoa ushauri kwa mtu yeyote anayetaka kufanya kazi nje ya Tanzania (Middle East, Europe, USA, Australia na Asia) ni kwamba kazi zipo hila watanzania wengi hatuna utamaduni wa kutafuta kazi nje ya nchi yetu. Napenda kutoa ushauri kwamba kama unaweza kuongea Kiingereza safi, Una degree...
  5. K

    BBC Waanza Kuinang'a Tanzania Kwa Mauaji ya Albino

    Wakuu BBC FOUR (UK) wapo hewani wana programme ya saa nzima wakieleza mauaji ya Albino Tanzania. Programme inaonyesha maeneo ya Kanda ya Ziwa (Shinyanga, Tabora na Mwanza). Naona kama wameguzwa na kinachoendelea Tanzania kuhusu Madaktari sasa wanaanza kuonyesha ulimwengu jinsi Tanzania ilivyo.
  6. K

    Performance Review ya Dr. Hoseah (PCCB) na IGP Mwema

    Kama kuna watu ambao mimi binafsi sijuhi utendaji wao wa kazi katika nchi yetu ni Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Rushwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi. Tangu watu hawa washike nyazifa zao, sioni ambalo wamechangia katika hali yetu Tanzania. Hivi Dr Hoseah na IGP Mwema wakistahafu leo tutawakumbuka...
  7. K

    Photocopy Machines Zinauzwa

    Wadua Nina photocopy machines zinauzwa kwa bei ya chini kabisa (fast sale) kama ifuatavyo Canon NP6028 TZS 700,000 Canon NP6030 TZS 700,000 Canon IRC3220 TZS 1,500,000 (ya rangi) Canon IR2270 TZS 1,900,000 Canon IR2870 TZS 1,900,000 Canon IR2800 TZS 1,900,000 Canon IR3570...
  8. K

    Ni Lipi Lengo Kuu la CCM? Kuendelea Kutawala au Kutuondoa Katika Umasikini?

    Wadau Katika kipindi cha week moja tumekuwa katika msukosuko wa kuwasema au kuwataja mawaziri ambao wanashtumiwa kutumia madaraka yao vibaya kwa kukwapua mali za nchi yetu. Haya yamekuwa yakitokea kwa viongozi kadhaa ndani ya serikali na chama tawala (CCM). Vikao vya ndani ya CCM tunasikia...
  9. K

    Je, Rais aliona Ripoti ya CAG kabla ya safari ya Brazil?

    Wadau Nimekuwa nikijiuliza baada ya kusoma na kusikia haya yote yanayoendelea Tanzania kuanzia kwa wabunge kucharuka na kuwataja mawaziri wezi, Mh Zitto kutoa hoja ya kupigwa kura za kutokuwa na imani na waziri mkuu na sasa tetesi za mawaziri nane kujiuzulu, - je Mheshimiwa Rais aliiona hii...
  10. K

    Natafuta Frame ya Duka / Warehouse Dar

    Wadau Natafuta sehemu ya Duka / Warehouse Dar katika maeneo ya Magomeni, Kinondoni mpaka Mwenye, Sinza mpaka Ubungo. Ukubwa wa sehemu huwe katika mita za mraba 70 na sehemu iwe inaweza kufikiwa na Lorry kubwa kama limebeba 40ft container. Ninapendelea sehemu iwe barabarani au karibu na barabara...
  11. K

    Photocopy Machines Zinauzwa Bei Nzuri Sana

    Tuna photocopy machines za aina ya Canon (Image runner) na Xerox zenye uwezo tofauti kulingana na uwezo wako au mahitaji yako. Bei zake Canon IR2200 (Speed 22 cpm) bei TZS 1,900,000 Canon IR2800 (Speed 28 cpm) bei TZS 2,000,000 Canon IR3570 (Speed 35 cpm) bei TZS 2,500,000 Canon IR6020i (Speed...
  12. K

    Biashara ya kusafirisha matunda Ulaya

    Wakuu naomba ushauri wenu. Nimekuwa nitembelea maduka mbali mbali katika nchi za Ulaya hasa UK na kukuta bidhaa kazaa za kutoka Uganda na Kenya lakini sijawahi kuona bidhaa zozote kutoka Tanzania katika maduka ya UK. Nikiwa Tanzania naona kuna matunda mengi kama Machungwa, Mahembe, Nanasi...
  13. K

    Msaada; "Virgin Olive Oil" ndo mafuta gani ya kupikia hapa Tanzania?

    Wadau naomba msaada wenu. Nimekuwa nikijaribu kutafuta mafuta ya kupikia ambayo wazungu wanaita "Virgin Olive Oil" nashindwa kujua kama hapa kwetu Tanzania yapo na kama yapo ndo yanaitwaje kwa kiswahili na yanapatikana wapi. Mafuta haya wanasema ni mazuri kwa afya na hayana colestral. Naomba...
  14. K

    Chelsea FC Sacks AVB

    Kwa wale wapenzi wa Chelsea habari za uhakika ni kwamba leo hii AVB amehachishwa kazi mara moja na Msaidizi wake Di Mateo atakuwa kocha wa timu mpaka mwisho wa msimu. Mlisema tumfukuze Mzee Wenger sasa yamewakuta
  15. K

    Ili Kuboresha Elimu Tanzania, sheria hii ipitishwe haraka

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kushuka kwa kiwango cha elimu katika nchi yetu hasa katika matokeo ya hivi karibuni ya kidato cha Nne na Sita. Ni kweli kuna matatizo mengine ambayo yanasababisha swala hili kutokea lakini jambo ambalo halipingiki ni Walimu kuwa na mgomo baridi na...
  16. K

    Usumbufu TRA bandarini, tunaweza kufanya nini?

    Ndugu wana JF, kama kuna kitu ambacho kweli ninachngia sana kurudisha maendeleo ya Tanzania nyuma ni usumbufu na utirtimba uliopo hapo TRA (Customs). Ukitaka kujua kwamba Tanzania tutachukua miaka mingi kuendelea jaribu kuingiza bidhaa kutoka nje kupitia bandari ya Dar es Salaam. Kwa kweli hawa...
  17. K

    Nini tufanye kama JK atamteua e lowassa kuwa waziri mkuu?

    Wana JF na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania, naomba mnijulishe ni nini tunaweza kufanya kama week ijayo Rais akimteua mshikaji wake E Lowasa kuwa Waziri Mkuu. Au je katiba ya nchi hairuhusu Waziri Mkuu aliyejiuzuru kwa manufaa ya umma kurudi tena kuwa waziri mkuu? Kama katiba inaruhusu...
  18. K

    Elections 2010 Wana chadema tuna kila sababu kutembea vipya juu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Ndugu zangu wana JF, kwa maoni yangu nadhani wanachama wa CHADEMA wanaweza kutemba vipya juu kwamba wanakubalika Tanzania. Nasema hivyo si kwamba tumeshinda uchaguzi hila tumepata kura nyingi kwa mtaji kigodo. Kama ni biashara Chadema wamepata faida kubwa sana kulinganisha na CCM. Nikiongelea...
  19. K

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Wadau naomba maoni yenu. Mimi naona Mizengo Pinda hatarudi tena kuwa waziri mkuu bali kundi la mafisadi wataingia sawa sawa kuchukua nchi na kufanya wakalo knowing ni kipindi cha mwisho cha Mkubwa wao
  20. K

    Elections 2010 Mihuri na form za matokeo zakamatwa Anatoglo!

    Jamani mnasikia habari za mama (AFISA MTENDAJI KATA YA TABATA) alivyokamatwa na karatasi (form za kujaza matokeo). Hii habari hiko live ITV hebu mwenye data arushe zaidi. Mama yuko Polisi na Mpendazoe huko polisi kufatilia
Back
Top Bottom