Search results

  1. K

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Ni kweli Vanilla ni zao ambalo bei yake inabadilika mara kwa mara hata kwenye soko la Dunia na huko Madagascar pia. Hii inajulikana kote. Sasa hivi kweli Covid-19 imeathili bei yake Kama alivyo mazao mengine na bidhaa zingine. Hii siyo sababu ya kukuzuia wewe mkulima kuendelea na mpango wa...
  2. K

    Tangazo la kukaribisha maombi ya mashamba ya kulima Mkonge

    Katika mazao ya Kilimo Mkonge ni zao mojawapo ambalo halina complications katika kulilima. Ni zao ambalo kwa hesabu za bodi ya korosho Unaweza kuuaga umasikini. Kuna mabandiko humu kuhusu hiki kilimo. Unaweza kupata taarifa zote za kilimo cha Mkonge. Jaribu ku search kilimo cha Mkonge humu JF...
  3. K

    Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani, mbegu ya kisasa na mazao mengi zaidi

    Tunaomba ufafanuzi zaidi kuhusu kupatikana kwa mbegu nje ya Kigoma au lazima iwe Kigoma? Je kwa ekari moja ni miche mingapi ya inapandwa? Uzaaji wake ni baada ya muda gani?
  4. K

    Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

    Acha uvivu wako na kupotosha watu.
  5. K

    Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

    Kalime Mkonge upate hela. Hauna complications katika kuzalisha
  6. K

    Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

    Unaongelea matunda gani? Mikoa tofauti Tanzania inazalisha matunda tofauti. Inabidi kujua aina ya matunda.
  7. K

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Inategemea uko wapi. Ndiyo miche hiko Iringa, Mbeya na Bukoba.
  8. K

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Huo mche bado haujafanyiwa grafting. Napendelea kufanya grafting shambani. Hapa nasubili mwezi wa tatu mwakani kufanya grafting.
  9. K

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Inawezekana. Ila hiyo nyingine siifahamu
  10. K

    Fursa mpya ya zao la Macadamia

    Huu mche umepandwa mwezi May 2020 huko Bukoba.
  11. K

    Fursa mpya ya zao la Macadamia

    Kwa kukusaidia soko la Macadamia ni kubwa sana. Kwa Tanzania sasa hivi madacamia bei Ni mara nne ya bei ya korosho. Kilo moja ya Macadamia ni Tsh 10,000 magamba na iliyomenywa ni Tsh 45,000. Hizi ni bei za soko la Ndani. Ukivusha nje ya nchi hapo ni kitu tofauti.
  12. K

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Jamaa alitaka kutudanganya. Ni kweli ni ngumu kuota lkn si mwaka mzima. Wengine tumeotesha kitalu na zimeota.
  13. K

    Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

    Tanzania bado tuna ardhi kubwa sana sana. Tatizo la watu wengi wanapenda maeneo ambayo ni karibu na mijini. Kuna maeneo Tanzania ukienda hata hununui ardhi, serikali ya kijiji inakupatia ardhi, juhudi zako ni kusafisha hiyo ardhi na kuanza kulima. Kukosa ardhi huwa siamini kama ni kikwazo.
  14. K

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Vipi kwa maeneo ya Morogoro inakubali?
  15. K

    Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

    Vijana tuchangamkie hiki kilimo kinaweza kuwa mkombozi. Nasikia wakulima wa korosho wanalalamikia ukosefu wa magunia wakati mwingine. Tukiwa na Mkonge wa kutosha hili tatizo kitaisha maana tunaweza kuingia katika kutengeneza magunia zaidi kwa ajili ya korosho na mazao mengine.
  16. K

    Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

    Mwishoni mwa mwaka 2018 nilisoma andiko la Mr Mbaraka (Mtafiti wa Mkonge) ambalo liko kwenye uzi huu. Nilipendezewa nalo na kumpigia Simu. Akanielekeza sehemu ya kupata miche. Nikaenda Mlingano Tanga kupata picha ambayo nilipanda shambani kwangu Morogoro. Niliongezea na miche mingine kutoka...
  17. K

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Baada ya kupata mawazo humu na kusoma kuhusu Macadamia na kujua bei zake. Nilihamua kuingia shambani na kujaribu zao hili. Naweza kusema mwanzo ni mzuri kabisa
  18. K

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Baada ya kusoma bandiko hili nilihamua kuingia shamba na kujaribisha miche 200 ya Vanilla. Matokeo mpaka sasa si mabaya. Wataalamu wananiambia mwakani nitakuwa na maua mengi zaidi
Back
Top Bottom