Search results

  1. sonofobia

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Kwa hayo matokeo ni wazi umepanic, wanasema kazini kwako kuna kazi 😂😂
  2. sonofobia

    Si sawa Kurudia nguo bila kufua, hasa wakazi wa Maeneo yenye Joto

    Kwani ungesema jezi tu ungepungukiwa nini? Wewe hicho kisidiria chako umekurudia mara ngapi na watu wanakausha tu kiutu uzima?
  3. sonofobia

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Mfano nikisema baba ako anapigwa mti ndio maana akazaa mtoto asiye timamu...nitakuwa nimemkosoa kwenye malezi au nimemwambia hali halisi?
  4. sonofobia

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Bado mapema sana, tuwe watulivu walau kwa mwezi mmoja tutaona mwamba nani.
  5. sonofobia

    Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Inawezekana mama yako ndio ana shida kuzaa kiumbe kama wewe
  6. sonofobia

    Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni. Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea. Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia? Kama hakuna basi ata...
  7. sonofobia

    Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    Hapana sijaiona, naomba unisogezee
  8. sonofobia

    Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia. Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure. Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya. Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma...
  9. sonofobia

    Uzalendo unalipa sana Nyerere, Sokoine na Shujaa Magufuli wako wanaishi Mioyoni mwa Wananchi!

    Hainizuii mimi kumkubali ata awe ameua nchi nzima. Huyu ndio Rais wangu bora wa muda wote hakuna neno lolote litalonibadili kwenye ili
  10. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Unaelezea tabia za familia yenu haswa baba yako kwa ujanja
  11. sonofobia

    Uzalendo unalipa sana Nyerere, Sokoine na Shujaa Magufuli wako wanaishi Mioyoni mwa Wananchi!

    Namkubali sana Magufuli rais wangu wa muda wote
  12. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Kuna kuhoji na kuchochea... huwezi sema mashabiki wanapewa bundle watukane alafu unataka player afafanue ukasema hiyo ni journalism sisi tutamshighulikia kama mhuni na adui wa Yanga
  13. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Ameshajiweka kando mwenyewe kwenye matukio ya Yanga.
  14. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Kwangu Yanga ni muhimu kuliko chochote unachofikiria
  15. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Huyu sio mwandishi wa habari huyu ni shabiki maandazi wa makolo.
  16. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Nyembera ndio aache umama hatutaki kabisa ajiusishe na mambo yetu ya Yanga tutapewa kesi mbaya
  17. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
Back
Top Bottom