Kuna Mama alijitolea kulea watoto wasio na msaada( yatima) hapa mjini tangu miaka ya 1990’s mpaka leo, imagine what ni mtoto mmoja ndio huwa anarudi kutoa shukrani na kusaidia wengine, ni wengi wamepita pale na wapo walio toboa kimaisha na hawajawahi kurudi. Moyo wa mtu kichaka, ukitoa toa bila...
Kuhusu suala la kuomba passport kwa urahisi sana na hii njia itakusaidia kuepuka vikwazo mnavyokumbana navyo.
Kwanza, kabisa unajijua unataka passport, silaha namba moja ya kuweza kupata hiyo kitu ni lazima uwe na ID ya taifa, kama hauna id ya taifa basi itafute hiyo kwanza maana bila hiyo...
Kamata kamata dhidi ya Panya road huenda ikafanana na operesheni Wembley ya Uganda angalizo ni kuwa izingatie haki za binadamu maana HRW, Amnesty International's, na mashirika ya haki za binadam yako macho.
Operesheni Wembley ni jina ambalo ilipewa operesheni ya usalama nchini Uganda mwanzoni mwa miaka 2001 ilikupambana na makundi mbalimbali ya uharifu kwa kuwakamata, kuwaweka kizuizini, kuwatesa na kuwaua majambazi wenye silaha.
Raisi wa Uganda Y. Miseveni alianzisha operesheni hiyo Maalumu baada...
Msanii Tundaman kwa jina halisi Khalid Ramadhani Tunda huyu dini yake ni muislam kwani ameshindwa kutumia dini yake ya kislam kuwakilisha maudhui yale kwa kuchukua jeneza la mskitini kama alikuwa anahisi yuko sahihi mpaka abebe mavazi ya kikuhani na misalaba.
Viongozi wa uwanja na simba...
1. Amekuwa waziri wa Mawasiliano na Teknologia. Tukashudua mabando yakapanda gafla isivyo kawaida mpaka raisi wa Nchi akaingilia kati.
2.Kahamishiwa wizara ya uwekezaji na Biashara. Ambopo FCC ipo chini yake ila Tunaendelea kushuhudia bei ya bidhaa zinapanda isivyo kawaida.
Amewahi kutoa...
sisi vyombo vya habari na magazeti,redio, social media wako busy wanajadili sijui membe, Kinana ,simba wa yuda na pumba zingine.
Hizi mada za msingi kuzingumzia sasa.
1. price ya bei maana bidhaa za hardware hazina bei elekezi kutoka kwa bord kama yalivyo mafuta(EURA), ?
2. Unaweza vipi kutambua bidhaa feki wakati wakununua mzigo? maana kwa uzoefu wako yawezekana hauja kutana na hilo sana.
3. Mauzo kwa mwezi unaweza pata faida kiasi gani ukitoa pango na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.