Search results

  1. K

    Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

    Siyo mvua hii ya majira yake
  2. K

    Nashauri uongozi wa simba sport club, usipeleke timu uwanjani tarehe 20/4/2024

    kuwaua hapana ila cha moto mtskipata
  3. K

    Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

    Usitumie nguvu nyingi kumuelimisha aaiyetaka elimu hiyo. Ni hivi Yanga sc anavuka hatua hii mtake msitake. Tunza hii comment mwanakwetu achana na hao Simbilisi waliojaa choyo na wivu kwa Wananchi tz
  4. K

    Evolution Of Khalid Aucho kutoka Gor mahia mpaka Yanga.

    Huku Young Africa sc tumamuita Doctor of football. tulilikosa CAF confederation cup last season kwa kukosekana kwake pale kati. Na sasa ana injury, namuomba mwenyezi Mungu apone ili Wasandawana wapatiwe haki yao. Get well soon Dr. Khalid Aucho.
  5. K

    Yanga inatakiwa ipate golikipa mzawa wa kumpa changamoto Diara

    kuna yule kipa wa Mlandege nilimshuhudia mapinduzi cup 2924, dogo yuko vizuri kuliko shati Metacha
  6. K

    BENCHIKA Atoweka nchini

    Haya kaenda course kwao, muda ni mwalimu
  7. K

    Dube aaga rasmi Azam FC

    Anakoelekea ndiyo Simba sc watamkoma
  8. K

    Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Nimecheka sana mkuu
  9. K

    Uongozi wa Simba ubadili uwanja, Uwanja wa Jamhuri tutakula za uso, huu ni mwanzo tu

    Hata muende wapi, za uso ziko pale pale
  10. K

    Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    Kumbe wewe ndiyo Popoma? by the way hiyo ndiyo Simba sc yako tunayoijua ukiondoa zile fluke za nje ya uwanja nawe inalijua hilo bila shaka
  11. K

    Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    ahaa wapi, hii ndiyo Simba sc yenyewe wacha ile ya fugisu za nje ya uwanja, nadhani mmenielewa...
  12. K

    Rekodi: Yanga vinara wa magoli CAFCL huku Simba ni vinara wa yellow cards

    Kumbe upo hongera kitoka Milembe hsp, jitahidi kufuata masharti ili usirudishwe hivi punde
  13. K

    Rekodi: Yanga vinara wa magoli CAFCL huku Simba ni vinara wa yellow cards

    Amerudishwa Milembe, baada ya kipigo kile cha mbwa koko kichaa chake kilipanda, tumuombee.
  14. K

    Anayepigiwa simu na Mudathir apokee

    Anampigia Jaribu tena. Kolo walitaka kumsajili Jaribu Tena akamdengulia, Eng. akasema kijana ustaabike, njoo huku kwetu na hautojuta. Basi mambo ndiyo hivyo jaribu tena anammezea mate but it is too late
  15. K

    Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

    Tupo tumejaa tele🙆😅😅😅 haya kiko wapi we Kolo mbumbumbu mkubwa
  16. K

    Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

    acha uchochezi wewe. Mayele aache kutafuta sympathy baada ya mpira kumshinda, yeye aweke bidiii na aache kuchagua watu
  17. K

    Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Kalala Mayele acheza mpira, hii mambo ya kusingizia sijui majini ohoo mara kutukanwa hayatamsaidia katika carrier yake na atashindwa kufikia malengo yake. Muda ni mwalimu wacha ninyamaze.
Back
Top Bottom