Search results

  1. M

    Elections 2010 Tuipime hotuba yaa Kikwete ya leo November 18 2010 bungeni

    Naona `umethink twice` kweli,mhhhhhhhhh,bado tumelala,maskini Tz!!!!!!!!!!
  2. M

    Elections 2010 Museveni achukua Sera ya Chadema: Free A Level Ed kuanzia mwakani.. TZ? Haiwezekani.!

    THE NRM 2011 presidential candidate, Yoweri Museveni, has promised free education for A’level students starting next year. Museveni made the promise at different rallies in Lango sub-region. The Government is already providing free education at O’level. “We have given you free primary...
  3. M

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Nilitegemea hilo kwani lengo la Chenge kugombea ulikuwa ni mpango wa kumchomoa Sitta ili asijekulalamika,mpango huo ulikuwepo sana na sishangai sana,:smile-big:
  4. M

    Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

    nakupa shavu Gwalo,ngoja tusubiri
  5. M

    Elections 2010 Maandamano kupinga ushindi wa mkwere rock city!

    Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri 2015.Habari zaidi,bofya Ghasia Mwanza zapatiwa dawa
  6. M

    Elections 2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

    kwenda huko.Kuna uhusiano gani kati ya kurudiwa uchaguzi/uhesabiwaji wa kura na uchochezi?wewe ndo naona mchochezi,kama unasapot basi wewe si mtanzania na huna uchungu na nchi yetu inayoliwa na mafisadi,mahakamani???????????:nono:
  7. M

    Elections 2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

    safi sana Mwafrika,tuko pamoja:smile-big:
  8. M

    Elections 2010 Sasa Najiunga Na Chama Cha Siasa Rasmi

    safi kabisa,naomba unijulishe dar ofisi zao ziko wapi ili nikifika tu,kesho yake naenda kukamata kadi na kuwa mwanachana hai,nitaanza kampeni kijijini kwetu mwakani kwa ajili ya 2015.Watakoma sana Chama Cha Majambazi/mafisadi
  9. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    kwenda huko,kanyagio la nini kama unatoa ushauri huo,wewe fisadi tu
  10. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Badilisha jina,haliendani na mawazo yako kabisa,GeniusBrain?mhhhhhh,Kikwete wako ndo kaanzisha fujo,au wewe naye fisadi kama JayKay?
  11. M

    Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

    viva Chadema,hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
  12. M

    Elections 2010 Ndio mzee imefika mwisho bungeni...

    Tuko pamoja kaka,sitabanduka kwenye TV muda wote wa bunge!
  13. M

    Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    Streema Radio Tuner, najua sasa mambo yataenda ofisni mzee,
  14. M

    Elections 2010 Matokeo Kata ya Kinyerezi

    wow wow,siamini kama CCM kweli wameshindwa kuiba kura. Ni mambo ya Slaa hayo,kila wakijaribu ujanja Dr anapata na kutibua:smile-big:
  15. M

    Elections 2010 GDP ndiyo kipimo cha Umaskini, Dr. Slaa alikuwa sahihi?

    Bora Rais ambaye hajui uchumi kuliko kuwa na rais Fisadi!Kweli kakojoe ili ukalale
  16. M

    Elections 2010 OFFICIAL RESULTS: CHADEMA yashinda kata 9 Musoma mjini

    Nimefurahi sana kwa hizo taarifa za Musoma ukizingatia na mimi natoka huko (Tarime)!Tunaomba figure kaka,
Back
Top Bottom