Search results

  1. smigo4u

    Mume anatafutwa

    Sisi tulio under 30 vipi? Na elimu zetu za la saba A hatuchukui jimbo?
  2. smigo4u

    Wahindu wabomoa msikiti na kuua Waislam kadhaa

    Yoote uliyoandika hapo ni uongo mtupu 1. mafundisho yameongelea amani sana kila sehemu na vita ikaruhusiwa kwa wale tu walioanza kuwachokoza waislamu tena hapo ni baada ya kushindwa kuepukana nao kwa njia nyingi tu basi last resort ni ku retaliate ,hakuna sehemu utakuta aya yoyote ile...
  3. smigo4u

    Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

    Nashangazwa sana ni kwamba watu huwa hamfuatilii taarifa za habari ? Mkopo wa degree kwa sasa hakuna riba yeyote ile yaani utalipia kile ulichokopeshwa na hii imeanza mwaka 2020 rais samia suluhu alipoingia madarakani alifuta 6% ya value retension fee na heslb wakaondoa 15% ya penalty na hata...
  4. smigo4u

    Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

    Interest imeondolewa muda sana mbona hakuna cha 6% wala 15% unalipa ulichokopeshwa .
  5. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    "If you can't explain it simply then you don't understand it well enough" 👆👆 huyo ni albert einstein by the way without further ado , mkuu hata siku moja hauwezi ukaanza kuielezea subtopic without atleast introduce the topic first . Nimekuuliza swali dogo tu wazo ni nini na linaingia vipi...
  6. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    "Wazo ni neural signal, linaingia kichwani kwa sensory organs, unajua kwamba wazo limeingia kichwani mwako kwa kulipata, unaweza kufanya brain scan kuangalia neural activity." Hata moyo una neural signals , soma kuhusiana na sinoatrial nodes na jinsi zinavyo generate neural signals kama...
  7. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Ooooo unaweza kuniambia zulqarnain alitokea kwenye ukoo upi hapo jerusalem?
  8. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Wazo ni nini? Na linaingiaje kichwani kwako? Na unajuaje kwamba wazo limeingia kichwani kwako?
  9. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Hizo unaweza sema ni prophetic titles na wanaweza kuwa na title zaidi ya moja kila mtume alikuwa na title maalum kwa Allah (the all loving). 1. Ibrahimu(a.s) aliitwa -khalil ullah =rafiki wa Allah au nyengine ni jadul anbiyaa au abu al anbiyaa . 2. Musa (a.s) aliitwa -kalim Allah =yaani...
  10. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Epicurean paradox mbona ilishakuwa challenged na Alvin plantinga? Au haujasoma plantinga's free will deffence? Kasome pia uielewe halafu kama haujelewa kitu uliza pia. Na kingine ningependa uthibitishe kutokuwepo kwa Mungu huyu aliyetajwa kwenye vitabu vingi vya kidini na kama unaegemea...
  11. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Unataka niweke na aya za quran kama reference?
  12. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Unajua maana ya neno "uislamu" ? Halafu kama nakumbuka vizuri ukristo ulianzishwa na paulo yesu hakuna na ukristo alikuja kulitimikiza torati je? Unajua wenye torati yao (wayahudi/ jews )wanaamini nini?
  13. smigo4u

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Nikuweke sawa 1. Aliumba kwa uwezo wa Allah( the almighty) na si kwa uwezo wake . 2. Aliwalisha wafuasi wake chakula kutoka mbinguni ni baada ya wao kumuambia awaombee dua kwa mola mlezi wa viumbe ili awashushie chakula kutoka mbinguni si kwasababu hawaamini ni ili imani izidi zaidi hii...
  14. smigo4u

    Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    Ukiandika ya watoto mke akapewa awalee mzee baba huna lako
  15. smigo4u

    Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    Jamaa ni genius , aliangalia possibilities zote hizo akaona kuna win win kila sehemu
  16. smigo4u

    Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    Ahsante tutaandika kwa majina ya mama inatosha sana mkuu
  17. smigo4u

    KWELI Kushiba sana usiku na kulala Chali huongeza nafasi ya kukabwa na Majinamizi

    😂😂 haujakosea mkuu , mara nyingi napenda vitu vyepesi vyepesi muda wa usiku
  18. smigo4u

    KWELI Kushiba sana usiku na kulala Chali huongeza nafasi ya kukabwa na Majinamizi

    Kitaalamu wanaita "sleep paralysis" hii hutokea mara chache na ina maelezo yake kitaalamu kama ifuatavyo. Unapokuwa unataka kulala ,ukiwa sasa umejiweka kitandani bado usingizi haujakuchukua mwili huwa unazalisha paralysis hormone hii husaidia kuulinda mwili na mitikisiko isiyo na maana usiku...
Back
Top Bottom