Search results

  1. E

    Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

    Wengi wamepongeza baadhi kuhoji na kubeza uamuzi wa Zitto kugombea. Na badae wamebeza uamuzi wa Zitto kujitoa sambamba na kushangazwa na ushauri wa kamati ya wazee waliomshauri Zitto ajitoe katika kinyanganyiro cha uenyekiti wa taifa dhidi ya mwenyekiti wa sasa Freeman Aikael Mbowe( Mtuhuru)...
  2. E

    CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    Leo ikiwa ni siku ya mwisho wa mwaka sambamba na kumskuru muumba kwa majaliwa yake kwa mwaka ulio ukingoni ni vyema pia tukafanya mapitio ya mwaka mzima ili tuchukue akiba na kubeba yalio mazuri na kufanya jitihada za kuepuka makosa tunavyoelekea mwaka mpya unao karibia. Kwa muktadha huo...
  3. E

    Mbowe na tafakuri zake...

    Tumegeuka taifa la vipofu Freeman Mbowe KWA wengi, nimekuwa kimya. Kimya kina tafsiri nyingi. Kila mtu kwa uelewa wake na pengine matamanio yake. Leo nimeamua kuandika tena. Na nitaendelea kuandika "mpaka kieleweke." Nakiri ni muda mrefu sijaandika. Sababu ni nyingi. Naamini katika subira...
  4. E

    Ahadi ya ajira milioni moja changa la macho?

    Wakati wa Kampeni Jakaya,ili kuteka vijana,ambao ndio wapiga kura wengi alitoa ahadi chongo juu ya ajira.Akaahidi ajira milioni moja! Kwanza ahadi yenyewe haieleweki! Ukifuatilia kwa mujibu wa takimu,kila mwaka kwa wastani vijana kati ya 650,000 mpaka 750,000 wamaingia katika soko la...
Back
Top Bottom