Search results

  1. E

    Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

    Moja ya Vitu ambavyo mjadala huu umekosa ni mguso wa kitaaluma. Tunakubaliana na hoja kwamba posho ni eneo la kawaida kabisa katika mfumo wowote makini wa maslahi na malipo. Hoja haipo kwenye uwepo au kutokuwepo kwa posho bali mantiki na msingi wake. Kigezo cha kwanza cha kuweza kuendesha...
  2. E

    Mjengwa katika kampeni za Kikwete 2010?

    Huu ni uchambuzi dhaifu ukiwa umejikita katika siasa za kukariri na mazoea. Kwa kutojua au kwa nia mbaya muandishi anajaribu kutumiaminisha katika ukubwa wa mtandao(mabolizi wa nyumba kumi) na uchaguzi wa serekali za mitaa kama nguzo yake ya uchambuzi. Tayari kwa mfumo wa sasa tumeona idadi...
  3. E

    Mikoa mitatu mipya kuanzishwa

    Ndugu mkandara, nakumbuka tuliyazungumza haya kwa kirefu sana wakatu ule wa mjadala wa majimbo.Tulitabiri kwamba baada ya miaka kumi ijayo tutakuwa na mikoa karibia hamsini na wilaya zaidi ya miatatu kwa kigezo cha kusogeza maendeleo kwa wananchi. Itafikia wakati ambapo wataweka kwenye ilani yao...
  4. E

    Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

    Wengi wamepongeza baadhi kuhoji na kubeza uamuzi wa Zitto kugombea. Na badae wamebeza uamuzi wa Zitto kujitoa sambamba na kushangazwa na ushauri wa kamati ya wazee waliomshauri Zitto ajitoe katika kinyanganyiro cha uenyekiti wa taifa dhidi ya mwenyekiti wa sasa Freeman Aikael Mbowe( Mtuhuru)...
  5. E

    Dowans: Another Richmond in making?

    Msimamo wake tete umekuwa gharama kubwa sana kwa chama na taifa! Inasikitisha na kutisha.
  6. E

    Mwachieni Gire, nunueni mitambo ya Dowans!

    Sipo pamoja na Zito katika hili! Anakosea mno. Hatuwezi kuhalalisha uhuni kwa kisingizo cha dharura. Tunajenga msingi mbaya wa kutofuata taratibu kwa kisingizio cha maslahi ya taifa na unafuu! Huu unafuu unazungumziwa sasa ni baada ya kulinganisha na mitambo ipi, gharama zipi? Sula la...
  7. E

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    Tumefika pabaya. Siku zote huwa naamini ushirikiano wa vyama si suluhisho. Kila mmoja ni msindani kwa kwa mwenzake, dhana ya kuwataka waungane ndio huleta matatizo kama haya. Nimeshuhudia mkutano mmoja wa operesheni sangara pale Manzese ambapo mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alikuwa...
  8. E

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Kama mwenyekiti wa chama anapaswa kuchukua hatua badala ya kuzira.Kama atawaidhiria na jamaa wa EPA na Richmond kwamba wagawane wenyewe hali itakuwa mbaya sana.
  9. E

    Ole Sendeka amtwanga konde M/kiti UVCCM!

    Hata Ole Sendeka? Sasa watabaki na nini? Hii dhana ya watu kumiliki majimbo ni moja ya kansa mbaya sana. Kama taifa tungali tunajifunza siasa za ushindani.Ni utaraibu ambao tunachukua mda mrefu sana kuuzoea. Kama huwa ana hasira hizo nashangaa mpaka leo hajatwanga mtu bungeni, akiweza...
  10. E

    Online Meeting with CHADEMA - Kuimarisha Upinzani na Kuleta Maendeleo - No 1

    Huu ni upotoshaji uliovuka mipaka! Hakukuwa na ushirikiano mwaka 2005 kisha CHADEMA ikajitoa! Kulikuwa na majadiliano ila waliokuwa wanajiona chama kikubwa walikuwa ni CUF amabao walikuwa wanataka waachiwe kila kitu! Lazima ikumbukwe kuwa mwaka 95 CHADEMA haikusimamisha mgombea wa Uraisi ili...
  11. E

    CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    Gembe unapaswa kuwa juu ya haya unayoyaandika hapa! Zilie ni Hitilafu za kawaida kwenye taasisi za kibinadamu. Mgogoro wa marehemu Wangwe ulikuzwa na watu wenye hofu na nia mbaya dhidi ya CHADEMA. marehemu Wangwe alikuwa peke yake akishambulia viongozi wenzanke, tungeweza kuita mgogoro...
  12. E

    Mbeya vijijini: Kampeni, uchaguzi na yatokanayo

    Inasemekana ni mgombea udiwani!
  13. E

    CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    Ndugu yangu Recta: 1. Chama kinasubiri kushika uongozi kina jukumu la kuiwajibisha serekali hasa mda ule kinapokuwa hamna uchaguzi.Ndio maana Bungeni tuna mawaziri kivuli.Vyama lazima vitoe mbadala na kuwa "watchdogs" 2. Wakati ambapo hakuna uchaguzi nguvu ya chama inajionyesha katika namna...
  14. E

    CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    FMES, heshima kwako. Ni kweli taifa linadidimia,na tuko hapa kutokana kuwa na taasisi dhaifu za kisiasa, zilizokosa uwezo wa kutambua na kuyapa ufumbuzi haya maswala mchomo. Tunaweza kujadili maswala mazito kile siku lakini kama taasisi zetu za kisiasa hazina uwezo au nia ya kupokea...
  15. E

    Mbeya vijijini: Kampeni, uchaguzi na yatokanayo

    Inasikitisha na inauma! Imepunguza sana kasi ya ukuaji wa CHADEMA! Tujufunze. Tugange yajayo.......
  16. E

    CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    Ndugu inawezekana kama kuishindanisha CCM na vyama vingine? Suala ni mizania? Tuangalia uwezo wake kusimamia serekali? Usimamiaji wa ilani yao ya uchaguzi? shughuli na mikakati yake ya kisiasa? na maamuzi mbalimbali iliyofanya kisiasa? mathlani ushiriki wake katika mjadala wa muafaka? ushiriki...
  17. E

    CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    Mkama nimeanisha Waliofanya CHADEMA katika mchango wangu wa kwanaa. Na Je wanaoyafanya wakina zito, wanafanyia kama watu binafsi au ni sehemu ya utekelezaji wa mipango ya chama kwa mwaka husika? Sehemu kubwa wanayofanya ni sehemu ya mikakati ya chama chao.
  18. E

    Tunavuna aibu – Wapinzani

    Shalom, siku zote huu umekuwa mtazamo wangu, nauunga mkono hoja yako. Muungano wa vyama si sulihisho, kila chama ni mshindani wa mwenzake, wanaweza kuwa na ushirikiano katika masuala ya kitaifa au ajenda za kustawisha demokrasia kama vile masuala ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi...
  19. E

    Msafara wa Waziri Wassira wapigwa mawe

    Taifa limefika pabaya! Ni vizuri tukaangalia chanzo cha haya? imekuaje tumefika hapa? Mbona watu wamekataa tamaa na mfumo na taratbu za kisheria? hii inaashiria nini? Tatizo la wananchi kukosa subira na kujichukulia sheria mkononi linadhidi kukuua. tunalishuhudia kila siku watuhumia wa uwizi...
Back
Top Bottom