Search results

  1. Mwanamageuko

    Je, wengi hususia au wamepuuza?

    Najiuliza tu ikiwa uchaguzi SM ilibidi watu wabembelezwe kujitokeza na bado muitikio ulikuwa mdogo kuliko matarajio sasa tumepita katika uchaguzi mkuu mambo ni yaleyale wengi hawakupiga kura. Je, watu wanapuuza hii haki yao ya kimsingi ya kuchagua na kuchaguliwa? Je, watu walishadharau upigaji...
  2. Mwanamageuko

    Ni msimu? Wamepoa au wamepoozeshwa?

    Najiuliza tu.. wale wanasiasa "machachari" nazungumzia wanaoruhusiwa kufanya siasa si katika wale waliozuiwa je kunani siku hizi mbona wamepooza sana? Wamekutwa masaibu gani? Naona wameibuka wengine kina "...mimi kichaa mwenzio...!!!" Siwaoni mzee wa skafu, mzee wa jiji langu... na... na...
  3. Mwanamageuko

    Msaada nail d printer software

    Wakuu Habari zenu? Naomba msaada wa drivers na software kwa mashine ya kuremba kucha NAIL D PRINTER (CHINA MADE) Haina model wala serial number ila computer inaitambua kama Lenovo 3000 Series uki install katika windows 7 printer inaonekana camera yake inapotea na ukiinstall kwenye windows xp...
  4. Mwanamageuko

    Kweli hii ruhusa ya mikutano itatekelezeka?

    Najaribu kuwaza tu kama hakutakuwa na msigano baina ya ruhusa na matamko =================================== Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ramadhan Kailima amesema Tume imetoa kibali cha mikutano ya hadhara ya kampeni ndani ya kata zitakazofanya...
  5. Mwanamageuko

    Ukiwa chama tawala una haki ya kuvunja sheria?

    Je hivi vitisho kwa watekelezaji sheria vitatufikisha wapi? Kwanini mahakama isichukue mkondo wake? Je tunahitaji viongozi wanaotisha watendaji? Je baada ya hapo nini kinafuata? Je RPC nae atahitaji kupanda majukwaani? Je hasara iliyotokea anaweza kuilipa ama mgodi ukitathminisha hasara ni zaidi...
  6. Mwanamageuko

    Tujikumbushe, je tulikwama wapi?

    Ninanukuu makala ifuatayo ili kuweka kumbukumbu sawa tujue tulianguka wapi na makosa gani yalitugharimu ili tunyanyuke na kujiondolea mawaa hayo: Nyerere Alitawala Kondoo; Mbuzi Wasingemuelewa! Kuna mchezo mbaya unaoendelezwa na kulindwa na Serikali ya CCM; nasema ni mchezo mchafu kwa vile...
  7. Mwanamageuko

    TBC wasifanye propaganda mambo ya kitaifa

    Televisheni ya TAIFA TBC inapokuwa ikirusha wimbo wa hayati Remmy Ongala unaofahamika kwa kama "DODOMA" kuna maneno kama vile "ni yetu wenyewe.... WANACCM" hapo najiuliza hivi ndugu yangu Ayub Ryoba na wasaidizi wake bado wanadhani karne hii nchi hii ni ya CCM au inajengwa na wanaCCM pekee...
  8. Mwanamageuko

    Wahenga walisema "utu busara ujinga hasara"

    Ninajaribu kujikumbusha na kuwakumbusha kauli za wahenga ili tuone mustakabali wa Taifa letu pendwa Tanzania kwani wanasema wahenga ukupigao ndio ukufunzao. Tuendelee na nukuu za wahenga katika mustakabali wa siasa za nchi yetu:- “Mzee Mwinyi yupo kimya, Mkapa kimya, Warioba kimya, Cleopa Msuya...
  9. Mwanamageuko

    Alama za nyakati baada ya 25 oct. 2015

    Nilipata kuandika hapa nini kitatokea chadema na vyama vingine vya upinzani mwaka 2010. Naandika tena hii leo hii sio ramli wala unajimu ni kuzisoma alama za nyakati zinasemaje? Ziko njia mbili pekee nizionazo, yako mambo matatu yaweza kutokea: Njia: 1. Mabadiliko ya kweli ikiwa ukawa itaingia...
  10. Mwanamageuko

    Akikuita 'my son' anamaanisha nini?

    Imekuwa ni muda sasa, Kila nifikapo kazini huyu dada tunafanya nae kazi sehemu moja na ninamzidi kiumri amekuwa akiniita "my son..." Simwelewi kabisa na wakati mwingine nahisi ananidharau je anamaanisna nini?
  11. Mwanamageuko

    Kwanini nayaunga mkono mabadiliko nje ya CCM

    Wanajamvi, hebu tutazame mfano huu (kwa umakini) Kidimbwi cha maji kinakuwepo, mbu anataga mayai yake humo, yanakuwa viluwiluwi mpaka wanaanza kuota mabawa, wanakuwa mbu kamili, wanaruka... Wanatuuma njiani, kwenye magari, sebuleni, chumbani, na kwingine kokote wanakotupatia nafasi!! Mwisho wa...
  12. Mwanamageuko

    Tusome alama za nyakati uchaguzi 2015

    KWA MACHO YA KISHABIKI SI LOLOTE SI CHOCHOTE. KWA AKILI YA SIASA UCHWARA NI WAHUNI NA MATEJA. KWA WENYE FIKRA DHAIFU NA MIHEMKO "WATU WAMEHAMASISHWA KUFANYA FUJO" NK. KWA LUGHA YA PROPAGANDA NI "WATU WAMELIPWA PESA ILI WAANDAMANE!!!" LUGHA ZA SIASA NYEPESI ITASEMWA: NI WAHUNI... MATEJA NA...
  13. Mwanamageuko

    Uchaguzi na vifuniko vya macho!!

    Tulihesabu miaka, miezi, sasa tumepunguza makumi ya miezi tunahesabu masiku katika miezi isiyozidi mitatu. Tumejipangaje? Ndilo swali la msingi kwa tanzania ijayo. Tunatumiaje fursa na nafasi tuliyopewa? Hili ni jambo jingine la kutazama kwa mapana yake. Je, tunakumbuka tulikotoka, tulipo...
  14. Mwanamageuko

    Kabla ya uchaguzi 2010 kuelekea uchaguzi 2015

    Kabla ya uchaguzi uliopita 2010 niliandika sana hapa sikunyamaza kwa sababu nikiitazama TANZANIA na MWELEKEO wake. Sikuandika kwa kutaka sifa bali umoja wa wanamageuzi na watanzania. Watu walikuwa wakiwashambulia wenzao na matokeo yake yameonekana "uongo ukisemwa sana mwisho huonekana ndio...
  15. Mwanamageuko

    Kabla ya uchaguzi 2010 kuelekea uchaguzi 2015

    Kabla ya uchaguzi uliopita 2010 niliandika sana hapa sikunyamaza kwa sababu nikiitazama TANZANIA na MWELEKEO wake. Sikuandika kwa kutaka sifa bali umoja wa wanamageuzi na watanzania. Watu walikuwa wakiwashambulia wenzao na matokeo yake yameonekana "uongo ukisemwa sana mwisho huonekana ndio...
  16. Mwanamageuko

    Edward Sokoine, Salim A. Salim & Edward Lowassa

    Hayati Sokoine alikuwa mbunge wa Monduli na pia Waziri Mkuu. alikuwa na muono wa kuivusha Tanzania kutoka tulipokuwa kwenda kwenye mafanikio, ndio maana akahimiza nguvu kazi na kuwabana watendaji wazembe na wasiowajibika katika kazi zao ndio MAANA WAKAMCHUKIA (mengine ambayo yalisemwa baada ya...
  17. Mwanamageuko

    Haya ya kova na jaji lubuva mnayaonaje?

    Lubuva ameongeza kuwa ni vema wagombea urais wachukue fomu hizo mapema ili waweze kuwatafuta wadhamini wasiopungua 200 katika mikoa minane bara na miwili visiwani. Pia, Nec imewaonya wanasiasa wanaotoa matamshi yenye uchozezi huku akitolea mfano maneno yaliyotamkwa na kiongozi mmoja wa chama...
  18. Mwanamageuko

    Hivi TCRA wana usaidizi kweli?

    Wadau, Ni jambo la kusikitisha sana unapotaka kupata huduma toka kwa wahudumu HUDUMA KWA WATEJA wa kampuni ya Vodacom kutokusikiliza ama kufanyia kazi suala lako. Jambo la kusikitisha zaidi ni pale VODACOM MPESA wanapokata pesa kutoka kwao kwenda kwenye huduma nyingine kama LUKU na kadhalika...
  19. Mwanamageuko

    Salaam za pongezi

    Kwanza kwa Mh. Mbowe kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, na pia natumia fursa hii kuwapongeza wote wengine waliochaguliwa katika nafasi zao. Na pia wale ambao hawakuchaguliwa haimaanishi kwamba wameshindwa bali ni changamoto kwao kujipanga upya kimkakati na kimtazamo ili kusaidia si...
  20. Mwanamageuko

    Wahudumu wa BOA bank msimbazi ni wadokozi

    Inasikitisha sana WIZI NA UDOKOZI unaofanywa na BANKERS wanaohudumu katika teller za Benki hiyo tawi la Msimbazi, ni kitu cha kawaida sasa kila watu watano wanaopeleka pesa pale upatikane upungufu wa kati ya TShs. 20,000/= mpaka 30,000/= na hili wateja wao wanalalamika chinichini na kulazimika...
Back
Top Bottom